we kijana ukisikia sehemu kuna baridi tz mtu akataja makete,huruhusiwi kutaja eneo jingine.Wala huijui hii nchi, unaongelea tu maeneo ambayo labda ulipita kwa barabara
Lkn Gairo Morogoro - baridi kali
Kondoa, Babati, Katesh - baridi kali sana
Singida Kaskazini yote - baridi kali sana
Kwani nimekataa baridi ya Makete? We vipi mzeewe kijana ukisikia sehemu kuna baridi tz mtu akataja makete,huruhusiwi kutaja eneo jingine.
baridi unalozungumzia la upepo hata hapo kibaigwa dodoma lipo,huko kwa wanyalu ngoma haipulizi imatulia tuliiiii,ila na ugeni wako wa kutokea dsm ukifika huogi wiki nzima.
Nilipitia comments zote, nikajiambia nikikosa mwanaJF hata mmoja hajaitaja hii sehemu, ntashangaa sana'We jamaa huijui baridi ya sgd aisee nenda sehemu moja inaitwa mitundu itigi utajua upo ndani ya friji
Kwani nimekataa baridi ya Makete? We vipi mzee
we kijana ukisikia sehemu kuna baridi tz mtu akataja makete,huruhusiwi kutaja eneo jingine.
baridi unalozungumzia la upepo hata hapo kibaigwa dodoma lipo,huko kwa wanyalu ngoma haipulizi imatulia tuliiiii,ila na ugeni wako wa kutokea dsm ukifika huogi wiki nzima.
Njombe ni balaa nimelala nimevaa tracksuit, koti zito,soksi nzito miguuni, na nimejifunika blanketi zito mbili, Njombe hoyee .
Njombe mara kibao inafikaga hadi 6cNlikuwa kiteto two weeks ago asee kuna winter kama mbele mbele yao, asubuhi ilisoma 11°c
Hanang msihisahau pia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inasemekana makambako ukiingia baa kila meza inakuwa na jiko la mkaa kwa chini yake likiwa na moto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nililaga gesti ya bei rahisi mablanketi yalikuwa na wadudu wanawasha lakini nikajisemea potelea mbali, nikajifunika mwili mzima.
Unaijua Makete au unaisikia?Njombe mjini baridi ni miezi yote tofauti na Mafinga na Makete na Arusha ambapo baridi ni kwa msimu.
Dar msiitoe jamani mbona hali tete hivi,mi nimezaliwa huku ila hii sijawahi ona!!