Kurutu wa Mungu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 366
- 581
Umesahau mbweni kijijiniYafuatayo in baadhi ya maeneo yaliyokaribu sana kijeografia ila yana hadhi tofauti kimaisha.
1. Sinza na Tandale
Mitaa hii ipo karibu sana ila hali ya maisha ya watu wake in tofauti kabisa. Tandale watu wengi wana maisha ya chini na uswahili pia.
2. Kawe na mikocheni
Kawe kuna uswazi ila jirani zao mikocheni kwa warioba wanakula upepo
3. Masaki na msasani
Hapa tajiri anakutana na maskini moja kwa moja. Ukimaliza tu masaki na kuanza msasani unaanza kuona ladha ya umasikini. Msasani kuna slum.
4. Mtongani na bahari beach/ununio.
Watu wa mtongani wana maisha ya chini sana shughuli yao ni uvuvi, kokoto na bodaboda ila jirani zao bahari beach ni maghorofa na mitaa iliyopangika vizuri na watu maarufu wako huko.
Hayo ni maeneo ambayo wenye nacho na pangu pakavu wanaishi pamoja kwa ukaribu
Wananchi ungewapa fidia sasa???Una mawazo kama yangu, Mimi ningevunja kuanzia ubungo hadi kimara nyuma zote za barabarani na kujenga maghorofa yanayofanana. Hill eneo ndio mdomo wa Tanzania
Jack alichangisha watu hela za harusi halafu akafanya nauli kuruka kiwanja.
Mpaka leo nikimuona Papaa Pemba anatamba huwa nacheka sana.
Don Bosco Festivals zilikuwa poa sana, watu wanajumuika kutoka sehemu mbalimbali, mashindano ya soccer, basketball, muziki, ubishoo.
Mara huyu kaiba gari ya baba yake kaja kuringishia watu misele. Mara huyu summer boy katoka chuo Marekani kaja watu wamuone karudi likizo.
Ilimradi watu walifurahi.
Siku hizi hakuna habari hizi?
Basketball kulikuwa na TANESCO, Oysterbay kwa Mzee Kimaro Haile Selassie pale (Baba yake producer Master Jay), Gymkhana grounds kwa Mzee Malai palipokuja kujengwa Sheraton, Don Bosco na Uwanja wa Ndani wa taifa.Nakumbuka enzi hizo tanesco kila bishoo dar lazima aende kupiga kikapu. Miaka ile NBA Chicago Bulls ndio inakimbiza mbaya nadhan na Orlando magic.
Mzee malai umenikumbusha mbali mlezi wa paziBasketball kulikuwa na TANESCO, Oysterbay kwa Mzee Kimaro Haile Selassie pale (Baba yake producer Master Jay), Gymkhana grounds kwa Mzee Malai palipokuja kujengwa Sheraton, Don Bosco na Uwanja wa Ndani wa taifa.
Watu wamejifua sana Basketball.
Mwaka mpya watu walikuwa wanakesha hapo tanescoNakumbuka enzi hizo tanesco kila bishoo dar lazima aende kupiga kikapu. Miaka ile NBA Chicago Bulls ndio inakimbiza mbaya nadhan na Orlando magic.
Ningewapa nyumba bureWananchi ungewapa fidia sasa???
Basketball kulikuwa na TANESCO, Oysterbay kwa Mzee Kimaro Haile Selassie pale (Baba yake producer Master Jay), Gymkhana grounds kwa Mzee Malai palipokuja kujengwa Sheraton, Don Bosco na Uwanja wa Ndani wa taifa.
Watu wamejifua sana Basketball.
Tena hapo kuna mmoja mshamba sana Alikuwa sasa Gari zote hzo kama ana yard za nn
Ova
Mkuu wewe ni wa miaka ya 1980's au 1970's ?Hasira mlijitia wenyewe. Wote tulikuwa tunalimbuka kutoka utawala wa Baba Kabwela.
Kuna sehemu nilishaambiwa nina mwendo wa kuringa eti sababu nina "raba mtoni".
Mkuu wewe ni wa miaka ya 1980's au 1970'sHasira mlijitia wenyewe. Wote tulikuwa tunalimbuka kutoka utawala wa Baba Kabwela.
Kuna sehemu nilishaambiwa nina mwendo wa kuringa eti sababu nina "raba mtoni".
Upanga yenyewe sahv syo kama ile ya wkt wenu
Zamani watoto wa upanga wote utawakuta don Bosco......na changanyikeni toka sehemu zingine
Sahv wa Asia wanatamba tu
Ova
Hii issue niliipata, hili eneo lilipigwa kinyemela vigogo walijimilikisha hapo. Mchoro ukabadilishwa maisha yakaendeleaKuna Mzee Mchaga alikuwa anaitwa Elli Mboto alikuwa anaongoza Tanzania Film Company. Lazima atakuwa kashiriki kwa namna moja au nyingine hapo.
Eneo lile washua wamejigawia kama wote wakae karibu na Baba yao, akiwaita mara moja washafika.
Pale wanaishi sisi wengine huku Bunju tunasogeza sikuKitaa kile kinahamasisha kurudi Bongo, ila tunahofia kesi za uhujumu uchumi nje nje.
Pale kama ndiyo location ya movie, kushindwa ushindwe mwenyewe.
Mzee mtu poa sana katoa sana bank statements zake kusafirisha vijana kwenda vyuoni Marekani miaka ile.
Hapo hata Baba yake Mzee Baba mwenyewe hajafika mjini.Mtoto wa upanga nakuona born town kitambo miaka hiyo Makonda yuko Kolomije anachunga mbuzi
Sana....mm mwenyewe alishanipiga taff issue fulaniMzee mtu poa sana katoa sana bank statements zake kusafirisha vijana kwenda vyuoni Marekani miaka ile.
Wazee wengine walihamia mambezi hukoSasa hivi upanga ya Wahindi na waarabu
Sijajua mkuu ila sio bei sana maana hakujachangamka sana.Viwanja bei gani huko Kiluvya?