Asilimia kubwa wa mashuwa walipenda watoto zaoHahaaa.
Umenikumbusha nilienda kwa mshksji Obay. Mshua wake akawa ananiyliza "Baba yako nani?".
Yani mshua hataki mwanawe acheze na watu wasioeleweka.
Kinyerezi pako bab kubwaTabata.
Kuanzia tabata relini one way paka segerea.
Lower middle class people. Ila tabata changombe na ule upande wa njia panda barakuda to vungunguti ni uswahili saaana.
But segerea pazuri mitaa ipo sawa.
Then upande wa segerea bonyokwa. Hapaja changamka saana.
Kinyerezi mwisho patamu saaaana. Mitaa ya kibaga songas n.k.
Kinyerez on mbez road. Pazuri saaana. Ushuani.
Miji mipya inayokua sasa mara nyingi ni mizuri madale, goba, mivumoni, kinyerezi, mbweni, bunju isipokuwa chanika itakuja kuwa uswazi mbeleni sababu viwanja chanika ni cheap sana.Tabata.
Kuanzia tabata relini one way paka segerea.
Lower middle class people. Ila tabata changombe na ule upande wa njia panda barakuda to vungunguti ni uswahili saaana.
But segerea pazuri mitaa ipo sawa.
Then upande wa segerea bonyokwa. Hapaja changamka saana.
Kinyerezi mwisho patamu saaaana. Mitaa ya kibaga songas n.k.
Kinyerez on mbez road. Pazuri saaana. Ushuani.
Ustarabu pia,na aina ya ujenzi wanaofanyaMiji mipya inayokua sasa mara nyingi ni mizuri madale, goba, mivumoni, kinyerezi, mbweni, bunju isipokuwa chanika itakuja kuwa uswazi mbeleni sababu viwanja chanika ni cheap sana.
Hawa unaowataja hapa ni umri wako nastahili kukupa shkamoo mkuu.Kama huyo marehemu Mzee Malai mtu wa watu sana vijana wengi waliojichanganya kwenye michezo kawasafirisha.
Si ndugu zake, kajuana nao kwenye basketball tu.
Vijana wanamwambia "Mzee tunataka kwenda kujaribu maisha Marekani, tunaomba utudhamini kutupa udhamini wa kutulipia chuo".
Mzee Malai anatoa Bank Statement kuubwa sana. Ubalozi wa Marekani wakiiangalia hawana maswali. Vijana wanaenda Marekani.
Kulikuwa na safari kemkem, kuanzia za shule mpaka za maskauti.
Enzi hizo pale Upanga ndiyo Dar es salaam na Dar es salaam ndiyo Tanzania na Tanzania ndiyo makao makuu ya Ukombozi wa Afrika na Brigedia Hashim Mbita tulikuwa naye kijiweni. Benzi la Benjamini Mkapa lilikuwa linatua kila siku kijiweni.
Andy Nyerere anakuja kutafsiri Dhammapada na mimi kijiweni.
Mwinyi ndiyo tumanuonesha nchi Kijiweni.
Maharage hapo check bob kabla hajawa balozi, kijiweni.
Ben Mashiba hapo Presidential Unit kabla hajawa balozi kijiweni.
Matiku hapo daladala ikimchomekea tu anatoa bastola kwenye Jeep yake, kabla hajawa balozi, kijiweni.
Mzee Mahiga yupo Canada na Switzerlqnd anatutumia viwalo na Swiss chocolate tupo kijiweni.
Membe hajulikani nani hapo kijiweni. Magufuli hajulikani nani.Kikwete ndiyo kwaanza anaanza ku register baada ya kuwa introduced na Dim kijiweni.
Galinoma anarudi kutoka Harlem, kijiweni.
Nisiwataje sana mabalozi wangu siku zao kabla hawajawa mabalozi.
Nisimwage kuku kwenye mchele mwingi.
Kinachofanyika kimara ni ujinga kabisaUstarabu pia,na aina ya ujenzi wanaofanya
Hakuna eneo baya Sema watu wenyewe ndy wanafanya maeneo ya nakuwa ovyo
Makimara huko watu wanajengeana mpaka mbele ya mageti ya wenzao hawaachiani njia
Kwenye maeneo nayo yaliyopimwa utakuta mtu anajenga mpk maeneo ambayo ni reserve
Tatizo ustarabu tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Duuh!
Nimefatilia mtiririko wako na wa Mrangi, hata sijui nianzie wapi
Yaani mmenijkumbusha mbali sana, daah kweli nimezeeka
Miaka hiyo kuanzia Upanga late 80s Mtaa wa Mindu, Jack Pemba mtoto mdogo brazameni wa kuzamia harusini, kaka yake Chuche ndio Mwamba wa Local Gyms. Kaka Mkubwa walikuwa wanamuita Terrorist ndio Gangster wa miaka hiyo na kijiwe chao INDIANA.
Tukija Don Bosco, yaani ukitoka tu shule, jioni upo ndani Football na kina watoto wa Mazyuni na kina Natepe
Basketball kina Maro, biotto , Mchungaji Ngomba, Papii
Coach Evarist, Coach Manase tunakipiga nao wote
Dj Kilosa anapiga misele na kandambili tu mitaani
Watoto wa kihindi na magari ya mashindano misele sana kuzungusha vi beetle LOVEBUG
Kijijini Upanga Tambaza kama unapajua mpaka leo vilevile
Kwenye mashindano brazameni Kolumba anasoma Azania akidanki nishangwe na makelele, Kina Kibo na Tyson wa Tambaza
Mashindano ya Don Bosco, kina sisi tulikuwa na vi fake All Star vya mtumba , Kina Janguo , Eric Mwenda, Marehemu Mpoki na Nigga one wana Original Nike Air Jordan.
Mara Mzee kapata promotion kazini, tumehamia Haile Sellasie road, miaka hiyo, ya Kina Rob D, Nigga one mtaani
Mzee wa watu Mzee Malai, nimecheza sana Basketball kwenye half court yake na kina Mazula na Warioba, halafu tunaenda kuomba mechi na watoto wa IST
Aliwapeleka PAZI wote US miaka hiyo, wote wakarudi wengine bado choka mbaya bongo,
mrangi anaielewa sana mitaa, Miaka hiyo UDA ni moja kwenda Masaki, mara Mzee Tryphon Maji huyu hapa na kIBIBI
Haile Sellasie Road sasa ni kama Uswahili mara ya mwisho nimepita, vibaa na restaurant kibao, miaka hiyo ni Oysrebay kweli, watu wakizuzura wanaonekana kabisa wamepotea mitaa, Kimyaaaa
Bima njia ya Kimanga kuna pale chama upande wa kushoto kuna mitaa walau imepangika, maeneo ya Saint Mary's napo walau, zaidi ya hapo shida tupu.Tabata.
Kuanzia tabata relini one way paka segerea.
Lower middle class people. Ila tabata changombe na ule upande wa njia panda barakuda to vungunguti ni uswahili saaana.
But segerea pazuri mitaa ipo sawa.
Then upande wa segerea bonyokwa. Hapaja changamka saana.
Kinyerezi mwisho patamu saaaana. Mitaa ya kibaga songas n.k.
Kinyerez on mbez road. Pazuri saaana. Ushuani.
Wanatuonaga wamikoani washamba na wajinga ila kiukwel wanamlo ovyo sana...note that! tutaendelea wachapia madem zenuDsm watu wengi wana maisha duni sana sana hawana kazi ni ubabaishaji tuu,hawana stock za vyakula hununua wanapotaka kula unga nusu,mafuta ya kula robo,fungu la dagaaa!!! Yani shida tupu !!! Ukikuta wana kunywa hizo supu zao za buku(1000) utacheka
Lakini wanajiona wajanjaaa!!!
Nyinyi si ndio mnatumia mkongoraa?Wanatuonaga wamikoani washamba na wajinga ila kiukwel wanamlo ovyo sana...note that! tutaendelea wachapia madem zenu
#Viva-Rchuga
Nyinyi si mnamaliza pweza baharini?Nyinyi si ndio mnatumia mkongoraa?
Na wenyewe wanajua thamani ipo ktk ardhi ata kama hiko kibanda ni mbavu za mbwa. Wewe kama una fedha mpe hiyo 300M aondoke.Ukiwauliza bei wanakwambia milioni 300 kibanda chenyewe hakieleweki
HahaaaNyinyi si mnamaliza pweza baharini?
Mkongoraa ni dawa ya tumbo boss na kusafisha kibofu cha mkojo kwa mwanaume..
Maringo kubwa sana, hebu sema jirani na nini?Kawe maringo kuna ki sehemu Kizuri pia
Ova
Round about such nyuma ya lile gorofa la yule aliyekuwa wazir wa elimu (rip)Maringo kubwa sana, hebu sema jirani na nini?
Kwa kusema "tutaendelea kuwachapia madem zenu" unazidi kudhihirisha ushamba wako. Unadhani kuchapa "mademu" za wengine ni ujanja au?Wanatuonaga wamikoani washamba na wajinga ila kiukwel wanamlo ovyo sana...note that! tutaendelea wachapia madem zenu
#Viva-Rchuga
Kunywa balim nakuja kulipa boss..Kwa kusema "tutaendelea kuwachapia madem zenu" unazidi kudhihirisha ushamba wako. Unadhani kuchapa "mademu" za wengine ni ujanja au?
NotedRound about such nyuma ya lile gorofa la yule aliyekuwa wazir wa elimu (rip)
Kulikuwa na ki squatter Sema waliyokuwa wanaishi hapo walikuwa wastarabu....ila kwa sasa sijuii patakuwaje
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
ilikuaje akapigwa? aliuziwa na mtu/ardhi?Hapo wakati wa mvua ni ziwa
Hilo eneo lina story ndefu
Ova
ndo mchezo yako kumbeWanatuonaga wamikoani washamba na wajinga ila kiukwel wanamlo ovyo sana...note that! tutaendelea wachapia madem zenu
#Viva-Rchuga