Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Miji mipya inayokua sasa mara nyingi ni mizuri madale, goba, mivumoni, kinyerezi, mbweni, bunju isipokuwa chanika itakuja kuwa uswazi mbeleni sababu viwanja chanika ni cheap sana.
chanika ishakuwa uswahilini tayari!!
 
wapo sahihi lakini mtoto wa kishua na uswahilini wapi na wapi
 
kinyerezi kibaga kumetulia
 
Hahaaa.

Umenikumbusha nilienda kwa mshksji Obay. Mshua wake akawa ananiyliza "Baba yako nani?".

Yani mshua hataki mwanawe acheze na watu wasioeleweka.
ulikuwa muhuni sana nini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
huyo mzee malai alikuwa kiongozi serikalini?
 
Nigga one wa kwanza unit?
 
mzee malai alikuwa ana shughuli gani?
 
Basketball kulikuwa na TANESCO, Oysterbay kwa Mzee Kimaro Haile Selassie pale (Baba yake producer Master Jay), Gymkhana grounds kwa Mzee Malai palipokuja kujengwa Sheraton, Don Bosco na Uwanja wa Ndani wa taifa.

Watu wamejifua sana Basketball.
kipindi hicho nasikia P funk na Master J walikuwa masupastaa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…