Mafanikio ya ATCL: Safari za moja kwa moja kutoka Tanzania kwenda Guangzhou China zaanza

Mafanikio ya ATCL: Safari za moja kwa moja kutoka Tanzania kwenda Guangzhou China zaanza

Hii route ni very strategic kwa Tanzania
Huu ni wakati sasa wa kuimarisha uchumi kama tunavojua Guanzhou ndio kama industrial hub ya Uchina.
 
Matangazo mengi unaweza kuta mnatembeza ndege liko tupu ili mradi tu wasifiwe inaenda uchina
 
Matangazo mengi unaweza kuta mnatembeza ndege liko tupu ili mradi tu wasifiwe inaenda uchina
Kama vile walivyolazimisha kupeleka ndege polini chacho ikiwa haina hata abiria.
 
Wafute kale kasentensi kalikoandikwa hapa kazi tu. Siyo kivutio kibiashara, kana kera na kuamusha hasira iliyo kwishaanza kuyeyuka mioyoni mwetu kama jiwe la barafu juani
 
Kama vile walivyolazimisha kupeleka ndege polini chacho ikiwa haina hata abiria.
Kule porini nikifikiria nani alikuwa anapanda kila siku tofauti na kichwa cha panzi
 
Matangazo mengi unaweza kuta mnatembeza ndege liko tupu ili mradi tu wasifiwe inaenda uchina
kwa hiyo ulitaka siku ya Kwanza tu wajae. Wewe kweli zumbukuu unaelekea hujawahi fanya biashara yoyote maana ni mara chache mambo kuiva at first time.
 
Serikali ya china imeweka utaratibu watakao ingia china ni raia wa china tu hivyo ndege umeondoka nanraia wa kichina wengi tu wakutosha

Lkn watakao rudi ni pamoja na raia wa kigeni watakao ondok china lkn pia mizigo iliyotoka china itakuja na ATCL
 
Back
Top Bottom