Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwaka huu sijasikia upinzani wakisema CCM ni mafisadi
Hii ni kauli ambayo ni mbaya Sana, Kwa Nini kuongoza wanyonge tuu badala ya kuongoza watu wenye uwezo wa kujinasua kimaendeleo ili tuwe Katika viwango vya kutotumika na wanasiasa Kwa maslahi yao binafsi, so disgusting kuita wanyonge!Pale mtetezi wa wanyonge anapowaletea umasikini wanyonge uleta shaka juu ya uzalendo wake. Mtetezi wa wanyonge katu hawezi Kuwasomesha namba wanyonge ili wawe masikini ili wamuabuduhttps://youtu.be/N7QJEFijpb4
NAfikiria kwanza,lakini bado mawazo yako yananipa mashaka kidogo.Japo nchi hiii inampa kila mtu uhuru.Hii ni kauli ambayo ni mbaya Sana, Kwa Nini kuongoza wanyonge tuu badala ya kuongoza watu wenye uwezo wa kujinasua kimaendeleo ili tuwe Katika viwango vya kutotumika na wanasiasa Kwa maslahi yao binafsi, so disgusting kuita wanyonge!
Kweli kabisa,ilani ya chama cha mapinduzi imejitahidi sana kugusa kila kitu,na ushindi wake utazingatia sana na utasababishwa na ujweliUSHINDI WA CCM UNATOKANA NA UTEKELEZAJI NA USIMIZI BORA WA ILANI YAKE
WASITUGAWE[emoji119][emoji95][emoji1241]Katika Sekta ya Kilimo, ufugaji na Uvuvi kwa Miaka mitano iliyopita Serikali imechukua hatua mbalimbali ikiwemo kufuta Tozo 114 kwa Wakulima, Wafugaji na Wavuvi. Katika kipindi kijacho Serikali imejipanga kutengeneza machinjio ya kisasa, kuendeleza na kujenga Maghala ya kuhifadhi na Vituo vya kuchakata mazao. (Ilani ya Uchaguzi Uk 33-56) View attachment 1564651
Hahahaaaah!! Bombadier used 2Ha ha imebidi nicheke. na kelele zote hizi haya ndio kayafanya. Kukomesha rushwa how , nidhamu makazini unaweza kuniambia how, airport mwanza na Dar pamoja na flyovers ni on going projects alizikuta. Alichofanya yeye ni kununua bombardier used 2 ,kujenga hostels ya wanafunzi na kupanua hicho kipande cha barabara ya moroko.
Nyingine tunasikia kila siku ni mikwara , vitisho na ubabe ,kabaki kusema fanyeni kazi. Tutaona hiyo 2020. Hajaanza hata km 50 ya lami toka aingie ikulu
Huu ni wendawazimu tu, watu tumekuwa wanafiki sana, kumsifia mpaka ujinga, ni heri anayekosoa maana huyo ndiye rafiki mzuri na anayependa uendeleee!!Tuacheni mihemko tumsifu pale alipopatia maana nchi ilikuwa imeoza.
Fikiri mkuu hajaenda hata dubai kuosha macho kwa Uzalendo wake.
Hizo ajira sasa zinatosha???Ajira gani unazungumzia?
Ukitoa walimu na madaktari ambao bado nao ni wanaonekana kuwa wengi.
Ajira za kada zingine kwa mashirika ya serikali zinatangazwa kila siku pitia wovuti ya utumishi Mkuu.