amekalia kujisifu tu na watanzania walivo weupe kichwani eti wanamuaminiMTU msomi anakomalia issue ndogo ya vitoto vilivyobeba ujauzito
MTU mwenye PhD speech yake anasema
hawafurukuti! hawaniwezi! watakoma! hawanitishi! wasinidrive! hatuna kiongozi aisee!!
Hahaha Joseverest kuya hukumshana umemuwahi mwenye siti
Vp hilo.la ndugu limekugusaje au mkeo ni.wa kanda pendwa?[emoji4][emoji5] kapewa shavu?
Post sent using JamiiForums mobile app
Wewe mgonjwa wa akili?Kwa wale wanaofuatilia ujenzi huu uliozinduliwa kwa mbwewe nyingi,hivi wamejenga hata kilometa moja?
Ndio. Haya mjibuu mgonjwa swali lake basi
Mkuu punguza povu,naomba jibu
Mmeongezwa posho nini, maana quantity ya threads unazoporomosha humu ni HATARI !Kwa wale wanaofuatilia ujenzi huu uliozinduliwa kwa mbwewe nyingi,hivi wamejenga hata kilometa moja?
Jibu swali mkuuMmeongezwa posho nini, maana quantity ya threads unazoporomosha humu ni HATARI !