Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cherehani nne ni kiwanda...Tuwekee ilani ya ccm na utekelezaji wake
Ni usukuma na ukatoliki tu ndio umetamalakiJibu hoja acha ukabila kama msukuma sizonje
nyie jamaa mmerogwa Hv ni mwananchi gani utamueleza ujinga huu akakuelewa au ndio mnajitekenya na kucheka wenyew,,, maendeleo tunayaona sana mpaka mnakosa sera ndugu zetu chademaKitu ambacho kinaipa asilimia kubwa ccm mpaka sasa ni kuwekeza nguvu zao kuwakabili chadema tu
Hapo nawapa asilimia 50 kwa kuwatumia police tunaowalipa kwa kodi zetu
Lakini kiuhalisia hakuna ahadi hata moja iliyofanywa au kutimizwa na ccm
Tanzania ni ile ile aliotuachia jakaya kikwete
Haijapiga hatua yoyote
Mahakama ya mafisadi ipo labda mpaka Lowasa akipelekwa ndio utajua inafanya kazi..na ukitaka kujua inafanyaje kazi niambie nikujuze sio unasubiri kudanganywa na bavicha wenzio...Mie nadhani tunaonyeshwa mazingaombwe, tangia tumbuwa ya majipu ianze wanatufanya tunakua EXCITED halafu hakuna kinachofuata kwenye huo mchezo. Mahakama ya mafisadi ijengwe,tangia huu msemo uwepo, mmeiona ikijengwa?
Mahakama ya mafisadi ipo labda mpaka Lowasa akipelekwa ndio utajua inafanya kazi..na ukitaka kujua inafanyaje kazi niambie nikujuze sio unasubiri kudanganywa na bavicha wenzio...
Kitu ambacho kinaipa asilimia kubwa ccm mpaka sasa ni kuwekeza nguvu zao kuwakabili chadema tu
Hapo nawapa asilimia 50 kwa kuwatumia police tunaowalipa kwa kodi zetu
Lakini kiuhalisia hakuna ahadi hata moja iliyofanywa au kutimizwa na ccm
Tanzania ni ile ile aliotuachia jakaya kikwete
Haijapiga hatua yoyote
Nimeamini maneno ya mkapa ni ya kweli kabisa. Kama hauoni kilichofanyika mpaka sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahakama ya mafisadi ipo labda mpaka Lowasa akipelekwa ndio utajua inafanya kazi..na ukitaka kujua inafanyaje kazi niambie nikujuze sio unasubiri kudanganywa na bavicha wenzio...
Kwani tuliambiwa ada au elimu bure mpaka kidato cha nne?Hivi ni kweli huoni kilichofanya au unazuga, kwani mtoto wako analipa ada? Hivi ile Barbara ya malinyi had I Namtumbo huisikii? Bado hizo mindege huion?
Yako wapi hayo maendeleo zaidi ya umaskini tunyie jamaa mmerogwa Hv ni mwananchi gani utamueleza ujinga huu akakuelewa au ndio mnajitekenya na kucheka wenyew,,, maendeleo tunayaona sana mpaka mnakosa sera ndugu zetu chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kafungwa maana mafisadi wapo ccm tu mbona hatuoni wakifungwaMahakama ya mafisadi ipo labda mpaka Lowasa akipelekwa ndio utajua inafanya kazi..na ukitaka kujua inafanyaje kazi niambie nikujuze sio unasubiri kudanganywa na bavicha wenzio...
MaCCM ni majitu ya ajabu sana. Badala ya kupigania maendeleo, yanapambana na chadema kila kukicha.Kitu ambacho kinaipa asilimia kubwa ccm mpaka sasa ni kuwekeza nguvu zao kuwakabili chadema tu