eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Longo Longo tu za sizonjeWewe naye hata kama umerogwa lakini mchawi wako pia huenda chooni,
Sema haya basi
--Sukari
--Bomoabomoa
--Vyeti feki ila kabaki mmoja
--Uchumi unakua kwa 4G speed
--Yeye ni wa wote
--.....,
Wamemkwamisha nani
Wanatumia matumbo tu.Asilimia kubwa ya wananchi wa tanzania hawatumii akili zao kwenye uchaguzi wa viongozi.
sema wewe sasaNimeamini maneno ya mkapa ni ya kweli kabisa. Kama hauoni kilichofanyika mpaka sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Maendeleo na utajiri ni vitu viwili tofauti. Unaweza ukawa masikini lakini anaendelea.Yako wapi hayo maendeleo zaidi ya umaskini tu
Twaweza hawakukosea kabisa kwamba ccm inapendwa na wajinga wajingaMaendeleo na utajiri ni vitu viwili tofauti. Unaweza ukawa masikini lakini anaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nchi zinazoendelea duniani ni tajiri? Unaweza ukawa maskini unayeendelea lkn bado hujafikia stage ya kuitwa tajiri. Think twice think big.Twaweza hawakukosea kabisa kwamba ccm inapendwa na wajinga wajinga
Maendeleo na utajiri unavitofautishaje
Maendeleo yakiwamo na umaskini unapungua
Unawezaje kuendelea na umaskini ukaendelea kuwepo haiwezekani hata siku 1
Chanzo cha umaskini wa watu ni kuwa nchi haijapiga hatua yoyote
Pesa zote magufuli anazitumia kwenye kukandamiza demokrasia kuwabambikia Wapinzani kesi kesi visasi na uonevu wa kila ainaKitu ambacho kinaipa asilimia kubwa ccm mpaka sasa ni kuwekeza nguvu zao kuwakabili chadema tu
Hapo nawapa asilimia 50 kwa kuwatumia police tunaowalipa kwa kodi zetu
Lakini kiuhalisia hakuna ahadi hata moja iliyofanywa au kutimizwa na ccm
Tanzania ni ile ile aliotuachia jakaya kikwete
Haijapiga hatua yoyote
Hivi mkapa ni wakumwamini?Nimeamini maneno ya mkapa ni ya kweli kabisa. Kama hauoni kilichofanyika mpaka sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ni nywele kila mtu ana zake; nani alikuambia kwamba mahakama ya mafisadi inajengwa? Hiyo ni division tu ya mahakama kuu ya Tanzania na kumbuka mahakama siyo majengo, mahakama inaweza kuendeshea shughuli zake hata hotelini.Mie nadhani tunaonyeshwa mazingaombwe, tangia tumbuwa ya majipu ianze wanatufanya tunakua EXCITED halafu hakuna kinachofuata kwenye huo mchezo. Mahakama ya mafisadi ijengwe,tangia huu msemo uwepo, mmeiona ikijengwa?