Baadhi ya miradi ya barabara anazindua iliyoachwa na mtangulizi wake mfano barabara ya Kondoa-babati
 
Kituo cha mabasi cha Msavu tayari kashakizindua pamoja na daraja la Kilombero
 
mwanzoni akiomba kura alisema atawaenzi wafanyakazi lakini baada ya kupata imekuwa kilio kwa wafanyakazi !
 
Milioni 50 kwa kila kijiji vipi??
ilikuwa siasa tu ndugu kuomba kura. Lakini pia tukumbuke kuongoza serikali si mchezo kila kitu unaangaliwa wewe tu na unategemea kodi huna pesa mfukoni. ni uvumilivu tu sijui mwaka 2020 ataeleza nini wananchi
 
Ndani ya miaka 2 unusu tu, WATU WAMEUAWA, WENGINE HAWAJULIKANI WALIPO, WENGINE WAMEPIGWA RISASI HADHARANI WAMELAZWA MPAKA LEO, WENGINE WAKO JELA, WENGINE WAMETOLEWA BASTOLA HADHARANI, NA WENGINE WANAENDELEA KUPOKEA VITISHO ( TERROR) MPAKA SASA
 
ilikuwa siasa tu ndugu kuomba kura. Lakini pia tukumbuke kuongoza serikali si mchezo kila kitu unaangaliwa wewe tu na unategemea kodi huna pesa mfukoni. ni uvumilivu tu sijui mwaka 2020 ataeleza nini wananchi
Ni kweli ni wanasiasa wachache sana unaweza kuwaamini lakini na ni baada ya kutekeleza alichosema. Kwa hali ilivyo sasa hivi wafanyabiashara wapo wamefunga biashara lakini watumishi ambao ni walipa kodi nao mishahara haijapanda toka 2015, Kwa hiyo ni lazima makusanyo ya kodi yashuke
 
Ndege kubwa ya kisasa kuingia nchini wakat wowote
 
Je mahitaji Halisi ya mtanzania ni yapi kati Yale tunayoita mafanikio ya serikali
 
Upanuzi wa JNIA ulianza kipindi cha JK! Au umeandika kuanzia uwaziri?[emoji36]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…