Unaeza kuwa na vyote, lakini kama hauna furaha vyote ni takataka tu
 
Hayo yote uliyoorodhesha ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi. Unaacha kushughulika na matatizo ya wananchi ili waone faida ya kulipa kodi, unaenda kununua ndege ambayo ndani ya miezi miwili inaharibika.
 
Tunajua Awamu hii ni Awamu ya Vigelegele kwa kusifu na kuabudu ,ongezeni bidii .
 
Bomba la mafuta na bwawa la umeme, mengine ni porojo tu!
 
Chagua nafasi unayotaka tumuondoe nani upewe wewe, naona unazungumzia matarajio zaidi badala ya yaliotimizwa, anyway njaa imebana umeshindwa kuvuta subira. Bomba mali ya Uganda mafuta wameyagundua sasa sijui ulitaka akina Nyerere, Mwinyi, Kikwete na Mkapa wafanyeje! Kuhamia Dodoma ni sheria iliyopitishwa na bunge na haikuwahi kufutwa. Hizo flyover unaziona au unaziota maana bado hazipo. Tafuta kazi ufanye usisubiri uteuzi utakufa njaa.
 
Ameiba 1.5 TRILIONI jamba waka mkubwa yule. Kafukuzwa watumishi kinyume na sheria. Ameharibu uchumi wetu maana kila kitu linajua. Gesi imepanda, saruji, sukari, mafuta, na gharama za maisha nazo zinapaa huku mishahara imebaki kidogo.

Huku mtaani mimi ndio mtumishi pekee sasa wenzangu watatu walipofukuzwa wale wenyeji wangu walicheka sana kwamba ni wezi walioiibia serikali. Leo nashangaa nakopeshwa tuu kisa biashara hakuna nasema endelea kuwakomesha hawa mbwa mpaka wakome maana hapa mimi nauraigi maana mpaka mtu anataka akufulie kisa njaa na mimi nasema mukufe mbwa nyie
 
Sio kosa lako hiki ni kipindi cha kuchutama tu na kujipendekeza kama unataka uishi vizuri lakini tatizo lako wewe nae kuna vitu umechanganya sijui kwa makusudi au ndio kulamba nyayo za mkuu. unapoongelea mafanikio yake akiwa kama naibu au waziri hapo wasifie waliokuwa marais hao ndio waliokuwa wenye serikali na watoa maamuzi ukitaka hivyo basi hata hii miundombinu ya sasa wasifie mawaziri wanaoisimamia, usichanganye vitu
 
Maendeleo ya vitu hata jakaya ameyafanya Magufuli cha maana alichofanya ni kukomesha Rushwa na kuleta nidhamu
Niliweke sawa hilo la rushwa na nidhamu.
Rushwa bado ipo, pamoja na kwamba anajitahidi kupambana nayo usiku na mchana. Ili kungóa kabisa mzizi wa rushwa, angeiondoa TAKUKURU kutoka ofisi ya RAISI. Iwe completely independent. Ukifuatilia suala la paspoti mpya na mchakato wake mzima wa jinsi mkandarasi alivyopatikana utakuta madudu matupu. Nidhamu iliyojengeka miongoni mwa watumishi wa umma ni ya woga, sio kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…