Kungwi Mtoto
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 796
- 776
Rais wetu wanyonge huyu.. hongera baba.. pambana tuko nyuma yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiondoa esigiara na stigilas goji ni kitu gani jiwe amefanikisha??jibu tafadhali!![]()
Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.
Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.
Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.
Mpaka sasa kafanya haya;
Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------
Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;
Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba
Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.
Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.
Miradi Mikubwa ya Maji :
Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
Watu kupotezwa na watu wasiojulikanaMnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Watu kama wewe bila ubabe hakuna lolote. Nchi hii bila ubabe ni kulalamika tu. Mtu mwenyewe hata unaiba hadi sindano !!Hizo milioni 50 kila kijijini wala siwezi kumkumbusha maana najua hawezi kutoa.
Maendeleo hayaletwi kwa kutumia ubabe,dharau, kiburi, jeuri, nguvu , kwani kazi anafanya peke yake?
Sindano ipi tena au umechanganyikiwa?Watu kama wewe bila ubabe hakuna lolote. Nchi hii bila ubabe ni kulalamika tu. Mtu mwenyewe hata unaiba hadi sindano !!
Unaambiwa kuna barabara ya kwenda Tandahimba. Unavyouliza yote hayo yanamsaidia nini mwananchi wa Tandahimba ni upuuzi mtupu. Kitu cho chote kinachofanyika hakiwezi kuwasaidia moja kwa moja Watanzania wote kwa ujumla. Acha utoto. Tumuunge mkono Rais wetu katika jitihada zake za kuendeleza nchi.Yote hayo yamemsaidia vipi mwananchi alieko Tandahimba?
Uwanja wa ndege chato1)uwezeshaji wa kupotea kwa pesa 1.5trillion bila mtu kuhoji
2)uendelezaji wa kazi nzuri ya kusaidia watu kuhama vyama na kupata tena vyeo walivyokuwa navyo bila mtu kuhoji
3)viwanda 3000+ kuanzishwa na uchumi kupanda kwa kasi nzuri wapinzani na wananchi kumuunga mkono
4)polisi kusimamia haki katika vituo vyetu vya uchaguzi na kulinda amani mitaani
Hapana na ndiyo! Hapana kwa sababu hii miradi ya ujenziinatoa fursa za kazi au ukipenda ajira; haijalishi ni kwenye ngazi au kiwango gani, lakini wananchi wetu, Watanzania wa kawaida wanapata kazi huko. Kazi hizo zinaweza kuwa zile za moja kwa moja (direct employment) au zile zisizokuwa za moja kwa moja (indirect employment). Nadhani unanielewa, kwa hiyo pesa, hata kama ni chache kiasi gani zitabaki humu nchini! Hicho kiasi kinacho kwenda nje ni kadri ya mikataba ilivyo. Hii ndiyo ninyi mnaita win - win situation! Usitarajie wajenge tu na wao wasipate cha kurudisha kwao; fahamu kwamba haya ni makampuni yana ofisi na staff wengine huko na ni halali wapeleke pesa kwao!Hivi jaman tukiachana na masuala ya kujenga jenga pesa si angepeleka na sector nyingine. Ili mzunguko wa pesa uwe mkubwa.
Maana ukifuatilia makampuni mengi ya ujenzi ni ya foreigners so pesa haibaki nchini. Hivyo uchumi kuzidi kudorora zaidi