Acha upumbavu wewe. Watu humu wanafuatilia yanayojiri kila siku na kuna maovu chungu nzima ikiwemo uvunjaji wa katiba na sheria za nchi kila leo lakini kutokana na ufinyu wako wa akili huyaoni bali unaona upuuzi puuzi tu usiokuwa na kichwa wala miguu.

 
Katika kipindi hicho hicho kifupi amefanikiwa pia katika
1. Kufanya uharibifu katika utamaduni wetu wa kidemocrasia,
2. kuvunja utengamano wa kitaifa,
3. kuvuruga mahusiano ya mihimili yetu ya uongozi ya kikatiba.
4. Kuvuruga misingi ya utu na uhai wa binaadamu tuliyorithi kutoka kwa mababu zetu
5. Kuvuruga misingi ya utendaji ya vyombo vyetu vya usalama
6. kujenga misingi ya siasa za hovyo
7. Kujenga misingi ya chuki ktk jamii.
8. Kujenga misingi ya utawala wa upendeleo wa hovyo hovyo
 
Pia usisahau kwamba mkuu hela aliyokopa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii ndani ya miaka 4 mwenzie kikwete alikopa miaka 10 sasa sijui Hadi amalize mda wake Kama ataacha kitu
 
Pia mta
Deni ambalo angekopa kwa mpaka 15,kakopa kwa mpaka 3!
So kuongea ni kuchagua!
 
Katika hili la kujenga vituo vya afya 350+ hatosahaulika milele
 
Sure man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
io kazi ya Miaka 10, ni kazi ya miaka 28, Kazi kujenga demokrasia ya vyama vingi imejengwa kwa miaka 28, yeye kaibomoa kwa miaka 4 tu, good Job!!!!!!!!!!!!!
 
Hakuna kitu cha bure nani anakwamnia elimu ni bure?
Wewe umeona Raisi Magu anatoa pesa zake mfukoni?
Kodi zetu bila ridhaa yetu ndio zinasomesha watoto hao.
Yaani jirani yako umsomeshee mtoto au watoto wake hata kama wewe huna?
Kila mtu angebeba mzigo wake mwenyewe kama alivyowambia Kigamboni wapige mbizi kama nauli ya feri wakiona ni aghali,wakati akiwa waziri wa miundombinu na uchukuzi.
 
Kwanza kabisa jiwe no mwizi mkubwa kuliko wrote waliopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe statistics kama sio mihemko tu inakufanya ulete judgement
 
Mandeleo ya vitu!just like Ethiopia!
 
akirudi mpe na shule nyingine ataelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…