Hayupo kiongozi msafi duniani hapa, hayupo hata mmoja, unamtupia lawama Mkapa lakn issue zake nyingi zinahusu parchasing kitu ambacho hata ww ukienda dukani unaweza uziwa simu mbovu kwa bei ya simu mpya, hyo ni kawaida tu unapokosa umakni na uelewa wa kitu unachokitaka,
na kamwe hauwez kuwa ofisini usijiangalie na ww hiyo haipo, ni fala tu anayeweza fanya kazi kwa maslahi ya wengine bila yeye kujijali, Nyerere alijarbu hilo nowdays watu wanamuona ni kilaza...
Na huwez kuzuia ufisadi na rushwa kwa 100% hilo haliwezekani, utakachofanya ni kufigth ili kupunguza..ni kweli tutayaona maengi akitoka madarakani bado ukweli utabaki palepale jamaa ni jembe na atakumbukwa tuu, somtyme watatamani hata nyakat zake zijirudie...
Labda ww utuletee kiongozi msafi na mwadilifu,
Kama Mbowe tu anakashifa kibao ....