amesimamia vyema UPORAJI WA KOROSHO ZETU KUSINI.
Amesimamia vyema mauji ya WAISLAMU huko MKIRU
Amesimia vyema jaribio la kumuua/ kumshambulia TL
Amesimamia vyema kukatisha bunge live lakini yeye anaoneshwa hata akienda kanisani
NI MPUUZI AWEZAYE KUSEMA MAGUFULI NI KIONGOZI MZURI KUIONGOZA NCHI .YULE NI MNYAPARA
 
Mpe na tigo yako kabisa ikiwezekana
 
12. Amekomesha biashara ya ujangiri na madawa ya kulevya nchini. ____Hapa 100% pasipo shaka amefaulu mwanaume......
 

“Jemedali”...then f** you!

Sijui ni kwanini majitu ambayo ni mashabiki ya Jiwe hua hayajui kuandika Kiswahili sahihi!?

I wonder why!
 
Watanzania tulio wengi tunamwelewa sana Raisi Magufuli hawa wachache wanaompinga na kumkosoa ni wale waliozoea kuishi kwa ujanja na ufisadi ,Tunajiuliza hawa walitaka Rais wa namna gani, tumeshughudia na tumejioneo miradi mingi saana ikianzishwa na kufanikiwa mifano michache ya miradi .

kajenga vituo vya afya zaidi ya mia tatu, reli ya kisasa kutoka Dar kwenda kanda ya ziwa, tumejionea juzi alhamisi treni ya mizigo ikitoka tanga kwenda kilimanjaro amekaraba reli ya tanga hadi kilimanjaro, Elimu bure , miundombinu ya barabara anaiborosha mfano Dar es saalam UBUNGO tunajionea anachokifanya hapo, madawa hospitalin yameongezeka , Watanzania tuendelee kumwombea Raisi wetu zidi ya maadui yaliotafuna taifa hili ,
 
Aisee mkuu binafsi namkubali rais kwenye maendeleo.. ila kwenye siasa amefeli. Kuna mambo anafanya ni mazuri na kuna anayofanya si mazuri.

Sasa ww unavyosema watanzania wengi? Unawakilisha mkoa,jimbo ,au nchi nzima?
Mara mia ukajisimea ww kama ww.. lakis si ukawasemea wengine wkt hujui state zao kuhusu mhe rais.
 



Tusipende kuishi kwa ushabiki kwan maendeleo upimwa kwa namna mtu anavyo ishi na sio namna serikali inavyo ona

Oja yako namba moja ina mashiko ila sio elimu bora n elimu ilimrad watoto waende shule

2-ukiwa wasema kitu sema kwa fact 1.5T zipo wap police walio kamatwa na kuachiwa kuhusu dhahabu ule sio ofisad?

3-mauaji ya kibiti ujawai sikia na kuhusu watu kutekwa na kusemekana wanajiteka ni sahihi unabid utambue wewe mwenyewe ulivyo apo n rasili mali unabd kuwaza iliwa kwako je itakuaje?

5- ningependa kutambua umesha fanya safari kwa kutumia izo ndege kwa mara ngap? Ndege inafanya kazi n moja tu ndio iyo itoke dar ipite KIA iende entebe irud chukua watu kia irud dar na hapo watu walikata tiket ya mchana wanakuja chukuliwa saa mbili usiku na sio mara moja n mara kibao wengne ilisha tugarmu mpaka kukata tiket zingne zaid ya mara tatu,ndege mnasafiri watu kum apo unazani faida ipo wap?

6- sawah uchumi wa maneno ila sio uchumi wenye pumzi tunao uona kila siku dollar inapanda yuan inapanda leo ihii tuan ipo 347 kutoka 330 enzi ya mzee wetu kikwete uchumi umepanda kwenye midomo ya vibaraka au kwenye nn?

8-ameweka jiwe la msingi na sio kujenga hamna mradi mkubwa ata mmoja unaoweza kamilika ndan ya muda mchache iyo treni ataendesha kwa kitu gan umeme wetu binafsi majumban unakatika iyo tren itaendeshwa kwa kitu gan? Tusipende kushadadia ila tuwaze kwa mapana sana

9- mapato ya kuumiza watu n sawa na watu awawez kutumia ela kama mwanzo sababu wanajua kuzipata n shida ila ukiangalia watu wake wote wakarbu wanavyo zitumia hapo bado ufisad upo

10 ni plan ila bado aijatekelezwa na kuwa na plan n jambo jema utekelezaji je?

11 nimekuja tambua kuwa ujawai zunguka na kuona unacho kisema izo sio flyover ila ni kama madaraja tu ya kawaida sana zunguka nchi za wenzetu utaona maana ya flyover na sio ivyo vidaraja vya juu

12- madawa ya kulevya yako pale pale semawanafanya watu wa juu sio kila mtu anafanya saiv

13- aina ukwel wowote dawah hospital azipo juzi tu hapo tuna ambiwa tukanunue madumu ya drip nje hosp yameisha ndio kaborasha nn embu tuanze ulimbuken

14 hapa ni uongo mfano mzur n uhuru wa kujieleza n nan anaeweza mkosoa adharan akabaki salama au ulivyokuwa wa andika ihii point ukuwaza

15 mshikamano gan wakat wawekezaj kila leo wanaondoka kila leo kuja jipya kuhusu nchi yetu na mataifa mengne kama ndege tu kuanza safari ya south na kutoshusha watu hapo uhusiano gan mzuri upo labda wa East African ndio useme ivyo ila sio mataifa mengne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…