Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Ndio ni kweli lakini huyu mkuu anasifu sanaKuna wengine nao kila sekunde ni kupinga tu!
ukitoka hapa,ukapimwe akili.1. Amerejesha heshima ya utumishi wa umma;
2. Amebana matumizi ya hovyo ya fedha za umma;
3. Amewapa heshima watumishi wa umma kuonekana wanamageuzi;
4. Ameondoa wafanyakazi hewa zaidi ya 19k;
5. Ameondoa vihiyo wa vyeti vya kidato cha nne zaidi ya 13k;
6.Analipa mishahara kwa akati kabla ya tarehe 25;
7. Ametoa nyongeza ya asilimia 10 ya mshahara kwa zaidi ya wafanyakazi 500k ambapo mchakato huo haukuwahi kufanyika tangu 2010;
8. Amepandisha madaraja zaidi ya wafanyakazi 300k;
9. Watumishi wa umma sasa wanatoa huduma na wananchi wanasauti ya kudai huduma. Hakuna *"Miungu Watu."*
10. Ameajiri wafanyakazi wapya karibu kila sekta na kika siku nafasi mpya zinatangazwa na Sekretarieti ya ajira;
11. Amewapatia ajira vijana wengi kuptia miradi mikuwa inayoendelea nchini;
12. Amewapatia ajira watanzania wengi kupitia Sera ya viwanda;
13. Miradi sasa inasimamiwa na wanaodokoa fedha yanawakuta;
14. Miradi sasa inatekelezwa na inaonekana;
15. Halmashauri sasa zinaongeza mapato kila siku;
16. Amepeleka mifumo ya kisasa ya kukusanya mapato kwenye Halmashauri;
17. Amejenga hospitali 67 za Wilaya ndani ya mwaka mmoja (Kwa miaka 50 zilijengwa 77 tu);
18. Amejenga vituo vya afya vyenye hadhi ya kufanya oparesheni, viko 480;
19. Amejenga Hospitali za Mikoa za Kanda mikoa mingi ikiwemo Mtwara, Njombe, Mbeya, Simiyu, nk;
20. Shule za msingi na sekondari zimekarabatiwa zikiwemo shule kongwe za Serikali kama Azania, Tabora Boys, Minaki, Pugu, Tanga School n.k;
21.Amewalipa walimu madeni yao zaidi;
22. Anatoa elimu bure;
22. Amesambaza madawati na mamilioni ya vitabu vya kiada na ziada;
23. Anawalipa Wakuu wa Shule posho zao za uongozi;
24. Amewapa heshima Wakuu wa Shule kusimamia fedha zao wenyewe, anapeleka TZS bilioni 23.85 kila mwezi moja kwa moja shuleni;
25. Anawalipa Maafisa Elimu Kata posho zao;
26.Amenunua magari ya wakaguzi wa elimu na kuyapeleka mikoa yote nchini;
27. Kateua viongozi vijana wa mikoa, wilaya na halmashauri mbalimbali;
28. Ofisi ya Waziri Mkuu imeimarishwa kiutendaji na tunaona PM anatindua hasa;
29. Zoezi la kuhamia Dodoma linaendelea kutimia na Rais ameshatangaza kuhamia;
30. Zaidi ya Wafanyakazi 10,000 wa wamehamia Dodoma;
31. Miradi ya barabara zaidi ya km 100 inajengwa Dodoma;
32. Mji wa Serikali umejengwa Dodoma;
33. Ikulu ya Dodoma imeboreshwa na makazi ya wafanyakazi yamejengwa;
34. Uwanja wa Mpira Dodoma unatangazwa kuanza kujengwa;
35. Soko kubwa linakamilika Dodoma;
36. Stendi kubwa inakamilika Dodoma;
37. Wananchi wanapimiwa na kuuziwa viwanja kwa bei chee;
38. Uwanja wa Ndege Dodoma umeboreshwa;
39.Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Msalato maandalizi ya ujenzi yameanza;
40. Sekta binafsi imepewa fursa Dodoma, watu wanauza bidhaa, wanatoa huduma, wanajenga majengo;
41.Miradi ya kuwejengea uwezo vijana wasio na elimu rasmi na ujuzi imeendelea kutekelezwa;
42. Sherehe mbalimbali za kitaifa zimeratibiwa na nyingine kubadilishwa mfumo na fedha zaidi ya TZS Bilioni 5 kwenda kutumika kusaisia wananchi kama kujenga barabara, hospitali na madaraja ya juu ya kupita wananchi;
43. Bunge limeendelea na Kazi zake ikiwemo wabunge kupatiwa fedha za Mfuko wa Jimbo;
44. Serikali imefanikisha katazo la mifuko ya plastic;
45. Uthabiti wa usimamizi wa mazingira umeongezeka na kampuni kubwa tu kama Barrick zimepigwa faini au kuzuiwa kwa uchafuzi. Hakuna mtu kuogopwa;
46.Mapato ya Serikali yameongezeka kutoka Bil 850 kwa mwezi mpaka trilioni 1.3 kwa mwezi;
47. Serikali imeweka rekodi tangu nchi ianze ya kukusanya trilioni 1.7 kwa mwezi hivi karibuni;
48. Matumizi ya anasa hasa safari za nje na semina zisizo na tija yamepungua sana;
49. Serikali inatoa fedha za Matumizi ya Kawaida kika mwezi, haijapata kutokea;
50. Fedha za miradi ya maendeleo hasa inayofadhiliwa kwa fedha za ndani nazo ni nyingi zinatoka;
51. Serikali imefuta kodi nyingi zenye kero, zaidi ya kodi 100 kwenye sekta mbalimbali kama kilimo, madini, uvuvi, biashara n.k.
52. Mifumo ya kisasa ya kukusanya mapato imeasisiwa kama EFD, TTMS ns GePG;
53. Rushwa imepiganwa hasa na Mahakama ya Mafisadi imeanzishwa;
54. Wanaohujumu uchumi wa nchi wamebanwa hasa na sasa wanarejesha walichokwiba;
55. Zaidi ya kesi 50 zilifikishwa Mahakama ya Mafisadi na Uhujumu Uchumi na baadhi kuamuliwa;
56. Tanzania imekuwa ya kwanza Afrika kwa kupigana kwa dhati ya Rushwa;
57. Tanzania imepanda zaidi ya nafasi 20 katika Ripoti za Kimataifa za Transparency International katika eneo la kupambana na rushwa;
58. Hachagui, walarushwa wadogo, wa kati, mapapa kama akina Sethi, Rugemarila, viongozi wa Amcos wako lupango;
56. Serikali imerejesha mali nyingi zikiwemo nyumba, magari n.k vilivyoibwa au kupatikana kifisadi;
60. Sekta ya madini ni heshina tupu yaani!;
61. Watoa rushwa Acacia kwa sasa hawapo, Tanzania na Barrick zimeunda kampuni mpya ya Twiga Minerals;
62. Vituo vya Umahiri wa kuendeleza madini vimejengwa;
63. Madini yanachakatuliwa ndani ya mikoa husika kuzuia wizi;
66. Makinikia hayaendi nje tena hovyo hovyo;
65. Masoko ya madini zaidi ya 20 yameanzishwa;
66. Ukuta wa Mirerani umejengwa;
67. Madini ya Tanzanite, sasa zimetoka kilo 166 kwa mwezi hadi kilo 1000 za zaidi;
68. Mapato ya Tanzanite kwa Serikali yametoka TZS 71m kwa mwaka hadi Bilioni 2 na ushee kutoka wachimbaji wadogo;
69.Mapato ya jumla sekta ya madini yamekua kutoka TZS Bilioni 194 hadi TZS Bilioni 320;
70. Mitambo ya kuchakata madini na kuyaongezea thamani sasa inafungwa hapa Tz;
71. Nchi nyingine za Afrika sasa zinafunza kutoka Tanzania;
72. Msimamo katika Madini unasifika duniani kote;
73. Na Sheria mpya zimetungwa sasa sekta hii iko salama;
74. Maji alikuta vijijini ni chini ya asilimia 40 sasa ni zaidi ya asilimia 65 wanapata maji vijijini;
75. Mijini kazi kubwa inaendelea na katika lengo la kufikia asilimia 95 tatari Tanzania iko asilimia 85;
76. Miradi ya mabilioni inatekelezwa nchi nzima;
77. Maeneo yaliyokuwa Makame kama Same, Dodoma, Shinyanga, Singida, Tabora n.k, miradi ya kisasa ya maji inatekelezwa na mingine imekamilika;
78. Usimamizi wa miradi sasa imara zaidi, wahandisi wote wamerejeshwa kuwajibishwa na Wizara;
79. Katika Afya, Muhimbili imekuwa Apollo, vifaa vya kisasa kama CT Scan, tiba za figo, moyo, mifupa zimeimarishwa;
80. Hospitali ya Muhimbili sasa inapokea wagonjwa kutoka nchi jurani kama Komoro, Malawi, Zambia;
81.Hospitali ya Kansa nako vifaa vya mabilioni vimefungwa na inapokea wagonjwa mpaka kutoka Msumbiji na Zimbabwe;
82. Baneti ya Dawa sasa ni bil. 270 kutoka Bil. 31;
83. Usambazaji na upatikanaji wa wa Dawa sasa asilimia zaidi ya 90 kutoka wastani wa chini ya 60;
84. Kwenye kilimo ubabe wa viongozi wa Amcos kudhulumu wakulima uko mwishoni, wengi wako ndani;
85. Wakulima wa korosho wamejilia bei ya juu tangu wazaliwe baada ya Serikali kuinunua yote waka huu;
86. Serikali imeendelea kudhitibi bei za mazao muhimu ili wakulima wafaidike zaidi;
87. Kwenye umeme Mradi wa kihistoria wa Nyerere umeshaanza sasa tunazitafuta megawati 2,115;
88. Mgao umekuwa historia;
89. Bado vijiji 4,000 tu Tanzania yote iwe imepata umeme;
90. Ile mitambo ya kutuumiza ya mafuta sijui IPTL, Aggreko n.k imezimiliwa mbali;
91. Reli ya kisasa inajengwa kwa fedha zetu trilioni 7.2;
92. Viwanda zaidi ya 3,000 vimeanzishwa ikiwa ni vikuhwa, vidogo na vya kati;
93. Tanzania imekuwa miongoni mwa nchi 10 Bora Afrika kuvutia wawekezaji;
94. Tanzania imekuwa katika nchi 5 Bora Afrika kuongeza mapato ya utalii;
95. Tanzania imeongoza Afrika kwa Uchumi Jumuishi;
96. Tanzania imeongoza Afrika kwa wananchi wake kuona Ofisi ya Rais na Ya Waziri Mkuu hazihongeki;
97. Tanzania imeendelea kuongoza kwa amani na utulivu;
98. Tanzania imeendelea kuongoza Afrika kwa kuwa na Muungano thabiti;
99. Tanzania imeendelea kuongoza Afrika kwa Rais Magufuli kutajwa kuwa mmoja wa viongozi wanaostahili kuwa Rais wa Afrika Nzima; na
100. Katika Miaka Minne heshima ya Tanzania imesikika kote duniani, majarida yote maarufu kuanzia Forbes, FT, New York Times, Washington Post aidha yameitaja Tanzania kwa mazuri au kwa "ubishi" wake katika kupigania maendeleo yake.
Uuuuh...this is Magufuli aka Kamagufuli in the game of 100 numbers..View attachment 1256122
Hivi viroba unapatia wapi mkuu?1. Amerejesha heshima ya utumishi wa umma;

Nimesoma mpaka namba saba nikachoka akili. Nikasema ngoja nianzie chini mwisho yaani 100. Kuisoma tu mia kidogo nizimie. Kwanini nijipatie pressure ya bure wakati hosipitalini dawa hakuna?
Yote haya yamefanyika kwa miaka minne tu. Bado miaka 6 kanyaga twende1. Amerejesha heshima ya utumishi wa umma;

1. Amerejesha heshima ya utumishi wa umma;

Tunashukuru kwa kutuletea tetemeko, tulikuwa tunalisikia huko Asia na japanAmemuokoa kijana kwenye ajari ya basi ya majinja
Inawezekana pia. Unajua nyie walevi mnajijua sanaLabda dawa za kulevya hakuna