Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021
Hakika ni mengi tumeyaona, ni mengi yamefanyika ambayo hatukuwahi kudhani yangefanyika katika nchi yetu nzuri inayopendeza ya mito, mabonde na milima.

1. Katika Elimu tumeshuhudia vyuo vikiwa katika hali ya utulivu mkubwa. Hakuna migomo, na hata wahitimu wakimaliza elimu zao wanarudi nyumbani wanatulia tuli hata kama watakaa miaka 10 bila ajira.

2. Wafanyakazi wameendelea kufanya kazi kwa juhudi kubwa na kuonyesha utulivu mkubwa hata kama madaraja na ongezeko la mshahara havipo. Mtu amejiendeleza hadi chuo kikuu lakini analipwa mshahara wa Diploma hakati tamaa na wala halalamiki popote, Huo ndio uzalendo tunaoutaka sio ma migomo migomo yanayotuchelewesha kuwa donor country.

3. Nidhamu ya vyombo vya habari imeboreka sana. Hakuna mahabari ya kiuchunguzi yaliyokuwa yanachafua watukufu wateule na wachaguliwa. Sasa habari zote ni zile za kupeana taarifa hasa za watumishi waliotumbuliwa na kuchelewesha kukamilisha ujenzi wa mabarabara na madaraja.

4. Kuhusu siasa na demokrasia hapa ndio tumepiga hatua zaidi nadhani kuliko sekta zote. Wale wazee wa kiki za maskendo ya rushwa sasa hawana nafasi.

Siasa zote wanazifanyia bungeni tena kwa utulivu mkubwa. Maana walizoea sana kupayuka payuka lakini sheria zinafuata mkondo wake. Ukizingua tu unatimuliwa.

Jamani demokrasia ni pamoja na kufuata sheria! Hakuna demokrasia isiyo na mipaka. Huo ndo ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli.

5. Sekta ya usafirishaji hasa anga. Tumenunua ndege za kutosha kwa fedha zetu tena kwa cash sio mkopo haijalishi kama ilikuwa kwenye mpango wa serikali au laa ila tumejaribu na tumeweza. Bahati mbaya CAG mstaafu alitaka kutuchelewesha tukalala nae mbele.

6.Nani asiyejua kuhusu SGR na Stiglers kuna mwenye swali? Miradi hii yote haijaathiri deni la taifa kwa namna yoyote bado tunakopesheka kama tukiamua kukopa japo kwa sasa mpango wa kukopa haupo kwani miradi ni fedha zetu za ndani cha msingi tuendelee kulipa kodi tuache usanii sanii.

7. Vyuma mtaani vimeendelea kulegea kwa kasi ya rocket. Wanaolalamika ni wale waliozoea fedha za madili.

Tuendelee kuunga juhudi.
 
Miradi yote ipo pending
 
Zzk
Nimepata fursa ya kuzunguka mikoa kadhaa mambo yamebadilika sana,kila nilikopita watu wapo bize kweli kweli vijana kwa wazee

Huko shambani ndio usiseme kila kijiji unapita unakuta makundi kwa makundi wanaotesha mazao. Ile tabia ya watu kukaa Baa saa moja asubuhi kwa kisingizio cha kutoa hangover hakuna tena, hangover inatolewa baada ya kazi

Toka Magufuli aingie madarakani sioni tena vijana wakikaa vijiweni na kucheza bao Muda wa kupambana. Huyu ndio Rais tuliyemlilia sisi Watanzania amebadilisha mtazamo wa Watanzania wengi mno wamekuwa wabunifu

Kabla ya Magufuli vijana waliokuwa wanaenda chuo walikuwa wakipata pesa za mkopo zinaishia kuzitapanya lakini sasa vijana wanaenda chuo wakipata mkopo hutunza pesa ili wajiajiri baada ya kumaliza chuo.Vijana wengi wasomi wamebadilika sana kimtazamo wabahili kweli kweli wanawaza maendeleo Kumbe tulikuwa tunahitaji mtu mwenye uthubutu tu kubadilisha mindset za vijana

Ahsante Magufuli umetubadilisha wengi endelea hivyo hivyo tuwe wachangamfu kwenye fursa kama Wanigeria
 
Poa Poa nambie v2zv2d23 bliv u 7 7m i kakao c5y
 
Mfano juzi hapo nimepita bagamoyo saa kuminamoja alfajiri nilikuwa nina njaa ya sigara siku tano sijavuta, kupita maduka yapo wazi nikaongea na muuza duka ananiambia yeye huwa hafungi duka huwa wababadilishana masaa ya kulala wanauza wawili akaniambia wanaunga mkono juhudi za Magufuli

Wewe una wazimu kweli juhudi gani ambazo amefanya yeye zaidi ya kudhohofishs maisha ya watanzania? Mfano halisi huu hapa
d24eb964-bbe8-4132-800e-686cbb4995f7.jpg
hayo sio majibu sahihi kumjibu mwananchi
 
Magufuri amefanya kazi kwa kiasi chake sio kwamba yeye ndio kafanyaa kaziiiiiiiiiiiiiiiiiiii kuuuuuuuuuubwa kuliko wote...ata nyerere alifanya kaziiii lakini pia alitegemea watu kufanyaa kaziiiii zakee....

Magufuri amejitaidi sanaaaa... ila sasa

anatakiwa aache watu na uhuru wao wakusema wanacho kiona,au walicho kisikia maana maendeleo yanakuja kwa hatua ya kwanza ni mazungumzo yenye mawazo tofauti ambayo yanajenga nchi moja tanzania...mazungumzo hayo yanatakiwa yakubalike na watanzania wote...sio baadhii

anafanya kazi nzuriii...ila tatizo watu wanawasiwasi na haijawahi kutokea katika hii dunia na haita tokea kamwee kwamba mtu au watu wana wasiwasi na hapo hapo wakapata maendeleo...

Hizo zitakua n story za mfalme JUHAA
 
Leo Jumamosi tarehe Novemba 23, 2019 sisi wafanyabiashara wa Shinyanga tumefurahi sana kupata taarifa za hatua kali zilizochukuliwa dhidi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga (RPC) ACP Richard Abwao na RCO wake SSP John Rwamlema ambao wamesimamishwa kazi baada ya kuonesha utovu wa nidhamu kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Zainab Telack.

Tumeamini kweli Serikali ina mkono mrefu na hasa kipindi hiki cha Rais Magufuli ambaye hataki mchezo kabisa linapokuja suala la maslahi ya nchi.

RPC na RCO wa Shinyanga kwa kushirikiana na Meneja wa TRA Mkoa wa Shinyanga Bw. Jumbe Lazarous Samson wamefanya madudu mengi ambayo yamesababisha hasara kubwa sana kwa serikali. Hata hili la kumuachia mfanyabiashara aliyekuwa anakwepa mabilioni ya kodi ya serikali kwa kubandika stika zilizopitwa na wakati katika vinywaji vikali ni moja ya matukio mengi ya uhujumu uchumi unaosababisha upotevu mkubwa wa fedha za Serikali yanayofanywa na wafanyabiashara wenzetu mbalimbali lakini kila ukitoa taarifa kwa TRA au polisi hakuna hatua zinazochukuliwa.

Tulishangazwa sana tulipoona mkuu wa mkoa na kamati yake ya ulinzi na usalama ya mkoa wamefanya kazi kubwa ya kumkamata mtuhumiwa aliyekuwa anakwepa kodi kupitia biashara ya vinywaji vikali lakini polisi hawachukui hatua zinazostahili.

Kuna taarifa kuwa walipofikishwa polisi, RPC na RCO wake walikuwa wakishirikiana na mtuhumiwa kukwepa mkono wa sheria kwa kujipanga kuharibu kesi ambayo ina ushahidi wa wazi na ambayo serikali imepoteza mapato makubwa.

Kwa hiyo tuliposikia kwamba jambo hili limefika kwa mkuu wa nchi na hatua zimechukuliwa kuwaondoa katika nafasi zao tumepata matumaini kuwa serikali hii ya Magufuli haitaki mchezo.

Tunaamini kuwa watuhumiwa hawa watachunguzwa kwa undani kwa sababu tunafahamu matajiri wengi wakiwemo wakandarasi na wageni hasa wachina ambao wamekuwa wakileta jeuri na hata Mkuu wa Mkoa akiagiza wakamatwe polisi wanawaachia na wanarudi mtaani wakitamba.

Bila shaka baada ya kuondolewa kwa vigogo hawa sasa mkoa wa shinyanga utakuwa shwari, mkuu wa mkoa ataheshimiwa na maagizo yake yatatekelezwa kuliko ilivyokuwa ambapo baadhi ya maafisa wa serikali katika mkoa walikuwa wanajiona wao ni wakubwa kuliko mkuu wa mkoa ambaye ameteuliwa na Rais kumwakilisha hapa Shinyanga.

Tunamuomba IGP Sirro awaangalie makamanda wa polisi wake na maafisa wa polisi katika mikoa wengi wamekuwa miungu watu, wanajiona wao ndio wakuu wa mikoa, hawataki kuheshimu mamlaka ya mikoa

Ni sisi wafanyabiashara wa Shinyanga.
Novemba 23, 2019
 
Nampongeza rais kwa kuchukua hatua kali!

halaf hii thread imeandikwa na wafanyabiashara au ID ni ya wafanyabiashara? au mleta mada ni mwenyekiti wa wafanyabiashara?
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Kesho Tukapige Kura Tuwachague Viongozi Wetu
 
Wakati watu wanachagua makabila kuna Siasa kubwa ya utani ambao unatufanya akili ya mwanadamu iwe inatikili kuwa KABILA moja ni Bora kuliko lingine... SASA turudi kwenye uhalisia wa mambo:

Siasa ya KABILA la wahaya linaponzwa Sana na kukubaliana na yote HAYA bwana hivyo kusifika Kwa Sifa (Mie tajiri Ila wewe Ndiyo unahela)

Ili tufanye KAZI Kwa bidii ni muda wa kuchunguza Sifa za makabila mengine ili namjua iwe na MAANA mathalani:

Wapate Sifa ukiitoa Kwa sumaye ni kuwa na maviwanja mengi yasiyo endelezwa hivyo lable ya NOPLAN ni MTAJI makubwa kwenye kabila hili labda Kwa sababu hatujui PARE panahitaji nini

Wachaga!? Hawana Dharau kweli! Sijui maana Chadema ndiyo mfano wa Aina ya Siasa inayotakiwa nchini tunatakiwa tier na RAIS WA maisha MAANA NYERERE alisema ni CHADEMA pekee insyoweza kuchachafya Hadi saizi mwenyewe ni tule tule na kama ni Chama cha mfano basi tuteuwe rais WA MAISHA Katiba siyo ishu ili CHaga zetu zifanye KAZI.. wake watu wa kisa langu liende Kwa mwingine..

Wahehe:!?

Wagogo!?

Wajinga!?

Wanyakyusa!?

Matatizo waliweka posts Tunatafuta KABILA linalotekeleza elimu Tanzania ili lituondolee hatha ya Kufanya KAZI zisizo na maana kama kutokuwa na Akira ni fursa, kuwa na MAISHA ya kombolela fursa, maisha ya NOPLAN fursa n.k

Tukishindwa figure za kuelewa zinahusu

Mafanikio ya Rais JPM hayaelezeki, mafanikio ni makubwa mno. Rais amefanya kazi nzito kurejesha ufanisi wa kazi na nidhamu Kwa viongozi wa umma. Hapa Kazi TU...
Hivi mtu akikuuliza uelezee angalau kwa ufupi, neno Nidhamu unaweza kuelezea kwa kuhusinisha na nidhamu ya viongozi wa Umma?

Awamu hii kuna rushwa kuliko zilizopita, na kibaya zaidi aina zote za Rushwa zimetamalaki katika awamu hii.
 
Upo sahihi, kuhusu rushwa na pia kuna dhuluma ya haki kwa binadamu zaidi na yenye kukithiri
 
Back
Top Bottom