Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Nasikitika wanaotoa maoni wengi wao hawajaelewa fasihi iliyotumiwa na mleta thread
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemtaja Magufuli halafu unataka nimuulize Mdee?Muulize Dada halima mdee
rushwa hajakomesha na hatoweza!kuhusu nidhamu makazini ni kweli tuna nidhamu ya UOGA!
Miradi yote ipo pendingHakika ni mengi tumeyaona, ni mengi yamefanyika ambayo hatukuwahi kudhani yangefanyika katika nchi yetu nzuri inayopendeza ya mito, mabonde na milima.
1. Katika Elimu tumeshuhudia vyuo vikiwa katika hali ya utulivu mkubwa. Hakuna migomo, na hata wahitimu wakimaliza elimu zao wanarudi nyumbani wanatulia tuli hata kama watakaa miaka 10 bila ajira.
2. Wafanyakazi wameendelea kufanya kazi kwa juhudi kubwa na kuonyesha utulivu mkubwa hata kama madaraja na ongezeko la mshahara havipo. Mtu amejiendeleza hadi chuo kikuu lakini analipwa mshahara wa Diploma hakati tamaa na wala halalamiki popote, Huo ndio uzalendo tunaoutaka sio ma migomo migomo yanayotuchelewesha kuwa donor country.
3. Nidhamu ya vyombo vya habari imeboreka sana. Hakuna mahabari ya kiuchunguzi yaliyokuwa yanachafua watukufu wateule na wachaguliwa. Sasa habari zote ni zile za kupeana taarifa hasa za watumishi waliotumbuliwa na kuchelewesha kukamilisha ujenzi wa mabarabara na madaraja.
4. Kuhusu siasa na demokrasia hapa ndio tumepiga hatua zaidi nadhani kuliko sekta zote. Wale wazee wa kiki za maskendo ya rushwa sasa hawana nafasi.
Siasa zote wanazifanyia bungeni tena kwa utulivu mkubwa. Maana walizoea sana kupayuka payuka lakini sheria zinafuata mkondo wake. Ukizingua tu unatimuliwa.
Jamani demokrasia ni pamoja na kufuata sheria! Hakuna demokrasia isiyo na mipaka. Huo ndo ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli.
5. Sekta ya usafirishaji hasa anga. Tumenunua ndege za kutosha kwa fedha zetu tena kwa cash sio mkopo haijalishi kama ilikuwa kwenye mpango wa serikali au laa ila tumejaribu na tumeweza. Bahati mbaya CAG mstaafu alitaka kutuchelewesha tukalala nae mbele.
6.Nani asiyejua kuhusu SGR na Stiglers kuna mwenye swali? Miradi hii yote haijaathiri deni la taifa kwa namna yoyote bado tunakopesheka kama tukiamua kukopa japo kwa sasa mpango wa kukopa haupo kwani miradi ni fedha zetu za ndani cha msingi tuendelee kulipa kodi tuache usanii sanii.
7. Vyuma mtaani vimeendelea kulegea kwa kasi ya rocket. Wanaolalamika ni wale waliozoea fedha za madili.
Tuendelee kuunga juhudi.
Nimepata fursa ya kuzunguka mikoa kadhaa mambo yamebadilika sana,kila nilikopita watu wapo bize kweli kweli vijana kwa wazee
Huko shambani ndio usiseme kila kijiji unapita unakuta makundi kwa makundi wanaotesha mazao. Ile tabia ya watu kukaa Baa saa moja asubuhi kwa kisingizio cha kutoa hangover hakuna tena, hangover inatolewa baada ya kazi
Toka Magufuli aingie madarakani sioni tena vijana wakikaa vijiweni na kucheza bao Muda wa kupambana. Huyu ndio Rais tuliyemlilia sisi Watanzania amebadilisha mtazamo wa Watanzania wengi mno wamekuwa wabunifu
Kabla ya Magufuli vijana waliokuwa wanaenda chuo walikuwa wakipata pesa za mkopo zinaishia kuzitapanya lakini sasa vijana wanaenda chuo wakipata mkopo hutunza pesa ili wajiajiri baada ya kumaliza chuo.Vijana wengi wasomi wamebadilika sana kimtazamo wabahili kweli kweli wanawaza maendeleo Kumbe tulikuwa tunahitaji mtu mwenye uthubutu tu kubadilisha mindset za vijana
Ahsante Magufuli umetubadilisha wengi endelea hivyo hivyo tuwe wachangamfu kwenye fursa kama Wanigeria
Poa Poa nambie v2zv2d23 bliv u 7 7m i kakao c5yNimepata fursa ya kuzunguka mikoa kadhaa mambo yamebadilika sana,kila nilikopita watu wapo bize kweli kweli vijana kwa wazee
Huko shambani ndio usiseme kila kijiji unapita unakuta makundi kwa makundi wanaotesha mazao. Ile tabia ya watu kukaa Baa saa moja asubuhi kwa kisingizio cha kutoa hangover hakuna tena, hangover inatolewa baada ya kazi
Toka Magufuli aingie madarakani sioni tena vijana wakikaa vijiweni na kucheza bao Muda wa kupambana. Huyu ndio Rais tuliyemlilia sisi Watanzania amebadilisha mtazamo wa Watanzania wengi mno wamekuwa wabunifu
Kabla ya Magufuli vijana waliokuwa wanaenda chuo walikuwa wakipata pesa za mkopo zinaishia kuzitapanya lakini sasa vijana wanaenda chuo wakipata mkopo hutunza pesa ili wajiajiri baada ya kumaliza chuo.Vijana wengi wasomi wamebadilika sana kimtazamo wabahili kweli kweli wanawaza maendeleo Kumbe tulikuwa tunahitaji mtu mwenye uthubutu tu kubadilisha mindset za vijana
Ahsante Magufuli umetubadilisha wengi endelea hivyo hivyo tuwe wachangamfu kwenye fursa kama Wanigeria
Mfano juzi hapo nimepita bagamoyo saa kuminamoja alfajiri nilikuwa nina njaa ya sigara siku tano sijavuta, kupita maduka yapo wazi nikaongea na muuza duka ananiambia yeye huwa hafungi duka huwa wababadilishana masaa ya kulala wanauza wawili akaniambia wanaunga mkono juhudi za Magufuli
Hujui Tumepita Bila KupingwaKura zipi sasa
Demo Ghasia!!Kura zipi sasa
Hivi kule Makongo pia kuna Lami?
Hivi mtu akikuuliza uelezee angalau kwa ufupi, neno Nidhamu unaweza kuelezea kwa kuhusinisha na nidhamu ya viongozi wa Umma?Mafanikio ya Rais JPM hayaelezeki, mafanikio ni makubwa mno. Rais amefanya kazi nzito kurejesha ufanisi wa kazi na nidhamu Kwa viongozi wa umma. Hapa Kazi TU...
Hivi mtu akikuuliza uelezee angalau kwa ufupi, neno Nidhamu unaweza kuelezea kwa kuhusinisha na nidhamu ya viongozi wa Umma?
Awamu hii kuna rushwa kuliko zilizopita, na kibaya zaidi aina zote za Rushwa zimetamalaki katika awamu hii.