Miradi yote ipo pending
Si vyema kuudanganya umma, isemwe twafanya yote haya kwa mikopo sio fedha za ndani.Hivi ukikopa hela inakuwa yako au ya aliyekukopesha??? Tukiwa na wananchi wenye akili kama hizi hatuwezi songa mbele Coz waoga wa kukopa kufanya maendeleo yao binafsi. Deni hata sasa kila mwezi analipa shida iko wapi. Na tunakopa lakini kinachofanyika tunaona. Zamani tulikuwa tunakopa ila matokeo hayaonekani. Acheni tuchape kazi.
Tukutane 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa kukili.Ikiwa ni mikopo ambayo tunaona kwa macho yetu kinachofanyika ni vema na haki kabisa ! Maana zilipazwa sauti enzi za tawala zilizopita kuwa mikopo iliingia mifukoni mwa wajanja wachache na hata mingine kurudi kinyemela kwa wakopeshaji ! Kwa sasa no way ! Go! go ! go ! Genius JPM !
Si vyema kuudanganya umma, isemwe twafanya yote haya kwa mikopo sio fedha za ndani.
Nenda ukakope ili ujenge nyumba halafu ukishindwa kulipa mkopo ndio utajua nyumba ni ya nani.
Msiendelee kuwahadaa watanzania, mikopo ya wanafunzi yenyewe serikali inashindwa kuwapa na kuwatishia kuwafukuza wakidai. Hivi fedha za ndani ziko wapi hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app