Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kaweza kujenga

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2
Nyingine 3 ziko mbioni kuja.
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
12/4/2017
Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.

Ujenzi wa barabara ya mtwara tandahimba
Hayo yote ni mikataba ya mtoto wa mjini Mh Kikwete,yeye kafungua tu,isipokuwa hizo ndege mbovu tu,hawezi kuweka dili nje,Hana ubavu huo.
 
Natamani Magufuli awakumbuke na Watanzania wa Visiwani wenye asili ya Bara, wanazuiwa wasipige hatua kwa makusudi. Mambo ya kuzushia ndio mtindo mmoja
Mnazushiwa nini,na yanayozungumzwa ni kweli tu,nyinyi wasu!!!! Ndio wakubwa wa wiizi wa mazao na mifugo,wakulima wamekuwa hawafaidiki na mashamba yao kwa wizi wenu uliokithiri,nyinyi mmekua wavunaji si walimaji,sio kama miaka ya nyuma,siku hizi mmekuwa,wavivu na wazembe,kitu kikubwa. Kwenye ulevi tu,halafu tatizo lenu,mnavamia ardhi za watu,na mnajenga bila ruhusa,ni watu wa ajabu sana,nyinyi wasu!!!!,ndio tatizo kule Zanzibar,mnatuharibia watanzania bara wote,sababu nyingine elimu yenu ndogo,ukimuona ana vyeti,basi ujue kafoji kama dogo wa kolomije bashite.mnaona nchi mnavyoiharibu sasa,hamkuzowea kuongoza,ni wageni wa mambo haya,tatizo ni elimu,ndio sababu nchi hii imekosa haki na sheria ,Jamari CCM imetuletea balaa kubwa mara hii.
 
Waulize walimu wakuu wa shule za msingi, mpaka sasa mwezi wa nne fedha ya uendeshaji wa shule hazijatolewa.

Shule nyingi wameshindwa kuchapisha mitihani ya kufunga muhula coz hela hakuna.

Elimu bure bila maandalizi ni kiini macho yaani wasiojua ndo wanaamini kuwa kuna elimu bure hapa Tanzania. Darasa moja lina wanafunzi 173 na hao ni drs la kwanza.
 
Mnazushiwa nini,na yanayozungumzwa ni kweli tu,nyinyi wasu!!!! Ndio wakubwa wa wiizi wa mazao na mifugo,wakulima wamekuwa hawafaidiki na mashamba yao kwa wizi wenu uliokithiri,nyinyi mmekua wavunaji si walimaji,sio kama miaka ya nyuma,siku hizi mmekuwa,wavivu na wazembe,kitu kikubwa. Kwenye ulevi tu,halafu tatizo lenu,mnavamia ardhi za watu,na mnajenga bila ruhusa,ni watu wa ajabu sana,nyinyi wasu!!!!,ndio tatizo kule Zanzibar,mnatuharibia watanzania bara wote,sababu nyingine elimu yenu ndogo,ukimuona ana vyeti,basi ujue kafoji kama dogo wa kolomije bashite.mnaona nchi mnavyoiharibu sasa,hamkuzowea kuongoza,ni wageni wa mambo haya,tatizo ni elimu,ndio sababu nchi hii imekosa haki na sheria ,Jamari CCM imetuletea balaa kubwa mara hii.
Afadhali sisi tunajilewea kusahau manyanyaso yenu na serikali yenu. Je nyinyi mnavyopania kuihujumu Bara kiuchumi? T.R.A inahujumiwa kila kona na wote lenu moja, Bandari Bubu kila pahala kula taka mnazoingiza toka Pakistan kama saruji, majambazi wa kipemba walivyoitikisa Tanga na Dar, kuingiza madawa kama zile zinazoshushwa Paje eastcoast toka kwenye Meli kubwa toka Pakistan. Yaani mmekamata visu kweli kweli
 
Yani hayo ndio mambo mnayojivunia?
Nusu yake aliyakuta from JK.. Itabidi muongezee na udom basi
 
Kwa kweli suala la Bashite kama kweli yupo angetupisha. Anatharibia chama na serikali. Yaani hakubaliki na walio wengi. Ni sawa na kuwa na kanzu nyeupe nzuri halafu ikawa na doa jekundu kwenye mfuko. Kila mtu atakushangaa kua kwa nini hukusafisha. Hivi akitoswa au kujitosa huyu Bashite watu wataongea lipi tena! Better ditch DB
 
Afadhali sisi tunajilewea kusahau manyanyaso yenu na serikali yenu. Je nyinyi mnavyopania kuihujumu Bara kiuchumi? T.R.A inahujumiwa kila kona na wote lenu moja, Bandari Bubu kila pahala kula taka mnazoingiza toka Pakistan kama saruji, majambazi wa kipemba walivyoitikisa Tanga na Dar, kuingiza madawa kama zile zinazoshushwa Paje eastcoast toka kwenye Meli kubwa toka Pakistan. Yaani mmekamata visu kweli kweli
Usiseme sisi,hapana,ni nyinyi,sisi watanzania bara wengine hatuna matatizo na wazanzibari,tunakwenda nao vizuri,lakini Akina nyinyi,unovamia mashamba na vilimo vya watu,na kuiba mifugo kule,tathmini zinaonesha mmefungwa wengi kule kwa makosa hayo,nawatetea wazanzibari wengi hawana matatizo na sisi watanganyika,lakini watu kama nyinyi ndio mnaotaka kuwaamulia mambo Yao kule ndio tatizo lenyewe,Kwa nini watu kama nyinyi hamuwaachi wazanzibari msiwatie sumu ya kugombana na watanganyika,nimechunguza nimeona,wengi wao wanataka muungano,tena Kwa njia nzuri,lakini akina nyinyi wasu!!!!!!!,mnotawala Sasa hi in ndio tatizo,waachieni wenyewe waamuwe wenyewe wewe mwangalupa,unaingilia nini,Njoo kwenu shinyanga na kwengine uje kusema,huko huna haki kamili,wao wana serikali na tume ya uchaguzi yao.waachie na serikali na serikali yao.
 
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kaweza kujenga

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2
Nyingine 3 ziko mbioni kuja.
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
12/4/2017
Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.

Ujenzi wa barabara ya mtwara tandahimba

Ni kweli kafanikiwa hayo. Uchumu je? CEO anaweza kufanikwa kufanya watu wawahi kazini, wavae vizuri, wapunguze kunywa chai lakini mauzo yakishuka hajafanya chochote
 
Leo mh. Magufuli amefurahisha wengi kwa ripoti kuonyesha tunaibiwa. Hii pia ni hatua
 
Wewe ni Mzanzibar anajifanya wa Bara hapa ukijibu, lugha zenu zinajulikana, acha malalakiko ya eti kuamuliwa mambo yenu. Wazanzibari kwa makusudi mnaua ndoto ya Viwanda ya Tanzania, kwa sababu kila takataka hadi ambazo teari zinatengenezwa Tanzania mnatumiwa na jamaa zenu Arabuni na mnatawanya kwa kutumia Jahazi za bandari bububu.
 
AMA kweli wewe umeshindwa katka mada na sasa unataka kunibambikizia,chuki Zako binafsi Kwa wazanzibari,hazitonifanya,nikukubalie unayoyataka,wengi wa wazanzibari wana asili ya watu wa mkoa wapwani,asilia,kama wewe unataka kuendeleza chuki hizo,hilo hatulikubali,hayo unayozungumza inaonesha huna unalolijua,siku zone nitaitetea haki,Tanzania bara na zanzibari zitabakia kuwa Tanzania,na watu kama nyinyi,wenye chuki na jamii hizi hamna nafasi,kuna watu wa asili wa bagamoyo,mafia,rufiji wana udugu wa asili wa zanzibari,mimi Ni mtanzania bara mwenye kupenda kuona usawa na haki Kwa jamii zote katika taifa hili,umekuwa hivyo sababu umekosa kukubali nakujua uhalisia wa historia,na badili yake unafuata utashi wako wa kisiasa,au itikadi zako za kiimani/kidini,hapo ndipo chuki zako zilipojificha.
 
Kuwaruhusu polisi watudai buku tano ya rangi ya viatu.
 
Watu wana sema kaleta nidhamu.nidhamu hailetwi kwa kufukuza watu hovyo na kutoa kauli za vitisho. Mngefahamu watumishi wanavyomfanya huyu jamaa mngesikitika sana
'watumishi wanavyomfanya' ! wangoje tu dawa inachemka wasubili hatutaki mchezo sisi mmeitesa sana nchi hii.
 
Magufuli kafanikiwa
1. Kula rambi rambi za watanzania
2. Kufuta ajira za watoto masikini
3. Kupandisha makato ya HELSB 8%-15% ili watu waishi km mashetani
4. Kufuta fao la kujitoa
5. Kaleta hali ngumu ya maisha
wanasema wapiga dili wamekomeshwa, je, wanaokula rambi rambi nao ni wapiga dili? Teh teh rambi rambi kukarabati hospitali teh teh teh
Vikwazo vya maendeleo Tz
1. CCM
2. UJINGA
3. MARADHI
4. UMASIKINI
 
nchi hii wtz hata uwape nini hawaelewi lbda aje rais dogo kiduku awanyooshe sijui wanataka rais wa vp
Mkuu acha kujitoa ufahamu.
1. Tumeshuhudia ajira za watoto masikini zikipigwa panga la wazi wazi na dikiteta uchwara
2. Rambi rambi zikitafunwa kweupe. Rambi rambi kujenga hospital?
3. Makato ya helsb kuwa 15% kutoka 8%
4. Increment ikipigwa panga mchana kweupe
5.Fao la kujitoa wezi kutokomea nalo peupe
6. Uhakiki kuendeshwa kiubaguzi kweupe. Uhakiki ungepita kote kwa watu wanaopokea hela ya serikali km mshahara.
Unajingine? Hayo madai unafikiri ni ya kitoto km wale wabunge vi..la.za wa ndiyoooooo
Mkuu jitafakari hata km unapokea buku 7 kila siku.
 
Kubadili jina la Mitaani la fedha.
Jero inaitwa sh 500.
Book inatwa sh 1000.
 
Back
Top Bottom