Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba
huoni aibu wewe miaka 55 ndio mafanikiyo hayo ya kununuwa ndege 2 ama kweli safari bando ni refuu mnoo
 
Ongezea na kuteka watu
 
Kupunguza Watumishi Hewa Hivyo Kuokoa Mabilion Ya Fedha.
 
Watu wana sema kaleta nidhamu.nidhamu hailetwi kwa kufukuza watu hovyo na kutoa kauli za vitisho. Mngefahamu watumishi wanavyomfanya huyu jamaa mngesikitika sana
Mkuu mpaka watoke kwenye "woyeee" ndio wanaweza kujua kinachofanyika! Vinginevyo wataendelea kutapika walichomezeshwa mpaka waote viraka kwenye ngozi za miili ndipo watashtuka!!
 
Yani nampenda Magufuli mpaka natamani npige boge la busuu sijui angenitumbua uwiii, ila Raisi tunae asieona leo ataona kesho na atamuelewa tu, baraka zangu anazo na tutamuombea mpaka basiiii babaetu mpendwa.
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.
 
Amefanikiwa kuanzisha mjadala utakaoleta matokeo chanya katika sekta ya madini na raslimali nyingine
Viva JPM Vivaaa...

Nidhamu iliyotangulia kuoneshwa na hawa jamaa wa Barrik Gold itafungua milango kwa wawekezaji wengine kufuata nyayo na pia kwa Watanzania imekuwa na maana kubwa sana... Tukio hili limewajengea moyo wa uthubutu utakaowawezesha kufanya maamuzi mengi kwa manufaa ya taifa hili
 
Yaani kwa kifupi Rais tunaye, 2020 tuchague wabunge tuu, kampeni za kugombea uraisi ni kupoteza pesa tu,
Kampeni ndio hii anaendelea kuifanya tangu aingie madarakani
 
Yaani kwa kifupi Rais tunaye, 2020 tuchague wabunge tuu, kampeni za kugombea uraisi ni kupoteza pesa tu,
Kampeni ndio hii anaendelea kuifanya tangu aingie madarakani
Ngoja kwanza tusiwe na haraka,tuwache jazba,tusubiri haya kwanza yaishe kwa salama,kitu cha mwisho ni ripoti ya pande mbili,wamekubaliana vipi,wataleta jopo la wataalamu wao wataangalia na wataleta ripoti yao,sasa hiyo hatuwezi kujua,tuombe isipingane na yetu,watakaa protocol za panda zote mbiliza wataalamu na wanasheria,kuangilaa ripoti kwa panda zote mikataba na sheria yakinifu,na hapo ndio baadae yatakuja maamuzi ya mwisho,kwa pande zote mbili,suala nini kitakuja hapo???.mimi si mtaalamu wa sheria,lakini hii Ni hatua moja kubwa,tuliyofikia,ambayo ilitakiwa ichukuliwe hatua muda mrefu uliopita,ambapo tume ziliundwa,Kama jaji Bomani na zingine,na wapinzani walishalisemea Hilo,na kupinga Hilo la sheria,Miata ishirini iliyopita,lakini waliekewa vizingiti na utawala Huu Huu,kwa mfano mwaka 2007,Zitto Kabwe Alitoa hoja na kuzuiliwa,kwa kupingwa na wabunge wa CCM,akiwepo na Magufuli mwenyewe na kulipinga hilo,sihivyo tukatika kampeni za urais mwaka juzi Lowassa katika kampeni za ukanda wa ziwa,alimwaga sera kuhusu madini,ambayo ndio hii Magufuli,amechukua kutokakana kwa wapinzani,tunamshuku Mungu kwa hili,ambapo CCM wamelirithi na kuliteka kutoka kwa wapinzani,Ni vizuri na inaridhisha hapa tulipofikia,tunawaambia wabunge wote,waendelee kutoa uamsho kwa serikali kwa mambo muhimu kwa taifa hili,Itakuwa Ni makosa makubwa ikiwa CCM,italitumia hili,Kama ni mbinu ya kubakia madarakani,Huu Ni mwaka wa 61,toka nchi yetu ipate uhuru,umasikini umejaa kila pahala,suala maji bado chachu,kwa mfano,hata yeye Rais wetu analifahamu la matibabu,mahospitali na huduma za matibabu zinavunja moyo,alipotoa Mano jana kwa kutaka kumpeleka muhimbili mwakilishi wa barrack,ili akjione mwenyewe,kwa haya nani tumlaumu,jibu tujilaumu wenyewe,tulikuwa wapi miaka yote hiyo?,hay yanayofanyika Ni kiini macho tu,ili tubakie kwenye utawala tu?,tupo serious kuendeleza na kuleta mabadiliko,au tunatengeneza awamu nyengine ya siasa tu????.
 
Watanzania akili zenu mnazijua wenyewe mtu kama Magufuli utampata wap karne hii
 
Samahani mleta mada, kati ya makundi yafutayo wewe uko lipi? Mana they have something in common.
1: Boda boda
2: Bajaji
3: madereva wa vipanya
4: Buku seven sports club
 
Ni ngumu sana watu kuuelewa ukweli. Na kamwe tusitaraji watu wote kuunga mkono. Kuna watu Ni Kama gari la takataka, wanatafuta pa kutua take zao. So watakutukana, watakuponda na kukubeza sana hata Kama utakuwa umeusema ukweli. Basi kikubwa wapungie mkono tu usonge mbele na maisha yako. Utazame ukweli kwa jicho la upevu wake na kuwaona wabeba taka ukiwatakia heri ya maisha yao. Punga mkono songa mbele. Yale mazuri tupongeze anapojikwaa tukosoe kwa lugha inayoeleweka...
 
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Hivi vinamsaidia nini MTZ aliyepo Malinyi Morogoro kunakolimwa sana mpunga? Watu wa mijini tu ndio wananufaika na kodi za waTz? au hivi vina contribution gani remarkable kwa uchumi wa nchi? Kwa nini tusishugulike zaidi na kilimo, Afya na Elimu?
 
UJENZI WA TRA CHATO NA UWANJA WA NDEGE HUKO KWAO..
 
Back
Top Bottom