Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Rais wa mfano kwa nchi zingine za africa.
MUNGU mbariki magufuli
Kwa taarifa yenu ndiye rais aliye na mambo ya kienyeji zaidi Afrika. Ndiye rais asiyemudu usindani wala hawezi kufanya majadiliano hata na waandishi wa habari wa ndani na nje ndio kabisa. Ndiye rais barani Afrika asiyethubutu kuvuka bahari na kwenda kuzungumza na viongozi wanaoongea lugha tafauti na kiswahili. Amekuwa zaidi rais wa matamko ya vichochoroni na propaganda.
 
Umeulizwa kwa kupitia vigezo vipi?
 
Kama ni shujaa kwa nini anaogopa uchaguzi hadi ana amuru wakurugenzi wasitangaze waoinzani?
 
Wapi laptop za walimu,wapi 50m.kila kijiji,wapi pesa ya korosho za wana kusini,wapi mijadala ya wazi,Katiba yetu mpya na unafuu wa maisha kwa ujumla?
 
Wazee wenye madaraka makubwa watayaacha madaraka muda si mrefu. Vijana tujifunze kusimamia tunayoamini, sio kutumika kuwajeruhi wengine ili wazee wetu (mabwana wakubwa wetu) wakiondoka tubaki salama.
Tumekuwa na vijana wanaosaidiwa kufikiri badala ya kutaka kufikiri wao wenyewe,hali hii imefanya wengi kutokuwa na nguvu ya kufanya maamuzi hasa katika maongezi.
 
Hakuna anayeweza kuaminika zaidi ya Magufuli kwa sasa
 
nimebahatika kuzungumza kwa simu na muuza kahawa Mzee wetu shomari akaniambia hili neno.
nahisi mzee Shomari ni mzoefu na msema kweli sana.
Nasema asante sana Mzee Shomari kwa kuniambia ukweli wa kitaa
 
Issue za Corona na uchumi (ya middle income country) zimemuweka Magufuli kwenye viwango vya tofauti.. Watu sasa wanaamini maneno ya JPM kwamba tupo kwenye right track!
 
Hakuna anayeweza kuaminika zaidi ya Magufuli kwa sasa
Magufuli kifupi keshapita kuwa raisi,hawa wengine acha tu wasindikize kidogo na wao waweke historia kuwa waliwahi kugombea uraisi.
 
Issue za Corona na uchumi (ya middle income country) zimemuweka Magufuli kwenye viwango vya tofauti.. Watu sasa wanaamini maneno ya JPM kwamba tupo kwenye right track!
nimebahatika kuzungumza kwa simu na muuza kahawa Mzee wetu shomari akaniambia hili neno.
nahisi mzee Shomari ni mziefu na msema kweli sana.
Nasema asante sana Mzee Shomari kwa kuniambia ukweli wa kitaa
Tatizo sasa hivi kuna wanasiasa wanaongelea mambo waki weka mbele ",wivu wa Kimapenzi " na kukosa fursa ya :upigaji"
 
Unaweza kukuta mleta mada anamuamini zaidi Jiwe kuliko hata baba yake!
 
nimebahatika kuzungumza kwa simu na muuza kahawa Mzee wetu shomari akaniambia hili neno.
nahisi mzee Shomari ni mziefu na msema kweli sana.
Nasema asante sana Mzee Shomari kwa kuniambia ukweli wa kitaa
Siku mfumo wa elimu ukiboreshwa ccm itakufa.
 
Kada mwenzangu,naona wapinzani uzi wako wanaususia..
 
Magufuli mkoa wetu wa shinyanga hajafanya lolote la maana sisi wanashy hatumpi kura hata moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…