Naamini Magufuli anatosha 2020-2025.
Kwa kipindi hiki tutafakari kazi alizofanya Rais wetu, tusiweke siasa mbele, uzalendo kwanza, Apewe miaka mingine 5 ili atimize ahadi alizoziahidi kwa Watanzania, japo mengi ameyafanya, naamini atafanya mambo makubwa zaidi 2020-2025
Rais wa mfano kwa nchi zingine za africa.
Kwa taarifa yenu ndiye rais aliye na mambo ya kienyeji zaidi Afrika. Ndiye rais asiyemudu usindani wala hawezi kufanya majadiliano hata na waandishi wa habari wa ndani na nje ndio kabisa. Ndiye rais barani Afrika asiyethubutu kuvuka bahari na kwenda kuzungumza na viongozi wanaoongea lugha tafauti na kiswahili. Amekuwa zaidi rais wa matamko ya vichochoroni na propaganda.MUNGU mbariki magufuli