Mafanikio ya Rais Samia kwa 3 years ni yapi? Nijue nikae sawa

I will be short,

Naomba watu wanipe . Mafanikio ya mama. Kwamba Leo akitoka tutamkumbuka ?? kwa kuweka maisha ya mtanzania kuwa mepesi?
Saa 100 ameingia kama laana kwenye nchi baadala ya kummiza kichwa kuongoza nchi yeye anatapanya pesa kwa kutengeneza mabango kila kona kwa kodi za wananchi sujui huo ujasiri nani alimpa
 
I will be short,

Naomba watu wanipe . Mafanikio ya mama. Kwamba Leo akitoka tutamkumbuka ?? kwa kuweka maisha ya mtanzania kuwa mepesi?
Hujui kweli au wivu na chuki? Wewe mafanikio huwa unapima Kwa kutazama nini?

Maana naweza kuorodheshea hapa ukaanza tena kupinga
 
Mazanzibari na kazi kubwa wap kwa wapi
 
Hivi tunatenganishaje majukumu ya kawaida ya serikali na jitihada au mafanikio ya Rais katika uongozi wake?
 
Hujui kweli au wivu na chuki? Wewe mafanikio huwa unapima Kwa kutazama nini?

Maana naweza kuorodheshea hapa ukaanza tena kupinga
Tunatenganisha vp majukumu ya kawaida ya serikali tunazungumzia hayo mafanikio ya Samia kwenye uongozi wake?
 
Nisione mtu anasema Hajafanya kitu, Mana hata walio ongezewa mishahara watajifanya hawaoni.

Muwanafiki sana wa Bongo.
Bongo hapa fanya Yako songa mbele na kiukweli napenda sana utaratibu wa Tiss kuchagua Rais na kuhalalisha Kwa njia ya uchaguzi.

Watakwambia Rais hajafanya kitu wakati ukiorodhesha hapa hakuna Rais aliyepeleka maendeleo mengi kumzidi Samia Toka uhuru,hayupo.

Utakuta Hadi wale Vijana wa BBT huko watakwambia hawaoni kitu 😂😂🤣

Hadi maelfu ya watu wanaoajiriwa ambapo kabla ya Samia kulikuwa hakuna Ajira watakwambia hajafanya kitu 😁😁

Hadi Hawa waliokuwa wanashindia maji ya mifugo watakwambia hajafanya kitu,huu ni unafiki na laana

View: https://www.instagram.com/p/CxBdxuBNXG2/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
-Naongezea kujenga maelfu ya Barabara Vijijini,hakuna Kijiji hakipotiki Kwa Sasa na hii ni matokeo ya Tarura kupata Bajeti mara 4 ya awamu ya 5

-Amejenga na Anajenga shule Mpya za msingi na Sekondari Kila Mkoa na Wilaya Nchi hii bila mwanakijiji kusumbuliwa.

-Amejenga zaidi ya Vituo vya Afya 250 Kwa mda mfupi,vinaitwa Vituo vya Afya vya kimkakati ambavyo vimeenea Kila sehemu hasa Vijijini

Amekamilisha hospital zote zilizoanza awamu ya 5,amejenga Mpya na Sasa Kila Wilaya Ina hospital ya Wilaya

Amejenga majengo ya Huduma za dharura kwenye hospital zaidi ya 200,Sasa hivi ukipata ajali huwazi na ziko well equiped na vifaa vya Kisasa

Kiufupi tutajaza seva tukisema tuorodheshe hapa

Narudia kusema hakuna Rais wa Tanzania aliyetekeleza ilani na kuleta maendelea makubwa Kwa mda mfupi kama Samia na hapo ni sekta zote bila visingizio.

Nitawashangaa Tiss wasipompigania mama,mama asuposimama sio tuu sitopiga kura Bali nitaacha kabisa kujishughulisha na Siasa.

Nina Imani na Samia Kwa sababu ameanzisha programe za maendeleo ambaozo nyingi zake zinakoma 2030 kama ajenda 10/30,kiwanda Cha kuchakata gas Asilimia,Barabara zaidi ya km 2,000 za EPC +F na PPP,mtaalan Mpya wa Elimu,Utalii kufikia visitors mil.5 na Uchumi kukua Kwa 10%
 
Bora ata kipindi cha jiwe tulikuwa tunaona mradi wa vituo vya afya vilivyokamilika kwemye page ya TAMISEMI kuliko sasa ata picha hatuoni tunaona maneno tu kafanikiwa kafanikiwa kujenga!
 
Bora ata kipindi cha jiwe tulikuwa tunaona mradi wa vituo vya afya vilivyokamilika kwemye page ya TAMISEMI kuliko sasa ata picha hatuoni tunaona maneno tu kafanikiwa kafanikiwa kujenga!
Tofautisha kutafuta sifa na uhalisia kwenye mtaa.Nitajie Mkoa unaoishi kwanza Ili nikutajie mamia ya miradi huko Ili uende harafu uniambie kama vipo au ni stori kama unavyosema.
 
Halafu watu wana macho lakini yote hayo hawayaoni. 2025 kura zote kwa mama!
 
Halafu watu wana macho lakini yote hayo hawayaoni. 2025 kura zote kwa mama!
Hiyo ni sehemu ndogo sana ya aliyokamilisha na anayoendelea nayo.

Kama Watapiga kura Kwa kuangalia nini kafanya basi atashindwa Kwa Zaidi ya 80% kura zote zake ila kama Watapiga kura Kwa misingi ya chuki na kizushi(most likely given kiwango kikubwa Cha ujinga)anaweza asipate hata kura 20%.

View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1701102534293700753?t=oovbuiu2xN36_ETHthp6xw&s=19
 
Kufukuza wamasai Ngorongoro, kuuza Bandari na Kuleta mgao wa umeme tuliokuwa tumeusahau.In short Taifa limerudi nyuma.
1.Kuhudhuria kila sherehe,
2.Kupanda ovyo kwa Bei za vyakula,
3.Kuanzisha Building Bashe Tomorrow (BBT)
4.Kurudisha vibaka serikalini
5.Kuimarisha Udini
6.Kupuuza ripoti za CAG
 
Shida yenu hamjui mlitakalo. Mkienda huko vijijini kwenu mkiamua hata kuangalia majengo ya shule aliyowajengea inatosha kupima mafanikio ya Samia. Ila ndo hivyo Chuki ni ugonjwa mkubwa sana.
Majengo mengi Kwa pesa ya COVID
 
Katoa jobless wachache mtaani tatizo lililotengenezwa na mtangulizi wake
Tatizo la Jobless lilitengenezwa na JK na Lowasa Kwa sera zao za elimu bila kuweka mazingira mazuri baada ya kuhitimu ngazi husika
 
I will be short,

Naomba watu wanipe . Mafanikio ya mama. Kwamba Leo akitoka tutamkumbuka ?? kwa kuweka maisha ya mtanzania kuwa mepesi?
La kwanza kukomesha kupoteza na kuuwa wapinzani na kuondosha pre bargaining kwenye kesi za kubambakizia wafanye biashara.kuondosha kabisa riba katika mikopo ya wanafunzi na kuongeza maradufu pesa kwenye bodi ya mikopo.kuhakikisha kwmba wanafunzi wanapata mimba wakiwa mashuleni na bado wakiwa wanataka kuendelea na masomi waruhusiwe kuendelea baada ya kujifunguwa. Kuruhusu wanasiasa wa upinzani waendelee ni kazi zao za kisiasa bila bughudha ilimradi tu wanZingatia sheria na mwisho kuendeleza miradi yote ambayo mtangulizi wake aliianzasha na kuanzisha mengine mipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…