Mafanikio ya Rais Samia yanawatesa waliokuwa wanaomba ashindwe kuongoza nchi

Ndugu zangu Watanzania,

Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo ,presha ,hofu,chuki,vinyongo na Dua mbaya kila uchwao. Usione watu wakiropoka ropoka na kuongea maneno utafikiri wamekatika mishipa ya fahamu ukafikiri kuna kosa amelitenda Rais Samia. jibu ni hapana bali ni URAIS Tu,Ni chuki na sumu wanayolishwa na baadhi ya watu wenye ajenda zao za siri huko mbeleni,Hivyo huwatumia wale wanaoonekana kutokuwa na breki za midomo yao kuimba nyimbo zao kama Makasuku.

Ndugu zangu Watanzania,kuna watu wangekuwa na uwezo na wakapata wa kuwaunga mkono, kwa hakika wangetamani wao ndio wawe kitini alipo Keti mama yetu mpendwa kipenzi cha watanzania. Hao watu japo unaweza usiwaone hadharani ndio baadhi yao huwatumia wale wanaoweza imba ngonjera kama makasuku kwa kutaka kupandikiza chuki na sumu katika mioyo ya watanzania kwa kutaka kuchomekea masuala ya ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila ,ukanda na jinsia kama kichaka tu ili tu waone watanzania wakianza kumchukia Rais samia.

Watu hao ambao tunapaswa kuwaogopa kama ukoma na kutowaunga mkono wao na vipaza sauti vyao au vibaraka wao,wanakesha wakiomba ili Rais Samia aonekane mbaya na aliyeshindwa kuongoza nchi yetu,wanataka kumdhoofisha Rais samia kiutendaji ,wanataka aache kujikita katika kuwatumikia watanzania na kuanza kuingia katika ajenda zao,wanataka kumtengenezea ajenda wanayojuwa wapi atakwama na kumkwamisha.

Ndio maana wameinua silaha zote kuanzia silaha ya Udini,ukanda,jinsia n.k. na kwa bahati mbaya wameishia kuvunjika moyo baada ya kuona hakuna silaha yao iliyofanikiwa wala kuinuka, kwa kuwa Mungu yupo upande wa Rais samia na Amekataa kuwapa Ushindi waovu na mashetani kwa Taifa letu. Sasa wamemaliza Silaha zao na mbinu zao zote wamezimaliza na bado Rais samia anaendelea kusonga mbele kwa kishindo cha mafanikio kinachoendelea kulitetemesha Taifa letu.

Wabaya wa Rais Samia Wataungana lakini hawatashinda,watasema lugha moja lakini hawataelewana,wataongozana lakini hawatafika pamoja, watakaa vikao lakini hawatafika mwisho,watapanga mipango lakini hawatapanga ushindi,watakaa meza moja lakini hawataondoka pamoja,watashikana mikono lakini hawatagusana mioyo. Rais Samia Ni mpango Wa Mungu na mwenye kibali cha mwenyezi Mungu mkononi mwake. Vita ni ya Mungu na Mungu yupo Upande wa Rais Samia.

Uwezo mkubwa wa kiuongozi wa Rais samia, upeo mkubwa alio nao pamoja na maono makubwa aliyo nayo yanayoendelea kulipa mafanikio Taifa letu ndio maana kuna baadhi ya watu wanaishia kutukana tu matusi,kupandikiza mbegu ya ubaguzi kwa misingi ya Udini ,ukanda na jinsia.wameishiwa hoja na kubaki kutapa tapa. Wenye chuki binafsi na Rais Samia utawaona hata humu jukwaani ikianzishwa hoja au mada ya kumkashifu Rais samia unaona namna wanavyojitokeza haraka kuunga mkono na kutolea hasira zao,kwa kuwa hawana hoja zaidi ya kubakiwa na mimatusi pamoja na Ramli chonganishi na kujifanya waganga wa kienyeji wa kutabiri ya mbele Baada ya kuwa wapweke na wakiwa hasa baada ya kuona watanzania kwa mamilioni wapo bega kwa bega na Rais Samia.

Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye amuinuaye mtu kwa sababu maalumu katika uumbaji wake katika ulimwengu wa kiroho. Kama huna kibali cha mwenyezi Mungu cha kuja kuwa Rais wa Taifa letu utahangaika mpaka uchoke,utahujumu mpaka ukoome,utaroga mpaka utatoa kafara watoto wako hadi mke na Bado utaendelea kuusikia Urais Redioni Tu mpaka unaingia kaburini.., utapanga mipango ambayo haitafanikiwa kamwe kamwe. Mungu ndiye muweza wa yote. Kama kuna mwanadamu anafikiria atamshusha Rais samia kwa chuki zake binafsi,kwa kumhujumu,kwa mipango yake ovu na michafu na ya kishetani kwa hakika atashindwa vibaya sana. Kwa kuwa kamwe na katu Shetani hajawahi kumshinda Mungu wala Giza haliwezi ishinda Nuru.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
bwana mwashambwa, kuna siku utakuja kuyakimbia haya maandiko yako, kwasababu una uhakika moyoni mwako kwamba unaandika kiushabiki tu hata nafsi inakusuta kwamba ni uchawa tu, ila ukweli halisi haipo hivyo. kuna siku mtu mwingine mwenye mlengo mwingine atakuja kuchukua nchi, na wewe utahamia tena kwake kama malaya wa ohio.
 
Tena Malaya mwenye gonjwa la ginolea
 
Comments ngapi zimekuunga mkono kwenye huu upumbavu uliyoandika kwenye Uzi wako?
Wewe ni mgeni na jf? Hili ni jukwa la Wapinzani Kwa hiyo Wala hakuna shida.

Naunga mkono hoja,mliodhani atashindwa Ili mpate upenyo imewakata
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo ,presha ,hofu,chuki,vinyongo na Dua mbaya kila uchwao. Usione watu wakiropoka ropoka na kuongea maneno utafikiri wamekatika mishipa ya fahamu ukafikiri kuna kosa amelitenda Rais Samia. jibu ni hapana bali ni URAIS Tu,Ni chuki na sumu wanayolishwa na baadhi ya watu wenye ajenda zao za siri huko mbeleni,Hivyo huwatumia wale wanaoonekana kutokuwa na breki za midomo yao kuimba nyimbo zao kama Makasuku.

Ndugu zangu Watanzania,kuna watu wangekuwa na uwezo na wakapata wa kuwaunga mkono, kwa hakika wangetamani wao ndio wawe kitini alipo Keti mama yetu mpendwa kipenzi cha watanzania. Hao watu japo unaweza usiwaone hadharani ndio baadhi yao huwatumia wale wanaoweza imba ngonjera kama makasuku kwa kutaka kupandikiza chuki na sumu katika mioyo ya watanzania kwa kutaka kuchomekea masuala ya ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila ,ukanda na jinsia kama kichaka tu ili tu waone watanzania wakianza kumchukia Rais samia.

Watu hao ambao tunapaswa kuwaogopa kama ukoma na kutowaunga mkono wao na vipaza sauti vyao au vibaraka wao,wanakesha wakiomba ili Rais Samia aonekane mbaya na aliyeshindwa kuongoza nchi yetu,wanataka kumdhoofisha Rais samia kiutendaji ,wanataka aache kujikita katika kuwatumikia watanzania na kuanza kuingia katika ajenda zao,wanataka kumtengenezea ajenda wanayojuwa wapi atakwama na kumkwamisha.

Ndio maana wameinua silaha zote kuanzia silaha ya Udini,ukanda,jinsia n.k. na kwa bahati mbaya wameishia kuvunjika moyo baada ya kuona hakuna silaha yao iliyofanikiwa wala kuinuka, kwa kuwa Mungu yupo upande wa Rais samia na Amekataa kuwapa Ushindi waovu na mashetani kwa Taifa letu. Sasa wamemaliza Silaha zao na mbinu zao zote wamezimaliza na bado Rais samia anaendelea kusonga mbele kwa kishindo cha mafanikio kinachoendelea kulitetemesha Taifa letu.

Wabaya wa Rais Samia Wataungana lakini hawatashinda,watasema lugha moja lakini hawataelewana,wataongozana lakini hawatafika pamoja, watakaa vikao lakini hawatafika mwisho,watapanga mipango lakini hawatapanga ushindi,watakaa meza moja lakini hawataondoka pamoja,watashikana mikono lakini hawatagusana mioyo. Rais Samia Ni mpango Wa Mungu na mwenye kibali cha mwenyezi Mungu mkononi mwake. Vita ni ya Mungu na Mungu yupo Upande wa Rais Samia.

Uwezo mkubwa wa kiuongozi wa Rais samia, upeo mkubwa alio nao pamoja na maono makubwa aliyo nayo yanayoendelea kulipa mafanikio Taifa letu ndio maana kuna baadhi ya watu wanaishia kutukana tu matusi,kupandikiza mbegu ya ubaguzi kwa misingi ya Udini ,ukanda na jinsia.wameishiwa hoja na kubaki kutapa tapa. Wenye chuki binafsi na Rais Samia utawaona hata humu jukwaani ikianzishwa hoja au mada ya kumkashifu Rais samia unaona namna wanavyojitokeza haraka kuunga mkono na kutolea hasira zao,kwa kuwa hawana hoja zaidi ya kubakiwa na mimatusi pamoja na Ramli chonganishi na kujifanya waganga wa kienyeji wa kutabiri ya mbele Baada ya kuwa wapweke na wakiwa hasa baada ya kuona watanzania kwa mamilioni wapo bega kwa bega na Rais Samia.

Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye amuinuaye mtu kwa sababu maalumu katika uumbaji wake katika ulimwengu wa kiroho. Kama huna kibali cha mwenyezi Mungu cha kuja kuwa Rais wa Taifa letu utahangaika mpaka uchoke,utahujumu mpaka ukoome,utaroga mpaka utatoa kafara watoto wako hadi mke na Bado utaendelea kuusikia Urais Redioni Tu mpaka unaingia kaburini.., utapanga mipango ambayo haitafanikiwa kamwe kamwe. Mungu ndiye muweza wa yote. Kama kuna mwanadamu anafikiria atamshusha Rais samia kwa chuki zake binafsi,kwa kumhujumu,kwa mipango yake ovu na michafu na ya kishetani kwa hakika atashindwa vibaya sana. Kwa kuwa kamwe na katu Shetani hajawahi kumshinda Mungu wala Giza haliwezi ishinda Nuru.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Lukasi mwana wa mwashambwa unapoandika makala yako uwe unaweka mizania sawa. Usiwe unatuhumu watu humu jukwaani kiujumla kuwa na chuki dhidi ya Rais wa Jamhuri wa muungano ndugu Samia S. Hassan bila kuwataja na kuweka ushahidi, hadhira yako ni wanajamii forum. Ni muda sasa unafanya hivyo. Nakushauri yafuatayo:

1. Uzalendo sio kusifia bali kukataa uovu na kulinda misingi ya taifa.

2. Unapoandika au kuongea weka Akiba ya maneno.

3. Jifunze kwa waliokutangulia au waliokuachia kijiti hususani Musiba.

Ya kwangu ni hayo tu kwako.
 
Mama kashituka huyu Lucas Muoshambwa kazidi kusifia hata ambayo mama hafanya ye ni makofi na maandishi mengi yasiyoendana na mama!

Swala la teuzi sahau!
Kama yapi anayosifia na mama hafanyi? Yataje
 
Ni mafanikio kila eneo ni ushindi kila sehemu kuanzia afya ,Elimu, miundombinu,maji,kilimo, Biashara, uwekezaji,utalii,Ajira,mapato, Demokrasia, Diplomasia n.k. nikitaka nidadavue kimoja baada ya kingine kwa hakika hapatatosha hapa jukwaani

Tupe mafanikio ya moja Kwa moja ambayo ww na Bibi yako wa kule kijijini yanamgusa

Usiwe kama wale wa kudai katiba na ukimuuliza kifungu gani kibadilshwe Hana jibu
 
imagine hii yote ni kupambania uteuzi, halafu hateuliwi wala nini. anakula tu kwa macho. watu wanapambana sana na maisha aisee.
 
Kwa hiyo hapo ndio pana masharti ya DP world kwenye hiyo video? Hata Hivyo hapo kwenye hiyo video mh Rais alimaanisha kuwa viongozi na watumishi wote waridhike na vipato vyao vilivyopo kwa mujibu wa sheria na siyo kuingia Tamaa ya kutaka kujipatia vipato kwa njia haramu.

What if hakumaanisha hivyo? So tukuamini ww au yy aliongea?
 
Hivyo ndivyo alivyo maanisha Rais wetu mzalendo mwenye upendo na Taifa letu na aliyedhamiria kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya watanzania na kuhakikishia kila mtanzania anaishi maisha bora ya milo mitatu iliyo bora na virutubisho.
 
imagine hii yote ni kupambania uteuzi, halafu hateuliwi wala nini. anakula tu kwa macho. watu wanapambana sana na maisha aisee.
Hapana ndugu yangu mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani na wala siandiki hapa kwa ajili ya kupata chochote kile. Mimi naandika ukweli tu hata kama ni mchungu kwa baadhi ya watu.
 
Tupe mafanikio ya moja Kwa moja ambayo ww na Bibi yako wa kule kijijini yanamgusa

Usiwe kama wale wa kudai katiba na ukimuuliza kifungu gani kibadilshwe Hana jibu
Bibi yangu wa kule kijijini ameguswa moja kwa moja na uongozi wa Rais samia kwa kupewa. Mbolea ya Ruzuku,huduma bora za afya,bei nzuri za mazao yake. Miundombinu safi na bora.Elimi bure kaa wajukuu zake n.k
 
hivi hujioni na kujishangaa ulivyo mnafiki? lakini wanyiha ndivyo mlivyo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo ,presha ,hofu,chuki,vinyongo na Dua mbaya kila uchwao. Usione watu wakiropoka ropoka na kuongea maneno utafikiri wamekatika mishipa ya fahamu ukafikiri kuna kosa amelitenda Rais Samia. jibu ni hapana bali ni URAIS Tu,Ni chuki na sumu wanayolishwa na baadhi ya watu wenye ajenda zao za siri huko mbeleni,Hivyo huwatumia wale wanaoonekana kutokuwa na breki za midomo yao kuimba nyimbo zao kama Makasuku.

Ndugu zangu Watanzania,kuna watu wangekuwa na uwezo na wakapata wa kuwaunga mkono, kwa hakika wangetamani wao ndio wawe kitini alipo Keti mama yetu mpendwa kipenzi cha watanzania. Hao watu japo unaweza usiwaone hadharani ndio baadhi yao huwatumia wale wanaoweza imba ngonjera kama makasuku kwa kutaka kupandikiza chuki na sumu katika mioyo ya watanzania kwa kutaka kuchomekea masuala ya ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila ,ukanda na jinsia kama kichaka tu ili tu waone watanzania wakianza kumchukia Rais samia.

Watu hao ambao tunapaswa kuwaogopa kama ukoma na kutowaunga mkono wao na vipaza sauti vyao au vibaraka wao,wanakesha wakiomba ili Rais Samia aonekane mbaya na aliyeshindwa kuongoza nchi yetu,wanataka kumdhoofisha Rais samia kiutendaji ,wanataka aache kujikita katika kuwatumikia watanzania na kuanza kuingia katika ajenda zao,wanataka kumtengenezea ajenda wanayojuwa wapi atakwama na kumkwamisha.

Ndio maana wameinua silaha zote kuanzia silaha ya Udini,ukanda,jinsia n.k. na kwa bahati mbaya wameishia kuvunjika moyo baada ya kuona hakuna silaha yao iliyofanikiwa wala kuinuka, kwa kuwa Mungu yupo upande wa Rais samia na Amekataa kuwapa Ushindi waovu na mashetani kwa Taifa letu. Sasa wamemaliza Silaha zao na mbinu zao zote wamezimaliza na bado Rais samia anaendelea kusonga mbele kwa kishindo cha mafanikio kinachoendelea kulitetemesha Taifa letu.

Wabaya wa Rais Samia Wataungana lakini hawatashinda,watasema lugha moja lakini hawataelewana,wataongozana lakini hawatafika pamoja, watakaa vikao lakini hawatafika mwisho,watapanga mipango lakini hawatapanga ushindi,watakaa meza moja lakini hawataondoka pamoja,watashikana mikono lakini hawatagusana mioyo. Rais Samia Ni mpango Wa Mungu na mwenye kibali cha mwenyezi Mungu mkononi mwake. Vita ni ya Mungu na Mungu yupo Upande wa Rais Samia.

Uwezo mkubwa wa kiuongozi wa Rais samia, upeo mkubwa alio nao pamoja na maono makubwa aliyo nayo yanayoendelea kulipa mafanikio Taifa letu ndio maana kuna baadhi ya watu wanaishia kutukana tu matusi,kupandikiza mbegu ya ubaguzi kwa misingi ya Udini ,ukanda na jinsia.wameishiwa hoja na kubaki kutapa tapa. Wenye chuki binafsi na Rais Samia utawaona hata humu jukwaani ikianzishwa hoja au mada ya kumkashifu Rais samia unaona namna wanavyojitokeza haraka kuunga mkono na kutolea hasira zao,kwa kuwa hawana hoja zaidi ya kubakiwa na mimatusi pamoja na Ramli chonganishi na kujifanya waganga wa kienyeji wa kutabiri ya mbele Baada ya kuwa wapweke na wakiwa hasa baada ya kuona watanzania kwa mamilioni wapo bega kwa bega na Rais Samia.

Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye amuinuaye mtu kwa sababu maalumu katika uumbaji wake katika ulimwengu wa kiroho. Kama huna kibali cha mwenyezi Mungu cha kuja kuwa Rais wa Taifa letu utahangaika mpaka uchoke,utahujumu mpaka ukoome,utaroga mpaka utatoa kafara watoto wako hadi mke na Bado utaendelea kuusikia Urais Redioni Tu mpaka unaingia kaburini.., utapanga mipango ambayo haitafanikiwa kamwe kamwe. Mungu ndiye muweza wa yote. Kama kuna mwanadamu anafikiria atamshusha Rais samia kwa chuki zake binafsi,kwa kumhujumu,kwa mipango yake ovu na michafu na ya kishetani kwa hakika atashindwa vibaya sana. Kwa kuwa kamwe na katu Shetani hajawahi kumshinda Mungu wala Giza haliwezi ishinda Nuru.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
1

Wala sijasoma hadi mwisho huu upuuzi wako mtoa post. Ila nikuulize samia ameweza nini? Sana ni upigaji tu. Inadaiwa kipindi kifupi tu cha urais wake kashajilimbilizia mali yenye thamani ya usd bilioni 4.7. Ni wa saba kwa kwa marais 10 tajiri sana afrika kwa mwaka 2023.
 
Ni mafanikio kila eneo ni ushindi kila sehemu kuanzia afya ,Elimu, miundombinu,maji,kilimo, Biashara, uwekezaji,utalii,Ajira,mapato, Demokrasia, Diplomasia n.k. nikitaka nidadavue kimoja baada ya kingine kwa hakika hapatatosha hapa jukwaani
Hizi story mufilisi ndio mmebakiwa nazo, zina mwisho maana watanzania hawataendelea kuwa mazuzu kama FISIEMU mnavyofikiri.
 
Watanzania wanajitambua na kujielewa na wameridhishwa na kazi nzuri na njema anayofanya mh Rais
 
Back
Top Bottom