Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #81
Tena sana tunampenda sanaWamo humo humo ndani ya CCM! Sisi tulio nje tunampenda!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena sana tunampenda sanaWamo humo humo ndani ya CCM! Sisi tulio nje tunampenda!
we mwache,Yupo jirani na Malawi.TBC haikamati huko.
Hizo ni ngonjera tu zisizo na ushahidi wa aina yoyote ile kama ambavyo hata wewe mwenyewe huna ushahidi. Rais wetu ni mzalendo sana na mwenye uchungu na Taifa letu aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania. Ndio maana unaona ndani ya muda mfupi amegusa maisha ya watanzania wengi sana ambao wamepata matumaini na nuru kupitia uongozi wake .1
Wala sijasoma hadi mwisho huu upuuzi wako mtoa post. Ila nikuulize samia ameweza nini? Sana ni upigaji tu. Inadaiwa kipindi kifupi tu cha urais wake kashajilimbilizia mali yenye thamani ya usd bilioni 4.7. Ni wa saba kwa kwa marais 10 tajiri sana afrika kwa mwaka 2023.
Bibi yangu wa kule kijijini ameguswa moja kwa moja na uongozi wa Rais samia kwa kupewa. Mbolea ya Ruzuku,huduma bora za afya,bei nzuri za mazao yake. Miundombinu safi na bora.Elimi bure kaa wajukuu zake n.k
Amefanikiwa katika lipi? Kuwarejesha waarabu kuitawala Tanganyika?Ndugu zangu Watanzania,
Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo ,presha ,hofu,chuki,vinyongo na Dua mbaya kila uchwao. Usione watu wakiropoka ropoka na kuongea maneno utafikiri wamekatika mishipa ya fahamu ukafikiri kuna kosa amelitenda Rais Samia. jibu ni hapana bali ni URAIS Tu,Ni chuki na sumu wanayolishwa na baadhi ya watu wenye ajenda zao za siri huko mbeleni,Hivyo huwatumia wale wanaoonekana kutokuwa na breki za midomo yao kuimba nyimbo zao kama Makasuku.
Ndugu zangu Watanzania,kuna watu wangekuwa na uwezo na wakapata wa kuwaunga mkono, kwa hakika wangetamani wao ndio wawe kitini alipo Keti mama yetu mpendwa kipenzi cha watanzania. Hao watu japo unaweza usiwaone hadharani ndio baadhi yao huwatumia wale wanaoweza imba ngonjera kama makasuku kwa kutaka kupandikiza chuki na sumu katika mioyo ya watanzania kwa kutaka kuchomekea masuala ya ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila ,ukanda na jinsia kama kichaka tu ili tu waone watanzania wakianza kumchukia Rais samia.
Watu hao ambao tunapaswa kuwaogopa kama ukoma na kutowaunga mkono wao na vipaza sauti vyao au vibaraka wao,wanakesha wakiomba ili Rais Samia aonekane mbaya na aliyeshindwa kuongoza nchi yetu,wanataka kumdhoofisha Rais samia kiutendaji ,wanataka aache kujikita katika kuwatumikia watanzania na kuanza kuingia katika ajenda zao,wanataka kumtengenezea ajenda wanayojuwa wapi atakwama na kumkwamisha.
Ndio maana wameinua silaha zote kuanzia silaha ya Udini,ukanda,jinsia n.k. na kwa bahati mbaya wameishia kuvunjika moyo baada ya kuona hakuna silaha yao iliyofanikiwa wala kuinuka, kwa kuwa Mungu yupo upande wa Rais samia na Amekataa kuwapa Ushindi waovu na mashetani kwa Taifa letu. Sasa wamemaliza Silaha zao na mbinu zao zote wamezimaliza na bado Rais samia anaendelea kusonga mbele kwa kishindo cha mafanikio kinachoendelea kulitetemesha Taifa letu.
Wabaya wa Rais Samia Wataungana lakini hawatashinda,watasema lugha moja lakini hawataelewana,wataongozana lakini hawatafika pamoja, watakaa vikao lakini hawatafika mwisho,watapanga mipango lakini hawatapanga ushindi,watakaa meza moja lakini hawataondoka pamoja,watashikana mikono lakini hawatagusana mioyo. Rais Samia Ni mpango Wa Mungu na mwenye kibali cha mwenyezi Mungu mkononi mwake. Vita ni ya Mungu na Mungu yupo Upande wa Rais Samia.
Uwezo mkubwa wa kiuongozi wa Rais samia, upeo mkubwa alio nao pamoja na maono makubwa aliyo nayo yanayoendelea kulipa mafanikio Taifa letu ndio maana kuna baadhi ya watu wanaishia kutukana tu matusi,kupandikiza mbegu ya ubaguzi kwa misingi ya Udini ,ukanda na jinsia.wameishiwa hoja na kubaki kutapa tapa. Wenye chuki binafsi na Rais Samia utawaona hata humu jukwaani ikianzishwa hoja au mada ya kumkashifu Rais samia unaona namna wanavyojitokeza haraka kuunga mkono na kutolea hasira zao,kwa kuwa hawana hoja zaidi ya kubakiwa na mimatusi pamoja na Ramli chonganishi na kujifanya waganga wa kienyeji wa kutabiri ya mbele Baada ya kuwa wapweke na wakiwa hasa baada ya kuona watanzania kwa mamilioni wapo bega kwa bega na Rais Samia.
Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye amuinuaye mtu kwa sababu maalumu katika uumbaji wake katika ulimwengu wa kiroho. Kama huna kibali cha mwenyezi Mungu cha kuja kuwa Rais wa Taifa letu utahangaika mpaka uchoke,utahujumu mpaka ukoome,utaroga mpaka utatoa kafara watoto wako hadi mke na Bado utaendelea kuusikia Urais Redioni Tu mpaka unaingia kaburini.., utapanga mipango ambayo haitafanikiwa kamwe kamwe. Mungu ndiye muweza wa yote. Kama kuna mwanadamu anafikiria atamshusha Rais samia kwa chuki zake binafsi,kwa kumhujumu,kwa mipango yake ovu na michafu na ya kishetani kwa hakika atashindwa vibaya sana. Kwa kuwa kamwe na katu Shetani hajawahi kumshinda Mungu wala Giza haliwezi ishinda Nuru.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Nimejaribu kutafuta orodha ya mafanikio ktk selikali yake kwenye hili gazeti lako ili nami nikuorodheshee mapungufu yake sijayaona zaidi ya kumpamba na sifa zisizo na maana.Ndugu zangu Watanzania,

Gazeti kubwa point less!Ndugu zangu Watanzania,

Mafanikio ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia nilishaandika Sana humu na huu haukuwa uzi au andiko la kuyaonyesha .Nimejaribu kutafuta orodha ya mafanikio ktk selikali yake kwenye hili gazeti lako ili nami nikuorodheshee mapungufu yake sijayaona zaidi ya kumpamba na sifa zisizo na maana.
maza Kashashindwa ashindwe mara ngapi, yuko hoi anatembelea choki kwa sasa ni tu bora iendeNdugu zangu Watanzania,

Wewe kwa akili yako kisoda ndio umeshindwa kuelewa chochote kutokana na kujawa na chuki binafsimaza Kashashindwa ashindwe mara ngapi, yuko hoi anatembelea choki kwa sasa ni tu bora iende
ubongo wako umejaa uchawa huwezi ona nje ya boxWewe kwa akili yako kisoda ndio umeshindwa kuelewa chochote kutokana na kujawa na chuki binafsi
udini unaletwa na wana siasa wala rushwa pale deal zao zinapoguswa. Nani ni adui ya Rais sasa? Wananchi hawa wa Tanzania hawana shida na anayewaongoza, kama mambo yao ya msingi yanazingatiwa.Ndugu zangu Watanzania,
Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo ,presha ,hofu,chuki,vinyongo na Dua mbaya kila uchwao. Usione watu wakiropoka ropoka na kuongea maneno utafikiri wamekatika mishipa ya fahamu ukafikiri kuna kosa amelitenda Rais Samia. jibu ni hapana bali ni URAIS Tu,Ni chuki na sumu wanayolishwa na baadhi ya watu wenye ajenda zao za siri huko mbeleni,Hivyo huwatumia wale wanaoonekana kutokuwa na breki za midomo yao kuimba nyimbo zao kama Makasuku.
Ndugu zangu Watanzania,kuna watu wangekuwa na uwezo na wakapata wa kuwaunga mkono, kwa hakika wangetamani wao ndio wawe kitini alipo Keti mama yetu mpendwa kipenzi cha watanzania. Hao watu japo unaweza usiwaone hadharani ndio baadhi yao huwatumia wale wanaoweza imba ngonjera kama makasuku kwa kutaka kupandikiza chuki na sumu katika mioyo ya watanzania kwa kutaka kuchomekea masuala ya ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila ,ukanda na jinsia kama kichaka tu ili tu waone watanzania wakianza kumchukia Rais samia.
Watu hao ambao tunapaswa kuwaogopa kama ukoma na kutowaunga mkono wao na vipaza sauti vyao au vibaraka wao,wanakesha wakiomba ili Rais Samia aonekane mbaya na aliyeshindwa kuongoza nchi yetu,wanataka kumdhoofisha Rais samia kiutendaji ,wanataka aache kujikita katika kuwatumikia watanzania na kuanza kuingia katika ajenda zao,wanataka kumtengenezea ajenda wanayojuwa wapi atakwama na kumkwamisha.
Ndio maana wameinua silaha zote kuanzia silaha ya Udini,ukanda,jinsia n.k. na kwa bahati mbaya wameishia kuvunjika moyo baada ya kuona hakuna silaha yao iliyofanikiwa wala kuinuka, kwa kuwa Mungu yupo upande wa Rais samia na Amekataa kuwapa Ushindi waovu na mashetani kwa Taifa letu. Sasa wamemaliza Silaha zao na mbinu zao zote wamezimaliza na bado Rais samia anaendelea kusonga mbele kwa kishindo cha mafanikio kinachoendelea kulitetemesha Taifa letu.
Wabaya wa Rais Samia Wataungana lakini hawatashinda,watasema lugha moja lakini hawataelewana,wataongozana lakini hawatafika pamoja, watakaa vikao lakini hawatafika mwisho,watapanga mipango lakini hawatapanga ushindi,watakaa meza moja lakini hawataondoka pamoja,watashikana mikono lakini hawatagusana mioyo. Rais Samia Ni mpango Wa Mungu na mwenye kibali cha mwenyezi Mungu mkononi mwake. Vita ni ya Mungu na Mungu yupo Upande wa Rais Samia.
Uwezo mkubwa wa kiuongozi wa Rais samia, upeo mkubwa alio nao pamoja na maono makubwa aliyo nayo yanayoendelea kulipa mafanikio Taifa letu ndio maana kuna baadhi ya watu wanaishia kutukana tu matusi,kupandikiza mbegu ya ubaguzi kwa misingi ya Udini ,ukanda na jinsia.wameishiwa hoja na kubaki kutapa tapa. Wenye chuki binafsi na Rais Samia utawaona hata humu jukwaani ikianzishwa hoja au mada ya kumkashifu Rais samia unaona namna wanavyojitokeza haraka kuunga mkono na kutolea hasira zao,kwa kuwa hawana hoja zaidi ya kubakiwa na mimatusi pamoja na Ramli chonganishi na kujifanya waganga wa kienyeji wa kutabiri ya mbele Baada ya kuwa wapweke na wakiwa hasa baada ya kuona watanzania kwa mamilioni wapo bega kwa bega na Rais Samia.
Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye amuinuaye mtu kwa sababu maalumu katika uumbaji wake katika ulimwengu wa kiroho. Kama huna kibali cha mwenyezi Mungu cha kuja kuwa Rais wa Taifa letu utahangaika mpaka uchoke,utahujumu mpaka ukoome,utaroga mpaka utatoa kafara watoto wako hadi mke na Bado utaendelea kuusikia Urais Redioni Tu mpaka unaingia kaburini.., utapanga mipango ambayo haitafanikiwa kamwe kamwe. Mungu ndiye muweza wa yote. Kama kuna mwanadamu anafikiria atamshusha Rais samia kwa chuki zake binafsi,kwa kumhujumu,kwa mipango yake ovu na michafu na ya kishetani kwa hakika atashindwa vibaya sana. Kwa kuwa kamwe na katu Shetani hajawahi kumshinda Mungu wala Giza haliwezi ishinda Nuru.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Wewe ndiye umepofuka akili yako ambayo inashindwa kuona kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na mh Raisubongo wako umejaa uchawa huwezi ona nje ya box
Ng'ombeNdugu zangu Watanzania,

umeona wewe chawa ambye huwezi ona nje ya boxWewe ndiye umepofuka akili yako ambayo inashindwa kuona kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na mh Rais
Lucas mwashambwa, hoja zako za kumsifia Rais SSH, kama ni jasiri jibu hoja zifuatazo za Mtanzania nje ya nchiNdugu zangu Watanzania,

Mungu chukua huyu shetani harakaNdugu zangu Watanzania,

Ndugu zangu Watanzania,

Wandugu ambia huyo mtawala mwanamke, amuogope "MUNGU" kwani si-niyeye kwa kinywa chake? Alitamka ya kwamba atafanya mabadiliko makubwa ht yakimgharimu ki-siasa? Sasa anapambana na nani tena? Ashasahau yeye ndo alitamka?!!!! KITI alichokalia kina DAMU, uovu ni mwingi mno kwa hicho KITI... vilio juu ya hicho KITI ni-vikubwa mno vimefika hadi Mbinguni, ndo maana kila anayekalia hicho KITI mwanzoni huanza vizuri sn, lkn baada ya muda roho za uovu ndani ya hicho KITI huanza tena kutenda kazi.... swali rahisi, ni-nani kakashifu/kachambua dini ya mtu mwingine? ukweli hayupo, TEC wametoa waraka wao wamemaliza wako kimya, hizo ni sababu tu za kuhalalisha jambo fulani, sasa nasema MUNGU HADHIHAKIWI anaujua ukweli wote, nasema, bado kuna mambo MUNGU anataka kuyatenda juu ya hii Nchi, mwenye masikio na asikie..............expand...
Hadi tarehe ya kuzaliwa utaweka wakukumbuke kubwa JINGA.Ndugu zangu Watanzania,