Mafanikio ya Rais Samia yanawatesa waliokuwa wanaomba ashindwe kuongoza nchi

Hizo ni ngonjera tu zisizo na ushahidi wa aina yoyote ile kama ambavyo hata wewe mwenyewe huna ushahidi. Rais wetu ni mzalendo sana na mwenye uchungu na Taifa letu aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania. Ndio maana unaona ndani ya muda mfupi amegusa maisha ya watanzania wengi sana ambao wamepata matumaini na nuru kupitia uongozi wake .
 
Bibi yangu wa kule kijijini ameguswa moja kwa moja na uongozi wa Rais samia kwa kupewa. Mbolea ya Ruzuku,huduma bora za afya,bei nzuri za mazao yake. Miundombinu safi na bora.Elimi bure kaa wajukuu zake n.k

Mbona hizi mambo zote ulizosema zipo Kwa miaka kumi sasa?

Tunataka Jambo ambalo Rais Samia amelifanya na limekugusa ww moja Kwa moja na Bibi yako kule kijijini kyela

Hayo ambayo umeongea yapo hata wakati mama Samia ni waziri
 
Amefanikiwa katika lipi? Kuwarejesha waarabu kuitawala Tanganyika?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Nimejaribu kutafuta orodha ya mafanikio ktk selikali yake kwenye hili gazeti lako ili nami nikuorodheshee mapungufu yake sijayaona zaidi ya kumpamba na sifa zisizo na maana.
 
Gazeti kubwa point less!
Au wewe ndiyo Mvhengelwa!
 
Nimejaribu kutafuta orodha ya mafanikio ktk selikali yake kwenye hili gazeti lako ili nami nikuorodheshee mapungufu yake sijayaona zaidi ya kumpamba na sifa zisizo na maana.
Mafanikio ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia nilishaandika Sana humu na huu haukuwa uzi au andiko la kuyaonyesha .
 
maza Kashashindwa ashindwe mara ngapi, yuko hoi anatembelea choki kwa sasa ni tu bora iende
 
udini unaletwa na wana siasa wala rushwa pale deal zao zinapoguswa. Nani ni adui ya Rais sasa? Wananchi hawa wa Tanzania hawana shida na anayewaongoza, kama mambo yao ya msingi yanazingatiwa.
Kama mafuta yanasumbua, kila kitu kitapanda bei. Na ni jukumu la viongozi kulitafutia ufumbuzi. Bandari, skama mkataba una kasoro nani alaumiwe? Fanyeni kazi. Tunataka maendeleo sisi wengine hatuli siasa. Muache kutuletea hadithi zenu za kufikirika na zisizo eleweka.
 
Ng'ombe
 
Lucas mwashambwa, hoja zako za kumsifia Rais SSH, kama ni jasiri jibu hoja zifuatazo za Mtanzania nje ya nchi

Ni Rais mwenye uwezo mdogo sana kuwahi kutokea nchini!!

Jinsia yake haihusiki. Dini yake haihusiki. Sehemu ya Kijiografia anayotokea nayo haihusiki.

Kinachohusika hapa ni uwezo wake mdogo alionao.

Uwezo mdogo wa kiuongozi. Uwezo mdogo wa kuchanganua mambo. Na uwezo mdogo wa kujenga hoja.

Mara kadhaa sasa nimeona ona humu baadhi ya watu wakisema kwamba Rais Samia kaonyesha na kuthibitisha kuwa wanawake hawafai katika nafasi kiuongozi.

Mimi hilo nalikataa. Mtu mmoja mwenye uwezo mdogo si mwakilishi wa wanawake wote nchini wala duniani, kwa ujumla.

Uwezo wake mdogo alionao ni wa kwake yeye tu, Rais Samia.

Kilichonisukuma kuileta hii mada hapa ni yale maoni yake aliyoyatoa hapo jana.

Rais anahoji kuwa kwani katiba ndo inaleta maendeleo?

Hivi huyu Rais hajui kuwa katiba ya nchi ndo framework ya uongozi na utawala ulio bora?

Bila uongozi na utawala ulio bora, kuna maendeleo gani yaliyo ya maana yanayoweza kupatikana?

Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri ambao siutegemei utoke kwa kiongozi aliye wa juu kabisa nchini.

Au labda yeye anadhani maendeleo yanatoka wapi au yanakujaje?

Jingine la ajabu alilolizungumzia ni suala la elimu. Kwamba eti watu walio wengi hawajui hata katiba ni kitu gani. Hivyo ni lazima kwanza watu wapewe elimu kabla ya kuiandika hiyo katiba mpya.

Nilichoking’amua hapo ni ‘projection’ yake yeye kuhusu katiba.

Kulingana na kauli zake kuhusu katiba, nadhani yeye ndo hajui katiba ni kitu gani na hivyo anadhani hata wengine nao hawajui katiba ni nini!

Kenya waliandika katiba mpya mwaka 2010 [kama sijakosea].

Afrika Kusini waliandika katiba mpya baada ya kuachana na sheria za ubaguzi wa rangi kwenye miaka ya 90.

Marekani waliandika katiba yao miaka zaidi ya 200 iliyopita na ambayo wameifanyia marekebisho mara 27.

Sehemu nyingi tu duniani zimeandika katiba mpya na zingine kuzifanyia marekebisho katiba zilizopo.

Ni wapi ambako waliielimisha jamii kwanza kabla ya kuandika mpya?

Afrika Kusini walifanya elimu gani kwa wananchi kabla ya kuandika katiba yao mpya?

Waliwakalisha watu madarasani na kuanza kuwafundisha somo la katiba?

Katiba iliyopo sasa hivi wakati inaandikwa elimu ya katiba ilitolewa na nani? Lini? Wapi?

Naona sasa suala la kwamba wananchi hawana elimu ya katiba ndo litakuwa ‘narrative’ ya CCM kukwepa kujadili hoja za katiba mpya.

Kwa nilichokisikia jana, ni dhahiri kwamba anayehitaji elimu ya kujua katiba ni nani, ni Rais Samia.

Samia hafai kuwa Rais. Alichaguliwa kuwa mgombea mwenza kwa sababu zingine na si kwa sababu alikuwa ni mtu mwenye uwezo unaofaa.
 
Mungu chukua huyu shetani haraka
 
Governments are there to fix the economy sio kuzindua matamasha na barabara. Hii katiba ni ya kuiweka makumbusho.
 
expand...
Wandugu ambia huyo mtawala mwanamke, amuogope "MUNGU" kwani si-niyeye kwa kinywa chake? Alitamka ya kwamba atafanya mabadiliko makubwa ht yakimgharimu ki-siasa? Sasa anapambana na nani tena? Ashasahau yeye ndo alitamka?!!!! KITI alichokalia kina DAMU, uovu ni mwingi mno kwa hicho KITI... vilio juu ya hicho KITI ni-vikubwa mno vimefika hadi Mbinguni, ndo maana kila anayekalia hicho KITI mwanzoni huanza vizuri sn, lkn baada ya muda roho za uovu ndani ya hicho KITI huanza tena kutenda kazi.... swali rahisi, ni-nani kakashifu/kachambua dini ya mtu mwingine? ukweli hayupo, TEC wametoa waraka wao wamemaliza wako kimya, hizo ni sababu tu za kuhalalisha jambo fulani, sasa nasema MUNGU HADHIHAKIWI anaujua ukweli wote, nasema, bado kuna mambo MUNGU anataka kuyatenda juu ya hii Nchi, mwenye masikio na asikie..............
 
Hadi tarehe ya kuzaliwa utaweka wakukumbuke kubwa JINGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…