Mafanikio ya Rais Samia yanawatesa waliokuwa wanaomba ashindwe kuongoza nchi

Ni mafanikio kila eneo ni ushindi kila sehemu kuanzia afya ,Elimu, miundombinu,maji,kilimo, Biashara, uwekezaji,utalii,Ajira,mapato, Demokrasia, Diplomasia n.k. nikitaka nidadavue kimoja baada ya kingine kwa hakika hapatatosha hapa jukwaani
Mjinga kabisa wazazi wako wanaishi maisha ya taabu huyo mama yako anauza mali zetu unakuja kusifia ujinga pumbavu.
 
Hongera yako wewe ambaye wazazi wako wanaishi maisha mazuri na kuona kwa kipimo chako kuwa wangu wanaishi mabaya.
Mjinga kabisa wazazi wako wanaishi maisha ya taabu huyo mama yako anauza mali zetu unakuja kusifia ujinga pumbavu.
 
Labda mafanikio ya kuhamasisha ufisadi kwenye serikali yake
Your browser is not able to display this video.
 
Attachments

  • VID-20230913-WA0008.mp4
    1.6 MB
Kama nia ni kupima "upepo" naamini umepata jibu kwenye comment za watu mbalimabli ambao hawajapangwa au kujipanga.
 
Kama nia ni kupima "upepo" naamini umepata jibu kwenye comment za watu mbalimabli ambao hawajapangwa au kujipanga.
Nenda kasome na kufuatilia Habari za Galileo ili ujuwe kuwa ukweli ni ukweli tu hata kama utapingwa na watu wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…