Mafanikio ya Royal Your yanaonekana wazi na haraka mno, Hongera sana Rais Samia

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.
 
Inauma sana watu unaowamini wanapoanza kupotosha umma. Hii kitu ya 2019 afu leo unaanza kuifanyia promo?

1652172611556.png
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.
Kwa taarifa yako mleta mada ni kwamba willy smith alikuja na kutengeneza hiyo filamu siku nyingi kabla ya mama Peter.
 
Back
Top Bottom