Mafanikio ya Royal Your yanaonekana wazi na haraka mno, Hongera sana Rais Samia

Mafanikio ya Royal Your yanaonekana wazi na haraka mno, Hongera sana Rais Samia

Mnampigania smith kuja Tanzania mmekuwaje watanzania
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.

Mbona hii ni ya siku nyingi? Halafu unapima mafanikio kwa Willy Smith na Baba yake Rihanna kuhamia Unguja tu?
Mbona watalii wengi wanaojaza Zenj mwisho wa Mwaka wanatoka Russia na hatuwaongelei?
Tuipe muda ili tukisema tuwe na uhakika
 
Hivi billion 7 zilizotumika na rais kuaanda Royal tour inakuaje iwe mfuko wa serikali wakati sisi sio wenye hati miliki
 
Mama anatumia scientific leadership. Anajua mafanikio huvutiwa sio kulazimishiwa. Anajua uongozi ni ubunifu, busara na kutumia akili na sio msuli.

Kwa approaches zake tutapiga hatua kwenye mambo mengi.
Huyu mama amebahatika tu kama wazanzibari wengine wanavyobahatika huku bara lakini huishia kuboronga tu lakini huachwa hivyo ili kuulinda muungano.
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.
Umechemka Sana bibi
 
Mkuu Will smith alikuja enzi za chuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Yani kila jambo na kila mtu mnataka tuamini ameletwa na royal tour? Umekwenda chaka
 
Umemsikiliza?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo unataka kusema Will aliiongelea royal tour kabla haijatokea? Alitabiri tumuite Nabii will? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu mama huwa mnampa attention tu mi sionagi utimamu wake zaidi ya udini,sijawahi kumwelewa
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.
Huyo jamaa sio mara ya kwanza kuja Tz ashawahi kuja zaidi ya mara 5 miaka ya nyuma
 
Video ya miaka 3 nyuma leo imekua ni matokeo ya royo tua?

Mataahirs hii nchi hayataisha.
 
Tafadhali weka sawa heading ni Royal Tour, badili neno "Your".
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.

Unao uhakika kuwa aliona hiyo filamu mwaka 2019 alipokuja?
 
Back
Top Bottom