Mafanikio ya Royal Your yanaonekana wazi na haraka mno, Hongera sana Rais Samia

Mama anatumia scientific leadership. Anajua mafanikio huvutiwa sio kulazimishiwa. Anajua uongozi ni ubunifu, busara na kutumia akili na sio msuli.

Kwa approaches zake tutapiga hatua kwenye mambo mengi.
Ila mburula hawamuelewi 😆😆
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.
Naona umerudi kwa kasi sana, enzi za Mgalatia hata JF ulisusa.
 
Umenifurahisha unavyosimamia msimamo wako no matter what! Heheh, kazi kweli kweli.
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.
Hii alikuja siku nyingi. Na alitengeneza kashort film kabisa
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.
Huko shule ulisomea ujinga?
video ya miaka miwili iliyopita inahusikaje na royal tour ya miezi michache iliyopita?
 
Kama mafaniko haya hayatatui matatizo yetu sugu tunayorisishana kizazi hadi kizazi tangu Uhuru wetu basi ni kazi bure.
Umaskini, Ujinga, Maradhi.
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.

Kwaiyo kila mgeni atakayekuja ni royal tour 😂😂😂😂
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.

Labda yanaonekana kwa Waislamu na wazanzibar,sifa zingine niza uchawa.
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.
Weka ushahidi hapa. Acha porojo
 
Mama anatumia scientific leadership. Anajua mafanikio huvutiwa sio kulazimishiwa. Anajua uongozi ni ubunifu, busara na kutumia akili na sio msuli.

Kwa approaches zake tutapiga hatua kwenye mambo mengi.
Azizi Mussa kumbe na wewe unaingizwa chaka kirahisi namna hii? Huyu msanii siyo mara yake ya kwanza kuja Tanzania. Nakumbuka hapa tulishakuwa na thread kuwa yuko Bongo! Hebu tuache sifa za kijinga kwa sababu hamumsaidii mama Samia japo mnadhani mnamsaidia. Mnampoteza!

Islamic society!!!. Takata hii mmeitoa wap huyo Smith ndio yupi labda?
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.

Mshikaji mbona anakujaga tu mara nyingi tu!
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.

Unatulisha matango pori

IMG-20220510-WA0020.jpg
 
Back
Top Bottom