The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ila mburula hawamuelewi 😆😆Mama anatumia scientific leadership. Anajua mafanikio huvutiwa sio kulazimishiwa. Anajua uongozi ni ubunifu, busara na kutumia akili na sio msuli.
Kwa approaches zake tutapiga hatua kwenye mambo mengi.