Mafanikio ya Royal Your yanaonekana wazi na haraka mno, Hongera sana Rais Samia

Mafanikio ya Royal Your yanaonekana wazi na haraka mno, Hongera sana Rais Samia

Hee, kwani uliambiwa hii ni mara yake ya kwanza kuja? Unanchekesha!

Sasa hivi watu wapo kiuwekezaji zaidi, umelala wewe.

Wewe ukiamka inatosha...sio lazima wote tuamke.

Mkuu umeleta uzi uka ambatanisha na source,, katika ufikishaji wa taarifa ukiweka source tuna imani kuwa ni source inayo support taarifa yako.

Ungeweka picha ya Will Smith tusingefika huku...

Jambo gani ni gumu kulielewa hapo ndugu yangu....??
 
Kibibi kiongoooo!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtakufa navyo vijiba vya roho, nojeni muone ma star wengine wa Hollywood wanavyomiminika June / July.

Mi private jet tu itajazana. Tujiandae kuwapokea tu, Royal Tour imezalisha mi fursa kedekede.
 
Msamehemi mleta mada jamani! Mahaba ya udini ndio yanamfanya awe hivi
 
Wewe ukiamka inatosha...sio lazima wote tuamke.

Mkuu umeleta uzi uka ambatanisha na source,, katika ufikishaji wa taarifa ukiwa source tunaimani kuwa ni source inayo support taarifa yako.

Ungeweka picha ya Will Smith tusingefika huku...

Jambo gani ni gumu kulielewa hapo ndugu yangu....??
Aaah wewe habari umeisoma na imekuingia, kuna taarifa ya kutunga kitabu hapa hata nikuweke unavyotaka wewe?

Mambo kwa sasa ni fursa za Royal Tour.

Mtakufa navyo vijiba vya roho. Mbowe si unajuwa ni mdau wa Utalii, kaenda Ikulu kuziwahi fursa, nyie payukeni tu, humu ungefanya hivi ungefanya vile.
 
Msamehemi mleta mada jamani! Mahaba ya udini ndio yanamfanya awe hivi
Tuwasamehe nyinyi ambao mnaungua roho.

Kama kwa neno udini unamaanisha Uislam, basi Naam, mimi ni Muislam na starring wa Royal Tour ni Muislam na co-starring ni Muislam.

Hapo lazima mjinyonge.
 
Mtakufa navyo vijiba vya roho, nojeni muone ma star wengine wa Hollywood wanavyomiminika June / July.

Mi private jet tu itajazana. Tujiandae kuwapokea tu, Royal Tour imezalisha mi fursa kedekede.
Kwanini uwe muongo lakini we kibibi?
Mbona vibibi wengine wanajiheshimu?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duh, mtu anashindwa hata kusoma tarehe tu ya lini video ilikuwa uploaded, hii ajabu sana!
 
Mtakufa navyo vijiba vya roho. Mbowe si unajuwa ni mdau wa Utalii, kaenda Ikulu kuziwahi fursa, nyie payukeni tu, humu ungefanya hivi ungefanya vile.

Hata wewe hautaishi milele.... na hizo Fursa mkichukua nyie inatosha sio lazima tupate wote.
 
Kama Will Smith kaja Serengeti hii sio kwa sababu ya Royal Tour Smith kashakuja Serengeti mara nyingi labda kipindi hicho ulikua hujapata Smartphone ndio maana hujui..wamekuja wengi kabla hata ya hiyo munayoiita Tour kina Beckham amekuja na wengine wengi.

Nina mashaka na Degree yako na chuo ulichosomea
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.
Huko shule ulisomea ujinga? Unafikiri wote maboya, wadanganye huko madrasa hii picha ya zamani kabla ya royal tour.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.

Acha utapeli wa kijinga mother, hao watu maarufu huwa wanakuja Kila mara huko mbungani na sio sababu ya Roho Tua.
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.

We mjinga Will Smith ameishaitembelea Serengeti toka mwaka majuzi, kabla ya corona. Acha kupotosha watu
 
Kama hujui tulia uelimishwe Will alishakuja hapa Serengeti miaka mitatu nyuma wala safari zake hazihusiani na hii royal tour na wala hukuona mtu/chawa anazungumzia ujio wake lakini kwa kuwa sasa chawa wanashindana kuwahi nafasi wanaleta hata taarifa za miaka mitatu nyuma na kuwaaminisha watz ni kutokana na royal tour!!
Itamrahisishia Mkuu kujua wapo wengi huku wanajaribu kumdanganya kwa masilahi yao !! Opportunistics !!
 
Mtakufa navyo vijiba vya roho. Wachawwi mnajulikana, habari za mafanikio huwa zinawachoma moto.
Serikali imeomba mkopo wa billion 100 toka benki ya dunia kunusuru bei ya mafuta. Hayo pia ni mafanikio acha hizi habari ziwachome wasiotaka habari za mafanikio.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom