jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Msanii mahiri na muigizaji Will Smith yuko Tanzania
Msanii wa muziki na muigizaji mkubwa Holywood Will Smith wako nchini Tanzania pamoja na familia yake. Wanatembelea mbuga ya Serengeti. Will Smith anaonekana akifurahia mandhari ya mbuga ya Serengeti. Kwa muigizaji anayefuatwa na watu zaidi ya milioni 40, je Wizara husika chini ya Mheshimiwa...