Mafanikio ya Royal Your yanaonekana wazi na haraka mno, Hongera sana Rais Samia

Mafanikio ya Royal Your yanaonekana wazi na haraka mno, Hongera sana Rais Samia

Hii clip mbona ina miaka kadhaa nyuma,,, hata vijana wa JPM walishawahi kuichukulia credit....

Mkuu hio shule yako nawewe ulisomea ujinga..

Wewe unaambiwa yupo Tanzania wewe unasema "clip" hujioni kuwa upoyoyo?
Kwani Will Smith kaja mara moja tu Tanzania?

Tena safari hii licha ya utalii, kaja na kuwekeza kabisa. Wacha mtajionea siku za usoni, bado ni nyeti kwenu, mtamroga wanga nyie.

Unafikiri mama aliposema kaonana na wawekezaji wa wa utalii alikuwa anakisia? Hovyoooo.
 
Mh.Samia anapiga kazi lakini hapa umetoa sifa pasipostahili.
Willy Smith alishakuja kutalii kabla ya hiyo filamu. Royal Tour haijamtambulisha Smith kuhusu uzuri wa kutalii Tanzania.

Pili mke wa Smith hana nywele kwa sasa sababu ya shida ya kiafya, hajasuka na hapo umeona ana nywele kasuka na za bandia.
Hii video ya zamani acha kuokota kila kitu mitandaoni.
 
Udini umekutoa akili, kama uliwahi kuwa nazo enewei…. SHAME.
 
Mafi ya ndama.
Safari hii yanakuwa ya ndma wa viboko, mambo ni Royal Tour tu. Mtasononeka sana tu.

Unafikri watu wana act kwa kulala juu ya jiwe la Dodoma? Mambo ni Hollywood tu.
 
Sasa mwenyewe umejisuta hapo, "kishakuja mara kadhaa", na sasa yuko wapi? Soma hiyo: Why Will Smith is in Tanzania? — - Tanzania Tourism

Mwenye wivu ajinyonge.
Hili andiko linasema Tz kuna 16 national parks.
Jiulize ww na mumeo hivi sasa Tz kuna idadi hiyo au zaidi?
Shuleni ww ulikuwa kilaza sema tu ukibahatika na ya
Sasa mwenyewe umejisuta hapo, "kishakuja mara kadhaa", na sasa yuko wapi? Soma hiyo: Why Will Smith is in Tanzania? — - Tanzania Tourism

Mwenye wivu ajinyonge.
Hiyo article inasema Tz ina 16 national parks,sasa jiulize ww kwa sasa zipo national parks ngapi?
Ww ni kilaza wa first class bahati yako umepata mume mjanjamjanja ndio anayekuchangamsha kidogo ila bado sana.
 
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.
Kwani ni Mara yake ya kwanza kuja Tanzania?
 
Hili andiko linasema Tz kuna 16 national parks.
Jiulize ww na mumeo hivi sasa Tz kuna idadi hiyo au zaidi?
Shuleni ww ulikuwa kilaza sema tu ukibahatika na ya

Hiyo article inasema Tz ina 16 national parks,sasa jiulize ww kwa sasa zipo national parks ngapi?
Ww ni kilaza wa first class bahati yako umepata mume mjanjamjanja ndio anayekuchangamsha kidogo ila bado sana.
Wewe kabishane na aliyendika, soma hiyo: Why Will Smith is in Tanzania? — - Tanzania Tourism

Mahela ya utalii yanaingia na mafuta yanashuka bei 1st June. Na mbowe jana alikuwa Ikulu.

Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Mtakufa navyo vijiba vya roho.
 
Acha ungese ww bibi kizee.
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...

Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?

Wenye wivu wajinyonge.
 
Wewe unaambiwa yupo Tanzania wewe unasema "clip" hujioni kuwa upoyoyo?
Kwani Will Smith kaja mara moja tu Tanzania?

Tena safari hii licha ya utalii, kaja na kuwekeza kabisa. Wacha mtajionea siku za usoni, bado ni nyeti kwenu, mtamroga wanga nyie.

Unafikiri mama aliposema kaonana na wawekezaji wa wa utalii alikuwa anakisia? Hovyoooo.
DAH.

Inasikitisha mtu mzima kabisa tena mkongwe kuingia kwenye propaganda uchwara kisa tu unatumia fake ID.

Nilikuwa nakuheshimu sana hata kama tuko na mtizamo tofauti katika japo furani ila kwa kung'ang'ania uongo huu, hapana. Imetosha.

Lambda kama unataka kusoma comments ila nitaomba modes wautoe huu uzi.
 
Back
Top Bottom