inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Endekezeni tu udini,siku udini ukiiva na mkatakiwa kuula msije kuliaWenzako wanatetea mlengo wao na plz endelea na mambo yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endekezeni tu udini,siku udini ukiiva na mkatakiwa kuula msije kuliaWenzako wanatetea mlengo wao na plz endelea na mambo yako
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...
Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?
Wenye wivu wajinyonge.
Wasiufute, huyu bibi aendelee kuaibika na shule yake aliyosomea ujinga.Huu ni upotoshaji wa hali ya juu. Mods wanatakiwa wafute huu uzi haraka. JF ni reliable source, wapumbavu wasiachwe waharibu hilo
Huyu mama amebahatika tu kama wazanzibari wengine wanavyobahatika huku bara lakini huishia kuboronga tu lakini huachwa hivyo ili kuulinda muungano.Mama anatumia scientific leadership. Anajua mafanikio huvutiwa sio kulazimishiwa. Anajua uongozi ni ubunifu, busara na kutumia akili na sio msuli.
Kwa approaches zake tutapiga hatua kwenye mambo mengi.
Wakristo huwa sio wavumilivu kabisa anapopatikana raisi muislam, mnashindwa kabisa kuficha hisia zenuMujjahidin
Umechemka Sana bibiWill Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...
Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?
Wenye wivu wajinyonge.
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...
Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?
Wenye wivu wajinyonge.
Umemsikiliza?
Huyo jamaa sio mara ya kwanza kuja Tz ashawahi kuja zaidi ya mara 5 miaka ya nyumaWill Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...