Katika watu wote mnaona Will Smith ndie mtu wa kututangaza?Will Smith ndani ya serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...
Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?
Wenye wivu wajinyonge.
...chawa wa Samia yupo kazini.Will Smith kaja lini tena jamani acheni uzushi
Hii video ni ya miaka kama mitatu nyuma ndo alikuja na si ya hivi karibuni...
Azizi vs Hassan unafikiri kitaharibika kitu hapo 😄 lazima umpambanie!Mama anatumia scientific leadership. Anajua mafanikio huvutiwa sio kulazimishiwa. Anajua uongozi ni ubunifu, busara na kutumia akili na sio msuli.
Kwa approaches zake tutapiga hatua kwenye mambo mengi.
Wacha upuuzi.Islamic state....
Huyu bibi huwa anapata ndoto nyevu hata mchana.Will Smith kaja lini tena jamani acheni uzushi
Hii video ni ya miaka kama mitatu nyuma ndo alikuja na si ya hivi karibuni...
MujjahidinWacha upuuzi.
Hata hamfahamu ni kujipendekeza tu....chawa wa Samia yupo kazini.
Hii thread ni takataka mafi ya kuku.Azizi vs Hassan unafikiri kitaharibika kitu hapo 😄 lazima umpambanie!
Mdini huyo binadamu sijapata kuona!Hata hamfahamu ni kujipendekeza tu.
Huyu mbona alishakuja mara nyingi tu kabla hata hiyo royal tour!?Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...
Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?
Wenye wivu wajinyonge.
Unaposti vitu visivyokuwa na maana. tafuta Bwana akutoe Stress.Mujjahidin
Inauma sana watu unaowamini wanapoanza kupotosha umma. Hii kitu ya 2019 afu leo unaanza kuifanyia promo?Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...
Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?
Wenye wivu wajinyonge.
Kwa taarifa yako mleta mada ni kwamba willy smith alikuja na kutengeneza hiyo filamu siku nyingi kabla ya mama Peter.Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...
Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?
Wenye wivu wajinyonge.
Wenzako wanatetea mlengo wao na plz endelea na mambo yakoUnaposti vitu visivyokuwa na maana. tafuta Bwana akutoe Stress.