Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

ukiona kwenye mazuri ya Magufuli umeishia 1 2 3 ujue hujaamua fikiria nnje ya box

ukifikira zaidi saivi ungekua upo namba ya 791....
 
Hata viongozi wa nyuma waliokuwepo nao walifaya mengi yenye tija kitaifa,hawakutaka kujikweza kupitia mapambio na propaganda tuache kuwabeza kwa eti nchi hii mahari ilipokuwa inaelekea palikuwa pabaya sana.Wananchi wanaona wana macho.Ndio maana wananchi wanapigania demokrasia ya kuchaguwa viongozi wanaowataka kwa kupitia debe na sio viongozi wakubambikiziwa/kulazimishwa kwa nguvu.
 
Hajapandisha mishahara na madaraja miaka mnne sasa. Maisha ya wafanyakazi ameyafanya kuwa magumu sana.
Apandishe mishahara kwa tija ipi?
Walijisahau sana watumishi,mtu anaingia saa 3,saa 4 anaenda kunywa chai mpaka saa8,
 
Katika marais wabovu kutokea Tanzania JK ni mojawapo.
 
Kwa Kifupi Kikwete kafanya Mambo mengi sema kosa alilofanya ni kuruhusu watu wamchezee sharubu

Kikwete Kaongeza Hospital kadhaa
While za Kata
Nyumba za watumishi wa Umma kama Polisi na Walimu
Vivuko nchi nzima
Barabara za kutosha
Kajenga Mwendo kasi
Kajenga uwanja wa Ndege terminal 3 japo JPM kaja kuizindua tu
Kajenga viwanja vya ndege Songwe, Bukoba, Mbeya, na Mwanza

Nikusahihishe kiwanja cha mza kilikuwapo kiliendelezwa pi mwenzake nae anaendeleza, terminal lll ilikuwa inakwama maana pesa zilikosekana ingebaki gof, mahospitali ya wilaya mapy ni nusu ya tawala zote miaka karibu 50, kwa miaka 4 wituo vya afya zaidi miaka yote, mahakama za rufaa kila mkoa haikuwapo kwa miaka yote, vivuko vipya na vya zamani vinatengenezwa reli zinafufuliwa zilishindikana kutoa huduma, madege hakuna aliyewaza kununua, madawa kwenye mahospitali yana bei ndogo kuzidi madukani na yanapatikana kiasi cha kufanya mafamasi kuanza kuchoka, ujambazi uwindaji haram hata vibaka wamepungua, umeme mika yote ya maraisi 4 ni vijiji 2000, miaka mine vijiji 8000 je ingekua katumika miaka 40 ingekuwaje?
 
mkuu magufuli kafunga vyuo vingi sana, kwaio idadi ya vijana wanaoingia vyuo vikuu imepungua!
Mkuu umeua kabisaaa...Yaani ni Pwentiii tupu ila hebu tudukiscuss hiyo namba 42 kuhusu mikopo!?? Hapo Kuna ukakasi kidogo hivi tukisema una watoto 10 ukawahudumia 9.. ilihali mwenzio kaja na watoto 20 akawahudumia 17.. hivi nani apo atakuwa kafanya kazi kubwa!! Ukidiscuss kwa figure ileile ambapo kimsingi ni ngumu kulingana na wakati ingeleta logic ila hapo siungi mguu hoja!!!
 
Baadhi ya hospitali za mkoa nazozijua ni hospitali ya rufaa ya mkoa wa singida,alipanua hospitali ya mkoa wa Mbeya na songea
Kati ya sekta ambazo Jk alifanya vizuri ni barabara,elimu,diplomasia,demokrasia na uchumi kiujumla ila shida yake kuu hakuwabana vilivyo aliowateua na kitendo cha demokrasia na uhuru wa kujieleza kuwa mkubwa kilisababisha viongozi wa serikali kushindwa kuelezea mafanikio ya serikali maana kwa sasa hata zahanati ikijengwa lazima tujue

Uchumi wa kikwete ulikuwa ni wa ujanja ujanja ukiwa unafahamiana na wakubwa wewe unakuwa sawa vinginevyo kun watu bado walikuwa wanashindia mlo mmoja wengi tu. Pia haukuwa imara kwa sababu haukuwa na vyanzo vinavyofahamika au imara kma viwanda, unakuta mtu hana kazi laki anamiliki mamilioni na halipi kodi sas ulishawahi kuona wapi hiyo?
 
Mapatobyameongezeka yamenisaidia kusomesha bure wanangu,pia mtoto wa shangazi yangu kapata mkopo wa chuo
Teh! Elimu bure. Duh!
Vipi kuhusu waliokosa mikopo, utawashawishi vipi na mapato yako? Je, kipindi cha JK wanafunzi walikuwa hawapati mikopo licha ya mapato kukusanywa kidogo?
 
Tofauti ya JK na JPM ni kuwa JK alifanya jambo lolote lile alilioona lina manufaa kwa wananchi ndio maana yapo yanayoonekana kwa macho na yasiyo onekana kwa macho Mfano kuruhusu Bunge Live ni ujasiri mkubwa sana ambao JPM kashindwa kwa sababu bunge live ni kuruhusu serikali yako ikosolewe huku wananchi wanaona.Kuruhusu ripoti ya CAG kusomwa bungeni na kujadiliwa ni jambo la kishujaa ambalo bila shaka ilikua ni njia ya matumizi bora ya fedha za umma.Kujenga chuo kikuu na kulegeza masharti ya mikopo nalo lilikua jambo jema angeweza kuacha ili anunue ndege.Kuamua ujenzi wa barabara na kumwachia waziri wake afanye kwa utashi bila kulazimisha aonekane anafanya yeye ni uongozi bora.Hivyo JK alifanya yale yasiyo ya sifa tofauti na wakati huu ambao tumeng'ang'ana na vitu vichache na kujipa sifa kede kede wakati vitu vingi vya manufaa kwa Umma tumeviacha.Wote wana mazuri na madhaifu lakini kwa kuwa wapambe wa JPM wanataka tuamini kua maendeleo yameanza wakati huu wa JPM, wakati sote tunauweza wa kutazama na kuona,kupima na kulinganisha ni unafiki.flyover ya Tazara na Daraja la salender JK alikua na uwezo wa kuzindua au kuweka mawe ya msingi lakini hakujali kwa kua alijua serikali ni ile ile japo kila kitu alikuwa amesharatibu.
 
Unataka uletewe chakula mdomoni?
Kwani awamu zilizopita zilowaletea watu chakula mdomo.Ukianza kujitegemea utaelewa acha kula kulala kwa shemeji.Sera mbovu uleta njaa,tajiri akisomeshwa namba aishi kishetani masikini kafa kabisa.
 
Tofauti ya JK na JPM ni kuwa JK alifanya jambo lolote lile alilioona lina manufaa kwa wananchi ndio maana yapo yanayoonekana kwa macho na yasiyo onekana kwa macho Mfano kuruhusu Bunge Live ni ujasiri mkubwa sana ambao JPM kashindwa kwa sababu bunge live ni kuruhusu serikali yako ikosolewe huku wananchi wanaona.Kuruhusu ripoti ya CAG kusomwa bungeni na kujadiliwa ni jambo la kishujaa ambalo bila shaka ilikua ni njia ya matumizi bora ya fedha za umma.Kujenga chuo kikuu na kulegeza masharti ya mikopo nalo lilikua jambo jema angeweza kuacha ili anunue ndege.Kuamua ujenzi wa barabara na kumwachia waziri wake afanye kwa utashi bila kulazimisha aonekane anafanya yeye ni uongozi bora.Hivyo JK alifanya yale yasiyo ya sifa tofauti na wakati huu ambao tumeng'ang'ana na vitu vichache na kujipa sifa kede kede wakati vitu vingi vya manufaa kwa Umma tumeviacha.Wote wana mazuri na madhaifu lakini kwa kuwa wapambe wa JPM wanataka tuamini kua maendeleo yameanza wakati huu wa JPM, wakati sote tunauweza wa kutazama na kuona,kupima na kulinganisha ni unafiki.flyover ya Tazara na Daraja la salender JK alikua na uwezo wa kuzindua au kuweka mawe ya msingi lakini hakujali kwa kua alijua serikali ni ile ile japo kila kitu alikuwa amesharatibu.

Nikukumbushe, bunge live mchakato wa kulizima ulianza na kikwete baada ya kuona kelele zinazidi na mbele kuna joto la uchaguzi akarudi nyuma likaendelea kwa hiyo haikuwa ajenda ya jpm, huyu katekeleza tu.
 
mkuu magufuli kafunga vyuo vingi sana, kwaio idadi ya vijana wanaoingia vyuo vikuu imepungua!
Unauhakika kufunga Vyuo vingi ndio kupungua idadi ya Wanafunzi vyuoni umefatilia udahili wa UDSM tu kwa miaka ya hivi karibuni ukilinganisha na enzi za JK!? Hapo sijataja UDOM Mkuu wangu!?
 
Magufuli kajenga hospitali 65 kwa miaka mitatu
Elimu bure kabisa
Kapandisha mapato toka B800 mpaka 1.3 trilion
Kafufua Atc
Kafufua Ttcl na inatoa gawio
Mapato ya madini yameongezeka
Kaongeza nidhamu serikali
Kupanga ni kuchagua
Naomba uniwekee list hapa hizo hospitali zimejengwa wapi? Hakuna hospital hizo ni vidispensary tu. Nitajie ziko wapi
 
kuna nia na tendo unaweza kusema kulikua na hiyo ni lakini nia pekee yake haitoshi kuhukumu.Hivyo aliyetefanya tendo ndio anhukumiwa kwa vyote nia na tendo.Kwa minajiri hiyo ni wazi kua JPM anahukumiwa kwa kuondoa Bunge live.Hakuna njia jingine ya mkato na hivyo wananchi tumedhurumiwa haki yetu ya kuona bunge live.

Nikukumbushe, bunge live mchakato wa kulizima ulianza na kikwete baada ya kuona kelele zinazidi na mbele kuna joto la uchaguzi akarudi nyuma likaendelea kwa hiyo haikuwa ajenda ya jpm, huyu katekeleza tu.
 
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

[emoji117]Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao mpinzan kwake hakuonekana kama adui

Screenshot_20191126-170250.jpeg
 
Back
Top Bottom