mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Kikwete sio mtu wakujitangaza sanaa ni Raisi mstarabu mwenye huruma nakujali watu wake, 'The best president ever of all days in Tz to me'Huu ni uchochezi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwete sio mtu wakujitangaza sanaa ni Raisi mstarabu mwenye huruma nakujali watu wake, 'The best president ever of all days in Tz to me'Huu ni uchochezi!
Dr John Magufuli ana uwezo mkubwa sana wa kufanya maamuzi!Magufuli kajenga hospitali 65 kwa miaka mitatu
Elimu bure kabisa
Kapandisha mapato toka B800 mpaka 1.3 trilion
Kafufua Atc
Kafufua Ttcl na inatoa gawio
Mapato ya madini yameongezeka
Kaongeza nidhamu serikali
Kupanga ni kuchagua
Magufuli kajenga hospitali 65 kwa miaka mitatu
Elimu bure kabisa
Kapandisha mapato toka B800 mpaka 1.3 trilion
Kafufua Atc
Kafufua Ttcl na inatoa gawio
Mapato ya madini yameongezeka
Kaongeza nidhamu serikali
Kupanga ni kuchagua
Praise team mmeshikwa mananiiiiHuu ni uchochezi!
Maamuzi yana grade, yanaweza kuwa maamuzi ya busara au maamuzi ya kijinga kupigiwa mfano.Dr John Magufuli ana uwezo mkubwa sana wa kufanya maamuzi!
Hii kauli haikupaswa kutolewa na mtu mwenye nafasi kubwa kama ile. Watu wanapomsikiliza kiongozi wao hutegemea kupata faraja kutokana na changamoto wanazopitia Ila kwasasa hata kumsikiliza kiongozi mkuu inahitaji moyoukiona mahindi yako bei ya juu nenda kalime yako ya bei ya chini
FAHAMU MAMBO MACHACHE ALIYOFANYA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. *Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai*
29. *Ajira kila mwaka*
30. *Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.*
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.
Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.
Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao mpinzan kwake hakuonekana kama adui
Ukiona mtu anambeza KIKWETE mtafakari
MAGUFULI a.k.a Doctor wa VIWANDA
1. Stigla.
2. SGR
3. Kumalizia Barabara alizoanza Kikwete.
ALIYO HARIBU MAGUFULI NA NGUMU KUYAREKEBISHA
1. KUUZA nyumba za serikali
2. Makao makuu dodoma/Kule ni bonde la ufa na tetemeko mda wowote linatokea, hasa baada ya jiji kujengwa maghrofa na kuwa na mgandamizo mkubwa wa ardhi.
3. Kuuwa kabisa korosho.
4. Chuki dhidi ya watu wa kaskazini.
5,Kufyatua: akili yake anadhani idadi kubwa ya watu ndio utajiri, kama ameshindwa kutumia population iliyopo ijayo ataweza?
6.Kuua demokrasia , tena kwa kasi kubwa.
7.
8....
Siyo uchochezi, ni ukweli mchungu ambao praise team hawawezi kuumeza.Huu ni uchochezi!
Mkuu hata hao waliomtangulia walikuwa na uwezo wa kufanya uamuzi, na ndiyo maana wamefanya waliyoweza kufanya kwa muda waliokaa madarakani.Dr John Magufuli ana uwezo mkubwa sana wa kufanya maamuzi!
Kaongeza nidhamu serikalini kwa kutopandisha watumishi mishahara na madarajaMagufuli kajenga hospitali 65 kwa miaka mitatu
Elimu bure kabisa
Kapandisha mapato toka B800 mpaka 1.3 trilion
Kafufua Atc
Kafufua Ttcl na inatoa gawio
Mapato ya madini yameongezeka
Kaongeza nidhamu serikali
Kupanga ni kuchagua
Magufuli kajenga hospitali 65 kwa miaka mitatu
Elimu bure kabisa
Kapandisha mapato toka B800 mpaka 1.3 trilion
Kafufua Atc
Kafufua Ttcl na inatoa gawio
Mapato ya madini yameongezeka
Kaongeza nidhamu serikali
Kupanga ni kuchagua
Magufuli kajenga hospitali 65 kwa miaka mitatu
Elimu bure kabisa
Kapandisha mapato toka B800 mpaka 1.3 trilion
Kafufua Atc
Kafufua Ttcl na inatoa gawio
Mapato ya madini yameongezeka
Kaongeza nidhamu serikali
Kupanga ni kuchagua