Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

Wakati aliyemfuata akijinadi nchi ilikuwa imeoza [JIWE] huku yeye akiwa baraza la mawaziri[waziri wa ujenzi aliyeuza nyumba za serikali ] na yeye binafsi kushiriki uuzaji wa nyumba za serikali nchi nzima, sasa imegundulika huyo bwana Msoga alifanya mambo machache sana , jisomee ulinganishe na viwanda elfu nne vya "mwambafy.

Huyu wa sasa kafanya mengi.

KIDUCHU ALIYOFANYA KIKWETE

1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar [Awamu ya Pili]
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Hawa wanaomtukana na kusema kuwa hakufanya chochote zaidi ya wizi na ufisadi walikuwa wanaishi nchi gani?

Hivi huyo wanaemtukuza amefanya jambo gani kubwa linalofikia hata robo ya mkubwa aliyoyafanya Kikwete?

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao tofautu na sasa ambapo mpinzan anaonekana kama adui.




KIDUCHU ALICHOFANYA NYERERE

1. Reki ya TAZARA - aliijenga na Mwenzie Kaunda
2. RELI YA SINGIDA-MANYONI
3. Kiwanda cha Nyuzi Tabora
4. Viwanda 11 vya korosho
5. Viwanda 11 vya nguo
6. Kidatu, Mtera, Kihansi
7. Meli ...Bahari ya Hindi, Victoria, Nyasa
8. Ndege 14 za ATC
9. Vyuo Vikuu... Udsm, Mzumbe,
10. Kuimarisha Mabasi ya Railway
11. Kampuni ya Usafiri jijini ya UDA
12. KAMPUNI YA MABASI YA TANZANIA.. KAMATA
13. mashamba ya Mifugo... Ranchi za taifa..Ruvu, morogoro, KongwA, N.K.
14. National parks 10
15. Vyuo kuwalipa Wanafunzi fedha za matumizi
16. Wanafunzi secondary kusafiri bure
17. Elimu ya watu wazima... 95%
18. Bugando, Kilimanjaro Hotel, Muhimbili. Extension, KCMC
19. UYOLE, NALIENDELE, ILONGA, UKILIGURU,
20. Viwanda vya vifaa vya umeme. Lawanda cha, baiskeli, matairi, vipuri vya magari, radio (Phillips na National)na betri.
22. Nyumbu trucks
23. Machine za kuchambua Pemba... Ginneries
24. Elimu bure tangu 1972 hadi 1990... Daftari, katamu, vitabu bure. Shule ya mwingi hadi chuokikuu vikuu
25. Huduma za afya bure
26. Mafanikio katika utamaduni na. Michezo... Vikundi vya utamaduni na bendi kila mkoa
27. VYAMA vya ushirika wa mazao
28. Alijenga Umoja.... Hakujenga nyumba....alikopeshwa... Butiama alijengewa na Jeshi
29. Aliheshimiwa duniani kote
30. Aliandika vitabu zaidi ya ishirini
31. Bodi za Mazao... Pamba, tumbaku, Korosho, kahawa
32. Gapex
33. Tanzania Elimu Supplies
34. Tanzania Publishing House
35. Tafico
36. Chuo cha Uvuvi Mbegani
37. Vyuo vya utalii na wanyama pori
38. Vyuo vya Kilimo, Tumbi, UYOLE, n.k.
39. Viwanda vya Kahawa na Mazulia
40. Secretarial colleges...Dar na Tabora
41. SHIRIKA LA TANESCO
42. Bwawa la Mindu
43. Kuimarisha Kiswahili kuwa lugha ya taifa
44. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
45, Muungano wa TANU na Afro Shiraz
46. Mbarali, Dakawa Rice farms
47. Kila kijiji kupewa trekta
48. Kila kijiji kupewa ng'ombe 20 wa kisasa
49. Tanganyika packers... Nyama
50. Kiwanda cha Coca-Cola Shinyanga
51. Mashamba ya zabibu
52. Dodoma wine
53. Moproco
54. Morogoro Canvas mill...the largest in Africa
55. Mgololo Paper Mill.. The largest in Africa
56. Kiwanda cha bia
57. Kilimo cha matunda Tanga
58. Chakula Bariadi... Kutengeneza Barafu za majumbani na viwandani
59. Saab scania - kibaha..kuunganisha scania
60. Chuo cha Posta, chuo cha Kodi, chuo cha Sukari,
61. Zana za Kilimo Mbeya
62. Shilingi iliyokuwa na thamani kubwa kukaribiana na dola na pauni.
63. Kiwanda cha Kibuku
64. Kiwanda cha Konyagi
64. MECCO
65. Kiwanda cha sigara
66. Kiwanda cha kuchapa vitabu na magazeti... Kiuta
67. Kampuni ya Fenicha
68. National Housing Corporation
69. STC... State Transport Corporation
70. Tanzania Tourism Corporation
71. Shihata
72. Shirika LA Posta na simu
73. Tangold

Hadi anastaafu Nyerere aliacha viwanda kama 500 vya umma, na mashirika... Achilia kampuni za watu binafsi...na viwanda vya vyama vya ushirika.
Aliacha Nyumba 10,000 za Serikali ambazo nanii aliziuza mwaka 2003 akiwa waziri wa Ujenzi
 
Hii ndio CCM. Kazi zote hizo no kwa ilani ya CCM na ndio maana tutaongoza milele
 
Wakati aliyemfuata akijinadi nchi ilikuwa imeoza huku yeye akiwa baraza la mawaziri na yeye binafsi kushiriki uuzaji wa nyumba za serikali nchi nzima, sasa imegundulika huyo bwana nMsoga alifanya mambo machache sana .

Huyu wa sasa kafanya mengi.


1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Hawa wanaomtukana na kusema kuwa hakufanya chochote zaidi ya wizi na ufisadi walikuwa wanaishi nchi gani?

Hivi huyo wanaemtukuza amefanya jambo gani kubwa linalofikia hata robo ya mkubwa aliyoyafanya Kikwete?

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao tofautu na sasa ambapo mpinzan anaonekana kama adui.
Du...mna mmwambafy Kikwete.
Lakini no 24, Kikwete hakupeleka wa kwanza umeme Zanzibar, hilo lilifanywa na Mwalimu in 1980.
Mradi ulifadhiliwa na Norway.
 
Hebu jitafakulini...nyinyi😎👹👹

Tatizo yeye amefanya kwa kodi za nchi...achilia mbali deni la taifa...jiulize nani alikuza sana kuliko wengine!?..
Kafanya kwa mda gani!?.
Je uhuru wa nchi kimataifa!?
Unyonywaji tunaosumbuka leo ni umetoka wapi!?.
Au lilikua sana kwa nani...
Tatizo mnajithamini nyinyi na mnasahau vizazi vijavyo....
Nyinyi leo mtanufaika hao wanaokuja watanufaika na nini....
Maisha magumu mtasema,But tokea nazaliwa hadi hivi leo sijawahi sikia maisha mepesi...kila mwaka mnasema afadhari mwaka jana ....!?
Uhuru wa Habari mtasema,but jiulizeni Kipind cha mwangosi kilikua cha nani,Dr.Ulimboka je!?
Mabomu Arusha je!?..
Eti aliuza nyumba,jiulize Kauli ilitoka kwa nani,na je kipindi anataka kuivunja Tanesco aliambiwa nini,Hapo utajua mamlaka yalikua yanatoka wapi that why amekua Prezdaa kavunja...!?
Tunachohitaji ni maendeleo bora kwa Vizazi vya leo na kesho...
Hebu fikili kule katavi mgodi wa Greener..
Nenda kaulize jinsi waturuki wanavyoifanya katavi na kuacha mahandaki...je alihusika nani..!?.
Sawa ni Sis'em but wale wote walio husika leo nyny ndo mnawakumbatia,Wanaotaka kurekebisha Mnawachukia,kisa Njaa zenu...
Hivi wew pia unajiita msomi...!?
Kama ameona kulikua na makosa why asiseme...
Ukijiiliza hayo utajua ni vingapi vimeliwa na tumepewa vingapi kulingana na kilichotoka!?.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni..
Na mtasema sana ila hatutaogopa...kumtetea
Hata nyerere alisema haya..
Kwamba mkiaanza tu kupambana kujikwamua mtasikia sauti nyingi za "huyo huyo Huyo " kuanzia ndani ya nchi hata nje ...
 
Du...mna mmwambafy Kikwete.
Lakini no 24, Kikwete hakupeleka wa kwanza umeme Zanzibar, hilo lilifanywa na Mwalimu in 1980.
Mradi ulifadhiliwa na Norway.
Umeme wa ZNZ kutokea Dar unaanzia substation gani? Na ilijengwa lini nadhani utaelewa
 
Back
Top Bottom