Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

Aisee! Chadema kweli mmechanganyikiwa!
Yani leo hii Kikwete anapigiwa mfano na kutaja mazuri yake na chadema?

Huyu huyu JK ambae Mnyika alisema ni rais dhaifu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba Magu endelea na ubatizo wa moto baba, soon nyumbu watajitambua tu.
 
Naona wewe umezoea kubana pua hongera kwa hayo
Halafu mnakuja tena baadaye kutubania pua kuwa CCM haijafanya chochote!!

Hata huyu akitoka mtakuja kutuorodheshea hivi hivi.
 
Huu uzi unamhusu Kikwete hakuna sehemu ametajwa Magu, ukitaka mambo ya Magu fungua uzi wake
Aisee! Chadema kweli mmechanganyikiwa!
Yani leo hii Kikwete anapigiwa mfano na kutaja mazuri yake na chadema?

Huyu huyu JK ambae Mnyika alisema ni rais dhaifu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba Magu endelea na ubatizo wa moto baba, soon nyumbu watajitambua tu.
 
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

[emoji117]Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao mpinzan kwake hakuonekana kama adui

View attachment 1273382
Nakuambia mambo haya yangefanywa na huu incompetent wa Burigi mikelele ongetuziba masikio
 
Alafu kesho tuletee kelele sisiemu haijafanya kitu..
 
Halafu mnakuja tena baadaye kutubania pua kuwa CCM haijafanya chochote!!

Hata huyu akitoka mtakuja kutuorodheshea hivi hivi.
Ukilinganisha na rasilimali iliyotumika kwa maana ya miaka 59 ya uhuru,watu milioni 60 na resource nyingine kede kede tulizonazo nambo yote hayo ni sawa na 1/10 ya vile vilivyotakiwa kufanyika
 
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

[emoji117]Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao mpinzan kwake hakuonekana kama adui

View attachment 1273382
Umesahau escrow na epa mwanaume weye
 
Aisee! Chadema kweli mmechanganyikiwa!
Yani leo hii Kikwete anapigiwa mfano na kutaja mazuri yake na chadema?

Huyu huyu JK ambae Mnyika alisema ni rais dhaifu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba Magu endelea na ubatizo wa moto baba, soon nyumbu watajitambua tu.
Yes kwa kuwa aliyepo ni dhaifu na incompetent kuliko aliyepita,yaani ni sawa na kuruka mkojo ukakanya mavi
 
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

[emoji117]Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao mpinzan kwake hakuonekana kama adui

View attachment 1273382
Malizia kwa kusema "aliyafanya yote hayo na Hakujimwambafai wala kujisifu sifu"
 
Halafu mnakuja tena baadaye kutubania pua kuwa CCM haijafanya chochote!!

Hata huyu akitoka mtakuja kutuorodheshea hivi hivi.
Mtoto wa miaka 17 akichezea mavi kama mtoto wa miaka 2 unaweza kusema huyo mtoto amekua sawa na wenzake wa miaka 17?

Maendeleo tuliyonayo na rasilimali tulizonazo ni sawa na mtoto wa miaka 17 kufanya mambo ya mtoto wa miaka 3, huwezi kumpongeza huyo mtoto.
 
Huu uzi haumhusu Jpm bali ni wa Kikwete. Tumia akili hata hiyo ndogo uliyo zaliwa nayo maana shuleni hukuambulia
Unafiki...endelea kunyooshwa kama rula.
Jpm endelea kunyoosha na huyu..
 
Back
Top Bottom