Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

Kikwete kafanya mambo mengi kuliko tawala zite,kinachofanyika tawala hii na kuonekana wanafanya sana ni watu wakujitangaza aka watu wa kiki hata miradi mingi utawala huu ni muendelezo wa aliyoaacha kikwete
 
Ikiisha miaka 10 ya Bulldozer utuletee pia atakayokuwa kafanya mkuu
na usisahau kuweka ukubwa wa deni la taifa na idadi ya watu wasio na hatia waliouwawa na utawala huu uliofitinika
 
Thank you for insulting us white people
 
Tiririka .....
[/QUOTE]
Uongozi wowote pamoja na mambo yote lakini ni kudumisha amani na upendo ndiyo muhimu kuliko vyote. Mfano wewe umekuwa mwenyekiti wa shughuli sema hata harusi tu ukashindwa kuleta mshikamanao na upendo kwa ndugu na jamaa ya wanaofunga harusi majibu yake umeshaharibu harusi na utashangaa watu wanaweza kutoa michango lakini siku ya harusi wasionekane.

Jukumu kubwa la kiongozi ni kuunganisha watu wote bila upendeleo na kuleta amani kwa jamii na maendeleo yanaweza kuja taaratibu kutokana na mshikamano wa watu wote kwa mfano wakoloni waliweza kufanya mengi na mazuri na hata miundo mbinu yake na baadhi ya majengo yapo mpaka sasa lakini tuliwatimua kwa kutaka uhuru,amani na ushirikiano na siyo hayo maendeleo yao ya miundo mbinu na majengo.
Nchi yetu inahitaji amani, upendo na mshikamano zaidi kuliko kitu kingine chochote, na haya yote yanaweza kupatikana kwa ushirikishwaji wa watanzania wote na kwa sasa nchi imeparanganyika kutokana na wengi viongozi kulisahau hilo kwa kujikweza na kusahau tunu zetu za taifa
Kumekuwepo na vijembe na lugha za kejeli zinazotolewa na baadhi ya viongozi kutuhumu awamu zilizopita hasa awamu ya tano kana kwamba wao waliiba na hakuna maendeleo waliyoyafanya.
 
Ruksa kumpa sifa yoyote, lakini sifa za jumla ni kwa wamwisho aliyemalizia na sio wa mwanzo aliyeanzisha.
P
Sijui unagombania nini hapa Jukwaani Mkuu ,hii Miradi yote iliyo tekelezwa iliwezekana kwa Kodi za Wananchi pia wa walio fanikisha walitakiwa kuwajibika kwa hilo kwa Mujibu wa Kazi zao.Sasa kelele ni za nini Mkuu ?
 
18 Oct 2013
Shirika la Fastjet laweza kutoa huduma ya usafiri wa anga kwa bei nafuu bila serikali kuibeba hata kwa shilingi 1 hela za walipa kodi

Airbus a319 belonging to Fastjet Tanzania

Our Airbus A319 takes off from Julius Nyerere International Airport, Dar es Salaam at 0927 EAT on Friday 18th October 2013, marking the launch of our first international route between Tanzania and South Africa. A proud moment for fastjet and a major milestone in our plans to revolutionise African air travel.
 
Mafanikio mengine ya utawala wa Kikwete ni makampuni ya wazawa kuona fursa na faida ya kutumia reli ya kati ya mkoloni kusafirisha mizigo kwenda maeneo ya maziwa makuu ya Tanzania yaani Tanganyika na Victoria pia hadi nchi jirani bila kuingiza nchi ktk madeni makubwa ya ujenzi wa SGR Reli

 
Anamtetea pot wake
Sijui unagombania nini hapa Jukwaani Mkuu ,hii Miradi yote iliyo tekelezwa iliwezekana kwa Kodi za Wananchi pia wa walio fanikisha walitakiwa kuwajibika kwa hilo kwa Mujibu wa Kazi zao.Sasa kelele ni za nini Mkuu ?
 
Kipara Kipya njooo huku nyumba inaungua
 
2015
Kikwete bridge likikatiza mto Malagarasi kuondoa kero ya usafiri wa barabara baina ya mikoa ya Tabora na Kigoma


Mto Malagarasi ktk uhalisia wake unavyoonekana ukikatiza maeneo ya vijijini Kigoma

 
35: Kuhakikisha John Pombe Magufuli anaingia Ikulu. Bila JK Magu asingeukwaa urais. Shukrani ya Punda mateke.
 
Nyumba za jeshi zilizojengwa vikosini halafu wanauziwa wanajeshi kwa lazima.
 
Maendeleo ya watu badala ya vitu katika sekta ya afya kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

 
Mkuu Pascal kuanzisha kitu ndiyo kazi inahitaji utayari sana kuliko kumalizia
Mkuu Mmawia it's true mwanzo ni mgumu kuliko kumalizia, na anayeanzisha ndiye anayefanya donkey job, lakini pongezi na shukrani ni kwa anayemaliza.

Hata katika yale, vipi wewe huwa unatoa shukrani unapoanza au unapomaliza?. Mwisho ndio mambo yote.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…