justin mwanshinga
Senior Member
- May 22, 2014
- 179
- 621
MAMBO MACHACHE ALIYOFANYA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE.
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai.
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
35. Kuboresha sekta ya utalii ambayo kwa kipindi chake iliajiri watanzania wengi Sana.
36. Alikua na waitwao wafanyakazi hewa, waitwao mafisadi na waitwao mabeberu lakini nchi ilikua inasonga kwa kasi kubwa huku biashara zikiwa zinaenda vizuri Hadi kariakoo ilifikia kipindi kuzidiwa na wateja. Ajabu alilipa mishahara vyema, alipandisha watumishi madaraja, aliajiri wahitimu kila mwaka, pesa ilikua na mzunguko mkubwa mtaani na watu waliyaishi maisha mazuri ya dunia kwa kiasi chake .
37. Hakukuwa na watu wasiojulikana Wala watu kupotea, hapakua na ubaguzi mkubwa kivyama, hapakua na kutekanatekana kwa kiwango kikubwa, hapakua na ununuzi wawanasiasa, hapakua na uabudu mtu Bali Mungu na kuitukuza serikali badala ya mtu.
Yapo mengi ila,
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.
Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.
[emoji117]Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha Watanzania kwa pamoja bila kujali vyama vyao mpinzan kwake hakuonekana kama adui