Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

MAMBO MACHACHE ALIYOFANYA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE.

1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.

10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria

11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha

17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)

23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)

26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)

27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.

28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai.

29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.

32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.

33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
35. Kuboresha sekta ya utalii ambayo kwa kipindi chake iliajiri watanzania wengi Sana.

36. Alikua na waitwao wafanyakazi hewa, waitwao mafisadi na waitwao mabeberu lakini nchi ilikua inasonga kwa kasi kubwa huku biashara zikiwa zinaenda vizuri Hadi kariakoo ilifikia kipindi kuzidiwa na wateja. Ajabu alilipa mishahara vyema, alipandisha watumishi madaraja, aliajiri wahitimu kila mwaka, pesa ilikua na mzunguko mkubwa mtaani na watu waliyaishi maisha mazuri ya dunia kwa kiasi chake .

37. Hakukuwa na watu wasiojulikana Wala watu kupotea, hapakua na ubaguzi mkubwa kivyama, hapakua na kutekanatekana kwa kiwango kikubwa, hapakua na ununuzi wawanasiasa, hapakua na uabudu mtu Bali Mungu na kuitukuza serikali badala ya mtu.

Yapo mengi ila,
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

[emoji117]Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha Watanzania kwa pamoja bila kujali vyama vyao mpinzan kwake hakuonekana kama adui
 
Mbona mnahangaika sana? Mbona utawala wa Magufuli unawatesa sana?

Nasema tena hakuna raisi Tanzania aliye au atakayekuja kufikia kiwango cha magufuli, unfortunately the entire world knows of this.

Haina haja ya kuorodhesha flan kafanya hivi na hvi, watu wanaona
 
Mbona mnahangaika sana? Mbona utawala wa magufuli unawatesa sana? , nasema tena hakuna raisi Tanzania aliye au atakayekuja kufikia kiwango cha magufuli, unfortunately the entire world knows of this

Haina haja ya kuorodhesha flan kafanya hivi na hvi, watu wanaona
Itatuchukua miaka mingi kumpata mtu type ya Magufuli,wanalijua hili japokuwa wamefanya vichwa vyao vibovu.
 
Sisi tuna imani na mama.

Mama anatosha.
 
Itatuchukua miaka mingi kumpata mtu type ya Magufuli,wanalijua hili japokuwa wamefanya vichwa vyao vibovu.
Hivi sasa wanasema Magufuli ni Shujaa kuliko Nyerere...
.
Uzuri mmoja ni kuwa muda si mrefu tutamsahau. Na waliokuwa wanaongoza kwa kumsifia na kumpamba watapata uhuru wa kutuambia upande wa pili wa huyu Ngosha....

Ni swala la muda tu, yaani watalapoanza rasmi kumsifia Mama Samia kwa utumishi uliotukuka ambao "hakuna Rais aliyepita aliweza kuufanya"

Ni swala la muda tu...
 
Escrow na IPTL ni kitu kilekile kasome historia ya IPTL ilianza lini jamaa yangu na mkataba uliasainiwa lini..

Hakuna Kampuni au shirika hata moja lililomfia JK huwa mnasahau sana kasome tena historia, mashirika yalikufa awamu ya pili na ya tatu, tena awamu ya tatu ikaja kuyauza kabisa...
Ukiondoa mkataba wa Buzwagi nitajie mkataba mwingine mbovu uliosainiwa na JK, mikataba mingi mibovu inayoisumbua hii nchi ilisainiwa awamu ya tatu kama hujui pale tu sera ya ubinafsishaji ilipoanza..
JK hakuwa Rais Muadilifu. Watoto zake walipora mali za watu kwa ticket ya Baba yao na pia kujibinafsia mali za Serikali kama UDA. Tender zote kubwa kubwa Rizwan kuna mkono wake. Wizi nje nje. Kifupi kaharibu. Hayo yote tumeyaona, hatujaahadithiwa. Utawala mbovu kabisa.

Tanzaniq bado hatujapata kiongozi. Bado hakuna kitu. Labda Mama atukomboe. Tunamuombea Mungu.
 
FAHAMU MAMBO MACHACHE ALIYOFANYA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet .
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

👉Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao mpinzan kwake hakuonekana kama adui

Ukiona mtu anambeza KIKWETE mtafakari
Source:takadini wa twitter
 
Mbona mnahangaika sana? Mbona utawala wa Magufuli unawatesa sana?

Nasema tena hakuna raisi Tanzania aliye au atakayekuja kufikia kiwango cha magufuli, unfortunately the entire world knows of this.

Haina haja ya kuorodhesha flan kafanya hivi na hvi, watu wanaona
Wewe Mke wa Makonda tutakurejesha Rwanda sisi
 
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet ...
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

[emoji117]Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao mpinzan kwake hakuonekana kama adui

Ukiona mtu anambeza KIKWETE mtafakari.
 
Wajinga wajinga ndo hukimbilia kutukana viongozi.
Na JK ana mchango mkubwa sana TZ ya sasa esp baada ya kifo cha mh raisi.
 
Back
Top Bottom