Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

Kuna wale kono kono wa baharini wanaovuliwa huko Mafia na Lindi ushawahi kuwala?
Mkuu mimi samaki kwa kumuangalia tu ana sura,shepu mbaya simli,Samaki nakula aina chache sana akiwepo kibua😍
 
Zamani awakuwa na sumu sema wamewekewa sumu kuwalinda wasitoweke maana watu walikuwa wakiwala sana na kutishia uwepo wao
Wanasema chanzo cha sumu ni mimea ya Bahari inatambulika km Mwani Sasa wakila Mwani wenye sumu ndani ya wiki moja ikatokea ndio wewe ukamla basi jiandae vizuri maana unakula sumu wakati yeye Mwani wenye sumu haumdhuru Ila wewe lazima utakudhuru
 
Hapana sio hivi,wapo kasa aina mbalimbali,wenye sumu na wasio na sumu;
 

Yaani hata baadhi ya vyakula kuna vyenye sumu na visivyo na sumu ,kuna kisamvu ,kuna mihogo ,kuna uyoga etc ukifakamia hovyo hovyo unaweza kula vyenye sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…