kuna wale samaki wakubwa utumbo wake huuzwa na tunaupika kama nyama hii niliwahi kula tanga hiihii nanukipikwa ukiungalia waweza sema wa ng'ombe shida una kijishomboUtumbo wake wachina wanakula
Ova
ndio jaribu siku mojaWacha wee utamu sana kumla mkunga,
Hatari sana bahari Ina mengi ya kujifunza,kuna mtu aliwahi kuniambia kumvua huyo aataka timing, ukikosea ana vimeno vya mbele juu nachini akikuuma anahakikisha hayo meno yamekutana, wavuvi wana moyo mgumu sana kwanza acheze na bahari pili viumbe vya ajabu hapana kwa kweli
Duuh... Kuna clip moja niliwahi kuiona mamba anauliwa kwa kung'ata jamii ya hawa samaki.Yes ndio huyo wengine wanamuita CHUNUSI
Aah sidhani km ntamuweza Mimi, ngisi tu ananishinda ntamweza mkungandio jaribu siku moja
mnoo, kuna viumbe telee achilia mbali bahari yenyewe na mauza uza yakeHatari sana bahari Ina mengi ya kujifunza,
Wanapiga shoti ya umeme akikuotea umekwenda na maji Ila wanaishia kina kirefu hawakai juu juuDuuh... Kuna clip moja niliwahi kuiona mamba anauliwa kwa kung'ata jamii ya hawa samaki.
Hata wanao kula pweza,Ngisi huwa nawashangaa sana yaani umbile tu wanatisha.Ulafi wa nyama unawaweka matatani, kiumbe kina muonekano wa kutisha wanapataje confidence ya kukila?
Kweli kabisa yaan Ila wavuvi wana moyo sio uongo,mnoo, kuna viumbe telee achilia mbali bahari yenyewe na mauza uza yake
Pweza naweza kula Ila Ngisi siwezi nmeshindwa,Hata wanao kula pweza,Ng’isi huwa nawashangaa sana yaani umbile tu wanatisha.
ngisi?? unanitia aibu, ngisi ni kama pweza tofauti yao pweza mwili mzim ni mikia ngisi ni hapo kichwani ndio vikia, huyo umchemshe na maembe mabichi au malimao, ananikeraga ukimkaaga anavyorusha mafuta lakini ana style yake ya kumkaaga hayaruki hata kamba unakula??Aah sidhani km ntamuweza Mimi, ngisi tu ananishinda ntamweza mkunga
kiliwakuta nnPwani ya Saadani wavuvi saizi wana adabu, wakimkuta kasa wanamrudisha kwenye maji
Ok, shukran sana.!Mafia ipo Mkoa wa Pwani.
Kamba nakula hata uduvi nakula Ila Ngisi nmeshindwa,ngisi?? unanitia aibu, ngisi ni kama pweza tofauti yao pweza mwili mzim ni mikia ngisi ni hapo kichwani ndio vikia, huyo umchemshe na maembe mabichi au malimao, ananikeraga ukimkaaga anavyorusha mafuta lakini ana style yake ya kumkaaga hayaruki hata kamba unakula??
mhh pole unakosa uhondo, je samaki wa kukaushwa na chumvi kama papa, nguru hiviKamba nakula hata uduvi nakula Ila Ngisi nmeshindwa,
Pweza ile harufu yake tu akipikwa siiweziPweza naweza kula Ila Ngisi siwezi nmeshindwa,
Vifo mwaka Jana watu 4 walikufa na 74 walikua hali mbaya baada ya kumla Kasa Ng'amba ambae walimuokota akiwa ufukweni amekufakiliwakuta nn
Sasa pweza ndio rahisi kumlaPweza ile harufu yake tu akipikwa siiwezi