Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

ww inaonesha ni mkomaaji mzuri na ndio maana umetoa majibu mazuri.
Kiongozi nina tecno r7 niliipeleka kwa mafundi software na hardware huko Dar wakaishindwa, waliniambia nibadilishe motherboard . Wewe uko wapi Nikuletee uicheki?
 
Mafundi habari zenu nina Samsung yangu S5 imekufa kioo ila touch nzima mtu akipiga napoke ila hakionyeshi kioo ni sh ngapi? Au naweza kuiuza kinsi ilivyo?
 
Kuna tecno c8 speaker hazifany kaz, hata ukichomeka earphone still iko kimya, kuna mwenye utaalam kidogo wa hii kitu
 
nawezaje kufix hii kitu
Tuma picha ya saketi yako kwa upande wa mbere na nyuma then nitakuwekea alama katika ic unayotakiwa ubadilishe au upime njia zake kama zinatoa mawasiliano vzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…