Uzi bila ya picha ni batiliHali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji.
Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa.
Kuna baadhi ya familia zinahitaji msaada.
Mtuombee.
Sawa. Nimeku-pmSafi. Hebu wahi Ifakara ukatoe msaada.
Kwa hiyo daraja Kilombero lipo salama na Lupilo kunafikika kwani bonded hilo ni hatari kwa mafurikoDarajani ni mto Kilombero. Huu unaoleta mafuriko hapa ni mto Lumemo.
Mto Lumemo una Kona kali sana kwa ivo maji yakiwa mengi na yenye Kasi Lazima yamwage Kuna eneo linaitwa Kwa Shungu.
Tatizo kalavati la kutoa maji Kwa shungu ni Moja tu.
Tatizo lipi labda?Dunia imechachafya kila pembe ya dunia mafuriko na kimbunga. Kuna tatizo sehem si bure!
Hujui hata geografia ya nchi ikoje?Yaan kwa haya majanga ya kimbunga na mvua nyingi ulimwenguni na hata hapa Tanzania kuna baadhi ya mikoa imekuwa salama kabisaa bila hata kudhurika na majanga yaliyamo kuanzia wilaya...kata...mitaa na vitongoji vyake...ni kwamba imebarikiwa....? Poleni sana
Hakuna tatizo lolote ni tabia nchi tu, mvua za elnino zinanyesha kila baada ya miaka 10.Tatizo lipi labda?
Ni uzembe tu, ukiacha huo mto wilaya ya Kilosa kuna mto Mkondowe, yakitokea maafa wala siwezi kushangaa kwa sababu sisi hatujawa binadamu kamili bado tuna unyani.Ifakara mto "Lumelo" ni janga sana. Flood plain yake ni kubwa saaana afu ni bonge la mto.
Yaa ni swala la kijiografia tu hili,ila umesema elnino ni kila baada ya miaka 10🤔Hakuna tatizo lolote ni tabia nchi tu, mvua za elnino zinanyesha kila baada ya miaka 10.
Manzese na Magomeni Kilosa hali kama hii huwa ni kawaida kwa sababu ya uzembe wa wenye mamlaka.View attachment 2981226
Hapa ni eneo la minarani
Ni uzembe tu, ukiacha huo mto wilaya ya Kilosa kuna mto Mkondowe, yakitokea maafa wala siwezi kushangaa kwa sababu sisi hatujawa binadamu kamili bado tuna unyani.
Sasa unadhani elnino huwa inanyesha Tanzania peke yake?Yaa ni swala la kijiografia tu hili,ila umesema elnino ni kila baada ya miaka 10🤔
Inahitajika project maalum ya mto Mkondowe ujengewe kutokea unapotoka, Kidete mpaka Kilosa tunaweza kupata hata njia ya usafiri kwa boti.Ulikua una ushauri gani kuhusu hiyo mito mdugu?
Poleni sana...Mjomba kule kwa Shungu sijajua hali yake itakuwajeHali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji.
Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa.
Kuna baadhi ya familia zinahitaji msaada.
Mtuombee.
Kwa wanaolijua eneo la kwa shungu hapa ni "mlimani".Manzese na Magomeni Kilosa hali kama hii huwa ni kawaida kwa sababu ya uzembe wa wenye mamlaka.
Sasa unadhani elnino huwa inanyesha Tanzania peke yake?
Hivi ukipanda Mlima Kitonga kwenda Iringa, na ukapanda mlima kwenda Iringa mjini huwa unaelewa nini? Unakwenda mabondeni kule?
Labda mkazi wa Makongo juu na Udsm kwenda Goba huwa unadhani kule kuna mafuriko?