Mafuriko makubwa mjini Ifakara leo Mei 5

Ukiitaja hiyo mikoa itakuwa vyema sana
 
Kwanza elnino sio mvua mkuu,pili naomba source inayosema elnino hutokea kila baada ya miqka 10.
 
Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji.

Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa.

Kuna baadhi ya familia zinahitaji msaada.

Mtuombee.

Poleni sana...

Kwamba hizi mvua tu ndio chanzo cha mafuriko yote hayo...

Nina wasiwasi maeneo mengi Watanzania wenzetu wamejenga kwenye maeneo oevu, upungufu wa mvua kwa miaka mingi pengine ndio ilikuwa pona yao...
 
U
Unaongelea mto mkondoa boss. Unataka ule mto watu watembelee boti? Ujengewe ule mto wote serious?
 
Okay...

Mvua itakuwa imenyesha sana tena mfululizo na kufanya ardhi iwe tepetepe kiasi cha kusababisha udongo kumomonyoka na mto kutapika...
Hapana.

Mto Lumemo una Kona kali sana na mara nyingi mto Kilombero ukikataa kupokea maji ya mto Lumemo, ndipo mafuriko hutokea.

Ingawa maji ya mwaka huu ni mengi sana kwa zaidi ya miaka 50 hayajapata kuonekana kwa simulizi wa wakongwe wa eneo hili.
 
Umetembea nchi ngapi? Tanzania haina umaskini wa kushindwa kufanya hizo project.
Nimetembea nchi tano. Ninaishi Uingereza, born and raised dar es salaam, Baba typically ifakara, mama typically kilosa. I have been to and fro in my teen age, hayo maeneo.
Nyie watanzania kwanza mnahitaji shughuli kwa idadi ya watu, shughuli, zenu ndizo zitaijenga nchi, mkitaka kwa tuvishughuli tudogo mfanyiwe ujenzi haadi wwa mito mtembee na maboti utakufa ww na kizazi chako hujawahi ona neema zaidi ya kulipwa mshahara wa milioni 3
 
Ifakara mto "Lumelo" ni janga sana. Flood plain yake ni kubwa saaana afu ni bonge la mto.
Ni uzembe tu, ukiacha huo mto wilaya ya Kilosa kuna mto Mkondowe, yakitokea maafa wala siwezi kushangaa kwa sababu sisi hatujawa binadamu kamili bado tuna unyani.
Yes, ni uzembe utokanao na short-sighted mind. Japan Sasa hivi kwenye mji wa Fukushima-Daichi na Fukushima-Daini wameanzisha mradi mkubwa wa kujenga ukuta/ukingo imara na madhubuti kabisa ili kuzuia maji ya bahari yasifurike kwenye miji hiyo endapo kama itatokea tena Tsunami ya hatari Kama ile iliyotokea mwaka 2011 ambayo iliua watu zaidi ya elfu arobaini sambamba na kuharibu kabisa zaidi ya 70% ya miji hiyo.
 
Siwezi kudebate na mtu mwenye akili kisoda kama wewe.

Nenda venice Italy ukatowe matongotongo maana huenda upo UK madafu au mzambarauni hujui dunia ilipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…