Kwahiyo mkuu changamoto za mipaka na majirani ndio unataka JWTZ lifanye kazi? Uko serious? Yaani Jeshi liende kupambana na wafugani wa Kimasai kutoka Kenya? Huko Rwanda unakosema nako ni Ishu ya JWTZ au Idara ya uhamiaji? Unajua ni Watanzania wangapi wanaoishi mipakani na hizo nchi wameingia nchi jirani wanaishi huko?Kule mara maasai wa Kenya Wana ingiza mifugo yao Nchini Tena mbugani miaka nenda rudi. Rwanda the same.
Mtwara je , Magaidi wanaingia na kutoka
Majambazi ya Kenya yanakuja kuua wafanyabiashara matajiri na wenye kuleta ushindani wa viwanda vya Kenya na kurudi mchana siku hiyo hiyo .
Acheni siasa nchi Iko katika Hali mbaya
Wewe ni wa kukaliwa kimya tu. So unataka Jeshi letu liwashe vifaru likamtoe Mwarabu pale Bandarini?Bandari yetu inamilikiwa na Oman jwtz wamelala usingizi
Twiga wanapanda ndege jwtz wamelala usingizi
Madini Tanzanite inatoroshwa jwtz wamelala usingizi
Ngorongoro ardhi ya Masai inamilikiwa na UAE, Kuna minara Yao jwtz wamelala usingizi
Watanganyika wenzetu wanaotekwa na kuuliwa JWTZ wamelala usingizi
Hao wanalinda mipaka Gani?
Au hujui majukumu ya jeshi la wananchi kwenye katiba na yepi
Huna akiliWewe ni wa kukaliwa kimya tu. So unataka Jeshi letu liwashe vifaru likamtoe Mwarabu pale Bandarini?
Huyo mwarabu amevamia Ngorongoro anaikalia kimabavu kama Idi Amini?
Kama kuna sehemu mkuu unajua Tanzanite inatoroshwa peleka taarifa Polisi itafanyiwa kazi.
Kama huoni mipaka iko salama mkuu basi, Mimi nilipo nakujibu kisha napata usingizi mzuri wa jioni.
Sawa sina akili, tuachane na mimi, tuachane na wewe pia. Tuongelee watu ambao wana akili katika nchi hii. Nitajie watu watatu tu wenye akili ambao wanaushari kama wako wa kutaka Jeshi lipindue serikali.Huna akili
Hujui kuwa kikatiba jwtz inapaswa ilinde mipaka, Rasimali na uhuru wetu.
Yaani jwtz ikiona hata kama Rais hafuati katiba linaweza kuchukua nchi na nchi ikipata democracy wanamkabidhi mwanasiasa.
We unaishi wapi kama huwezi kujua kuwa zaidi ya 95% ya Watanzania wanataka nchi yetu iwe salama kwenye mikono ya jeshi letu jwtzSawa sina akili, tuachane na mimi, tuachane na wewe pia. Tuongelee watu ambao wana akili katika nchi hii. Nitajie watu watatu tu wenye akili ambao wanaushari kama wako wa kutaka Jeshi lipindue serikali.
Unaweza kunipa sehemu unapotoa takwimu zako na mimi nikasome?We unaishi wapi kama huwezi kujua kuwa zaidi ya 95% ya Watanzania wanataka nchi yetu iwe salama kwenye mikono ya jeshi letu jwtz
Nimekuuliza wewe ni mgeni hapa Tanganyika?Unaweza kunipa sehemu unapotoa takwimu zako na mimi nikasome?
Wanasiasa wanawatumia kama toilet paper..Nashangaa eti wanajeshi na polisi wamechanganyika wanakimbia pamoja
nafikiri imetosha, tuache watu wajadili mambo ya maana kwenye uzi.Nimekuuliza wewe ni mgeni hapa Tanganyika?
Sawaaaa kila mtu abaki na mtazamo wakenafikiri imetosha, tuache watu wajadili mambo ya maana kwenye uzi.
Wakuu habari.
Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?.
#kazi ipo
Umerudia rudia root match. Hili neno halina maana.Ni root match ina fanyika Tz nzima kila ijumaa acheni hizo mambo
Nenda tiktok au instagram uone kama genz hata mmoja katishikanyie mmesema mnataka kuangusha serikali kwa hiyo wawaache tu maana maandamano yenu lengo serikali ianguke
Safari hii nyie ndio mna uwoga sio wananchi. Wamewagusa kidogo mmeleta mabasi ya mwendokasi2015 ilikua hivi na watu walijitokeza kupiga kura ila wahalifu hawawez jitokeza
Unapata wapi ujasiri wa kukomenti mashudu kwenye mtandao uliofungiwa na serikali yako, wewe ni chawa kichaa. Kama wewe una ujasiri wa kukaidi amri ya serikali vipi magenz? Nenda instagram au tiktok uone kama kuna genz anayelialia uogaSawa sina akili, tuachane na mimi, tuachane na wewe pia. Tuongelee watu ambao wana akili katika nchi hii. Nitajie watu watatu tu wenye akili ambao wanaushari kama wako wa kutaka Jeshi lipindue serikali.
Sawa mkuuUmerudia rudia root match. Hili neno halina maana.
Kwa English rahisi tu haiwezi kuwa root match. Bali ni Route March.
Nimeona na media kubwa kabisa zinaandika root match, hapo ndio nagundua nchi yetu Ina majanga sana
Mange Kimambi anajua sana kuwajambisha hawa vilaza wa majeshi ya TanganyikaWakuu habari.
Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?.
#kazi ipo
Bandiko hili☝️ hapa lipo wazi kabisa sema jf kuna watu wamejipanga kuwapa stress wafia siasa kwenye kila mada wakonde kwa mawazo.